gari

 1. Nhalabwajila

  Nahitaji Gari ya million 2

  Bila shaka mpo salama. Nipo mkoani na nahitaji kwa bajet tajwa hapo juu, aina ya gari iwe Corola, Carina, Cresta na zingine zenye muundo huo. Kwa mwenye nalo ani pm. NB: Wakosoaji endeleeni kukosoa, kuhusu kipato siku nikikosa hela ya service nitaipaki. NINACHOTAKA GARI.
 2. taiter

  Muosha Magari apatisha ajali gari lenye thamani zaidi ya Milioni 100. Akutwa anaruka sarakasi

  Habari wakuu, tunakumbushana kuweni makini na waosha magari mnapowaachia funguo wakati wa kuosha dinga zenu, Jamaa kapeleka gari aina ya Ford Ranger carwash huku Dom kaacha funguo na kuondoka, mwoshaji kamaliza akachukua ford ranger ya Mteja kwenda kutamba nalo, kilichotokea kala mzinga ndinga...
 3. aka2030

  Msaada gari ipi nzuri kati ya subaru Forester xt Outlander na Nissan Dualis

  Members naombeni mawazo hapo gari gani nzuri kwa Mtanzania mwenye kipato cha kawaida anayetaka kumiliki gari ya juu
 4. Makanyaga

  Msaada tutani: Gari inatikisika mtikisiko mkubwa mbele ya bonnet

  Gari linatikisika kitu kizito mbele ya bonnet linapokuwa linatembea kwa spidi ya kuanzia km 80 kwa saa, na likiwa kwenye gia namba tano (gari ni manual). Mwenye kujua hili ni tatizo gani atakuwa wa msaada sana. Fundi wa gari amejaribu kubadilisha bush za mbele lakin bado lipo, fundi yeye...
 5. WENYELE

  Ushauri: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

  Nawasalimu wakuu kwa jina la nguvu na uchakalikaji wetu. Baada ya kupitia threads nyingi hapa na kujifunza mengi kuhusu magari nami natupia uzi hapa ili kupata ushauri. Kiukweli mi mgeni sana wa magari hata kuendesha si mtaalam sana ila naweza sema sijakaa na gari tu nimesota kwa miaka 8...
 6. OKW BOBAN SUNZU

  Huyu dereva wa gari sio Rais Samia kweli?

  Tafasiri yangu inasema huyu ni Rais Samia. Amechonga barabara inayompeleka shimoni. Naye katika kuendesha gari lake anataka kulitumbukiza gari shimoni.
 7. Amina68

  Nauza gari mtsubishi m4.5

  Aina shida yoyote ile,njoo tuyajenge
 8. 3330

  Nina miaka 43 na nimeshajenga, tatizo ni gari

  Wakuu wangu habari zenu. Ama baada ya kiwasabahi title inajieleza, hata watoto wanasema mama/bana nunua gari. Kiukweli shida kubwa kwangu ni usafiri uwezo wa kununua ninao, ada nalipa mamilioni, tatizo ni woga kuingia road. Woga mwingine ni mahuruma. Mimi nina mahuruma sana, nikikuta mtu...
 9. Francis fares

  Passo inauzwa

  Passo 2005 YOM 3 piston Engine problems 3.6 millions TSH Makumbusho Dar es salaam +255714908121
 10. P

  Nataka kununua gari kwa mara ya kwanza kutoka Sbt japan. Msaada wa procedures.

  Habari za kazi wanandugu. Kazi iendelee ila irekebishwe kidogo maana tozo na ugaidi vimezidi. Twende kwenye mada. Mimi nina uzoefu kidogo kununua magari kutoka Beforward, kwa mara ya kwnza nilitumia wakala, ya pili nikazama mwenyewe mtandaoni nikachagua ninayotaka process zote za malipo hadi...
 11. Ernestcuthbert

  Dereva uber natafuta Gari

  Natafuta Gari ya kazi iwe commercial au private kwa ajili ya uber n bolt mimi ni mzoefu na account zote mbili ya bolt na uber naomba mwenye Gari au mwenye connection na gari naomba anicheki kwa no hii 0628729873
 12. Ernestcuthbert

  naitw ernest ni Dereva uber na bolt

  Natafuta Gari ya kazi iwe commercial au private kwa ajili ya uber n bolt mimi ni mzoefu na account zote mbili ya bolt na uber naomba mwenye Gari au mwenye connection na gari naomba anicheki kwa no hii 0628729873
 13. L

  Msaada: Gari yangu inashtuka napoachia accelerator na napokanyaga

  Habari Gari inapokuwa kwenye mwendo nikaachia accelerator bila kufunga brake halafu nikikanyaga tena gari inastuka. tatizo ni nini. hali hyo haionekani ikiwa gari inaanzia kwenye kusimama. Asante
 14. mshale21

  Ukiwa na pesa, gari au mtanashati wanawake hawakatai ukiwatongoza

  Sijui Wana tamaa, ukipendeza wanajileta, Sura mbaya imekomaa utawapata ukiwa na pesa. Ukimfata na gari hata kama la kuazima, ujue amekwisha huyo. Akikupa namba we tuma salio, mwambie njoo gheto. Mmekutana Leo. Unamuomba namba Leo na anakupa Leo! Wale members wa kiume msiojua kutongoza, Mr Nay...
 15. simon baker

  Natafuta gari ndogo Dar budget 4mil

  Tafathali rejea hapo juu, Binafsi natafuta gari ya mishe za hapa mjini. budget 4mil Namba kuanzia B..japo hata Kama una A unaamin Ina thaman tupia haina shida maana mi fundi ntaikagua mwenyew Vits RS /ist/gx110 ndo huwa mpenz Dondosha picha na namba nichambue
 16. Ndikwega

  Nitajuaje gari inachemsha?

  Habari ya Majukumu humu Ndani. Naomba kusaidiwa hiyo hoja. Je, nitajuaje gari yangu inachemsha? Gari yangu nimeona haya, Je ndiyo Kuchemsha au mwanzo wa Kuchemsha? 1.Maji nikiweka yemejaa Mpaka Juu, nikiwasha gari baada ya muda nikazima nakufungua Radiotor naona maji hayaonekani...
 17. Ernestcuthbert

  Dereva wa Uber na Bolt natafuta kazi

  Mimi naitwa Ernest ni dereva wa uber natafuta gari la kazi nina leseni pia nina account gari iwe mkataba au hesabu niko tayari kwa kazi ? Napatikana yombo - Dar-es-salaam Kwa mawasiliano no yangu... 0628729873 au 0686775988
 18. S

  Gari ya push to start kugoma kuwaka

  habari za jioni wakuu, niliazima gari ya rafiki yangu kwenda nayo sehemu flani, wakati wa kuondoka sehemu hiyo nilijaribu sana kukanyaga brake ili ni push the button kuwasha gari ila ikagoma kabisa, Pembeni kulikua na bodaboda wengi nkajaribu kuomba msaada wakaniambia eneo hilo kuna minara...
 19. jeff mahugi

  Car4Sale Nauza gari mpya Freezer 2010

  MZIGO UMEFIKA DSM SALAMA MKUJE SASA CANTER MITSUBISH 4M50 Year 2010 Cc8200 Uzito 3500kg Mile age 409,000km Freezer Bei c&f 30,147,000 Call/whatsapp +255769103506...
 20. aka2030

  Kumbe gari ya kampuni?

Top Bottom