nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Sijui kwa nini ila lucas mwashambwa akikaa kimya , ID ya haszu nayo inapotea🤨

    Coincedence? Or correlation?
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Henry Kilewo: CHADEMA ya sasa sio ile iliyopita, hii achaneni nayo

    Kada wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Henry Kilewo, amewataka wanaojiita watawala kuachana na madalali wa kisiasa wanaowadanganya kuwa wanaweza kukigawa chama hicho. Kupitia chapisho aliloliweka katika...
  3. N

    JamiiForums Tanzania OMBI LANGU: Nikikaribia kufa mwaka wowote ule, ninaomba sana mnitelee bendera ya Tanzanaia nikae nayo pembeni yangu

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Stationery na uzoefu nayo zaidi ya miaka 5 Niko Mwanza

    Habar za wakati huu, Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Karata pekee aliyo nayo Nchimbi ni kujiunga CHADEMA

    Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali. Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
  6. aise

    JamiiForums Tanzania Nahitaji hii mimea Kwa mwenye nayo Leo nahitaji

    Habari za weekend wakuu, nahitaji hii mimea mmoja ni Anubias Nana, na mwingine ni Pothos Kama unayo naomba tuwasiliane kujua bei na jinsi nitakavyoipata 👋
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Iran Ikipigwa Nuclear Israel Nayo Haitabakia Salama

    https://youtu.be/4YyvrbX5M2E?si=vnZtckww3BwohwpF
  8. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Siri kubwa 2 zilizojificha nyuma ya maumivu ya mapenzi unayokutana nayo

    Watu wengi hukutana na maumivu ya mapenzi. Kila mmoja anakutana nayo kwa namna tofauti. Wapo ambao wanapenda wasipopendwa. Wengine husalitiwa wakiwa ndani ya uhusiano. Wengine huachwa baada ya kuwa pamoja kwa muda mrefu. Kuna watu ambao hawajawahi kabisa kuyafurahia mahusiano. Kila wanapoweka...
  9. Pakome

    JamiiForums Tanzania Silaha ya Ushindi iliyobakia kwa CHADEMA ni moja tu, nayo ni silaha ya fedha

    CHADEMA ilishatumia silaha nyingi sana lakini zimekuwa zikiyumba au kutokuleta matokeo mazuri Silaha iliyobakia ni moja tu ambayo ni silaha ya pesa CHADEMA itakapochangiwa na Wananchi fedha nyingi matokeo yake itakuwa CHAMA hatari sana sana ambacho hakijawahi kutokea Kitakuwa ni CHAMA tajiri...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Odero amekuja na kamati yake ya maridhiano, je mnakubaliana nayo?

    Wadau naomba majibu kwenye kichwa Cha habari hapo juu.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Venezuela yajiondoa Rasmi ICC. Ni muda muafaka kwa Tanzania nayo kujiondoa kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo na kukumbwa na kashfa mbalimbali

    Ndugu zangu Watanzania, Nchi ya Venezuela Imejiondoa Rasmi kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ya ICC. Mahakama Ambayo Imeendelea kukimbiwa na wanachama mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia kila Uchao. Kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo,kupoteza imani na...
  12. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mtaifahamu kweli, nayo kweli itawaweka huru kwelikweli

    Hakuna mtu atakayekuja kukuambia au kukufundisha ukweli. Ukweli unafahamika na unapatikana kupitia kufahamu. Kufahamu ukweli ndiyo ukweli wenyewe na hiyo ndiyo maana ya maana ya kufahamu kweli. Jamii ina namna yake inayotaka mambo yafahamike ndiyo maana ipo mifumo mingi sana leo Duniani ambayo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Misheni iliwekwa sawa mipango ikaparanganyika sasa tunakwenda nayo kwa namna yeyote

    Mipango ilipangwa kwa umakini wa hali ya juu kwanza kabisa ndani ya chama tuliweza kuwadhibiti makada wakorofi ambao wangeweza kuvuruga tukachapisha fomu moja kelele zilivuma lkn hazikuwa na madhara yeyote Mpango wa pili ulikuwa dhidi ya upinzani hawa nso tungewacha tuu bila uthibiti...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuanzia miaka ya 27 mpaka 31 sijawahi hata kuumwa homa. Hivi kinga ya mwili nayo huwa inaingia "prime" halafu baadaye inaanza kushuka?

    Sio kwamba naiombea homa irudi, Mungu aniepushe nayo mbali. Ila kuna jambo nimeligundua kuhusu maisha ya binadamu, sijui na kwenu ipo hivyo. Nikiwa mtoto wa shule ya msingi nilikuwa mtu wa kuumwa mara kwa mara. Kuna zile siku unaishiwa nguvu kabisa, mwili unalegea, macho yanakuwa mazito...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Serikali nayo ikiwa ni ya walalamikaji inaondoa matumaini

    Nukuu ya mazungumzo ya kwenye video "Wapinzani wanailaumu Serikali, wanalaumu mifumo, wanalaumu mahakama, wanalaumu Jeshi la Polisi, na kadhalika. Lakini wanasimama viongozi wa Serikali, wanawalaumu wapinzani, wanalaumu Diaspora, wanalaumu watu walioko nje. Hakuna anayekaa mahali pa kuleta...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yemen nayo yawasaidia Israel na US dhidi ya Iran

    Serikali ya Yemen inayotambuliwa kimataifa imesema vikosi vyake vimeishambulia Uwanja wa Ndege wa Sanaa unaodhibitiwa na waasi wa Houthi, kwa lengo la kuzuia ndege ya Iran kutua katika uwanja huo. Hali hii inanishtua sana. Hawa Yemen si walipaswa wawasaidie Iran?
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kujichua ni kawaida na afya. Watu wengi huendelea nayo hadi utu uzima ila pale inapokuwa uraibu hadi kususia sex na majukumu basi shida unakuta ni hii

    Sio kwamba eti ni punyeto ndio imefanya umeaanza kuona hakuna utamu katika sex , no , ni afya ya akili ndio director wa hii movie, unakuta mtu anachakata mikono kila muda kwa kutumia energy zake zote na akifanya hivi akili yake hutulia tuli kuliko kama angepata jagina. Usicheze na kitu kinaitwa...
  18. britanicca

    JamiiForums Tanzania Yawezekana CHADEMA hawajaelewa nguvu waliyo nayo! Waache kusikiliza kila mwanaharakati, Chama makini mambo yao uamriwa ndani wala si watu wa nje,

    Kuna haka ka Tabia ka kubeza nguvu na sacrifice za watu! Hasa jasho kwenye vyama! Naona CHADEMA mmeanza kujisahau kisa tu mtu mmoja ambaye anataka ambition zake zitimie Mimi ni CCM mfu niwe wazi, ila Ninapenda kuona CHADEMA ikiendelea kuimarika zaidi na zaidi kwa kuwa ndo chama mbadala, achana...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Wameigeuza 7/7 kutoka kuwa Siku ya Maonesho ya Biashara Mpaka Kuwa ya Maonesho ya Silaha. 8/8 Nayo Wataigeuza?

    Tanzagiza inabadilika kwa speed ya ajabu kupindukia! Watanzagiza walizoea kuiona siku ya 7/7 kuwa siku ya maonesho ya biashara, ghafla imebadilishwa na kuwa siku ya maonesho ya silaha, huku wahusika wakuu wakiwa ni wauaji wanaotumika kudhulumu haki za watanzagiza. Bila shaka wanaowatumia...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri katambi ina maana mpaka waziri wako mkuu kutumia chama na swala la mwenge umesitisha si umejumuisha CCM nayo.

    Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM. Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa. kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
Back
Top Bottom