Vichaa mitaani ni wachache mno, hawa wanaotembea na kuokota makopo, sijui kuomba msosi sio vichaa.
Mtu mchana unamuana kichaa, lakini usiku alishakula na kushiba anapiga story hadi unashangaa. Wengine usiku wanageuka kuwa wapiga roba za mbao!
Chunga sana!
Yani leo Moshi ukiwa kule town centre jua linapiga vibaya mno ila ukianza kuingia tu Shanti town hali ya hewa inabadilika
Faida za kupanda miti mingi maeneo ya mijini na kupangilia mji vizuri ndio kama hizi sasa
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2025, CCM iliketi chini na kujitathimini, kujisahihisha, kujirekebisha na kuweka mikakati ya kufanya vizuri zaidi kuelekea 2030, utamaduni ambao umekua na manufaa makubwa sana kwa chama hicho tawala Tanzania.
Tayari CCM imeanza kujipanga na kujiweka mguu sawa mapema...
Hali ya maji taka yanayotiririka barabarani katika maeneo ya Likoma Street na Masasi Street, Kariakoo – Dar es Salaam.
Kwa sasa ni siku kadhaa hali imekuwa hivyo, yanatiririka barabarani, hali hii imekuwa kero kubwa kwa watembea kwa miguu, hasa pale wanapopishana na Vyombo vya Moto na kurushiwa...
Anonymous
Thread
barabarani
hatari
kariakoo
maji
maji taka
masasi
mitaa
taka
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeanza kuzihoji Halmashauri 39 kutoka Mikoa 15 zilizobainika kuwa na hoja mbalimbali katika Taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za Mwaka wa Fedha 2023/2024 na 2024/2025.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa...
Huku kuna kero ya maji taka Mitaa ya Kariakoo imekuwa changamoto sana yaani pananuka sana (kinyesi) maji yametapakaa sana hasa mitaa ya Mkunguni /Tandamti / Sikukuu/ Congo na mengineyo na ikiwa ni eneo la wafanyabiashara tunateseka sana.
Mtaa mwingine ni Mtaa wa Pemba napo kuna changamoto kubwa...
Moja ya vitu tuko nyuma Watanzania ni miundombinu kwenye makazi ya watu. Yeah baadhi ya neighborhood serikali imejitahidi kuweka miundombinu lakini kwa asilimia kubwa bado sana
Kwa nini msitenge budget kubwa kwenda kuweka miundombinu mizuri kwenye mitaa ya watu? Kila siku mitaa mipya inajengwa...
Habari wakuu,
Nikiwa mfanyabiashara wa retail, leo nimeona nitoe shukrani za dhati kwa mitaa ya Kariakoo ambayo imekuwa sehemu kubwa ya mafanikio yangu.
Nilianza nikiwa nimeajiriwa kwenye kampuni ya construction, kitengo cha manunuzi (Procurement). Kazi yangu ilinifanya nizunguke Kariakoo...
Mashabiki wa timu ya taifa ya Scotland wanajulikana kama Tartan Army ambayo iko kwenye group C na wanatarajiwa kupambana na Morocco leo kwenye Boston Stadium (Gillette Stadium) walivamaia jiji la Boston na kunywa bia zote mjini, baa zote zikabaki tupu. Imebidi kiwanda cha bia mjini hapo...
Kuna hawa jamaa unakuta mtu ana eneo kubwa anataka kuliuza wao wanaamua kuwa madalali, yaani viwanja vinakatwa vidogo halafu barabara wanakwambia hatua tatu.
Hivi hatua tatu za miguu nd barabara ije kujengwa njia za watembea kwa miguu, taa za barabarani, two lane road au ndo mwanzo wa bomoa...
Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma.
Dukuduku langu ni kwamba kila zinapotangazwa nafasi mbalimbali Serikalini naona wanafuata zaidi wanasema uwe umesomea Utawala (Public Administration), je sisi...
Anonymous (ca61)
Thread
ajira
ajira serikalini
mitaa
nafasi
serikali
serikali za mitaa
serikalini
usimamizi
usimamizi wa serikali
wahitimu
za ajira
Magomeni mitaa ya Mwinyimkuu, Mpanda, Takadiri, Mbegani na Ziota tuna shida ya maji ni miezi saba tunaambiwa kuna mabomba yanatakiwa kubadilishwa lakini ni hadithi.
Imagine tuko magomeni kwenye eneo la ofisi usika lakini maji ni mtihani, je hii ni haki hatupati huduma ya maji?
Anonymous (9eb9)
Thread
magomeni
maji
miezi
mitaa
mpanda
saba
shida
shida ya maji
tuna
Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000.
Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000.
Pia umbali Toka mbeya-tunduma ni km. 103 nauli ilikuwa sh.5000 Sasa imeongezeka Hadi sh. 7000.
Yaaani tunduma-mbeya...
Anonymous (0743)
Thread
barabara
kahama
kahama mjini
kati
kero
kupanda
mbeya
mitaa
mjini
nauli
songwe
ubovu
ubovu wa barabara
Barabara nyingi za mitaa katika Wilaya ya Ubungo zimegeuka machinjio ya vyombo vya usafiri na chanzo kikuu cha hasara kwa wananchi, huku mamlaka husika zikionekana kushindwa kutoa suluhisho la kudumu.
Katika Kata za Kimara, Makoka na Saranga, mashimo makubwa, matope na mifereji mibovu vimekuwa...
Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa.
Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
Kero ya matakataka Mitaa ya Mbagala Kuu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hakuna gari la taka lilopita mtaani kwetu. Matakataka yamezagaa na ukizingatia sehemu za wazi ambazo Watoto wanacheza, Serikali ya Mtaa haijachukua maamuzi yoyote. Ni hatari kwa afya.
Maeneo ya Mbagala Kuu ni Mitaa ya Mbagala...
Sisi wakazi wa Goba Mitaa ya Nasary & Mwanzo tuna kero kubwa ya kukosa maji, unakuta tunapata mara 3 au 4 kwa Mwaka😢 wakati ambapo mitaa ya jirani wao wenyewe wanapata walau mara moja kwa mwezi.
Hii hali inatuumiza sana kwa kuwa kuna muda tunalazimika kununua madoza ya maji hadi kwa Shilingi...
Anonymous
Thread
goba
maji
mara
mitaa
mwaka
mwanzo
wakazi
wakazi wa goba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.