Wanajiandaa kutuma wanajeshi plus special force zao zote kwenda Iran kubeba vifaa vya nyuklia plus rasilimali zote zinazohusika na urutubishaji !!!Wataweza??
Pentagon eyeing megaraid to steal Iran’s nuclear stockpile – media
The Pentagon is contemplating what could become “the most...
Najua hautaelewa kwa sababu umelewa dini.
Umevaa lishuka lako hapo unashindwa kwenda nje ya box kisa tu sijui hadithi ya shemeji ya nabii hakufanya hivyo basi ni haramu
Umekaa hapo unajiandaa kesho kupeleka 100,000 ya kujimaliza kwa jamaa akutoe nuksi ili ufanikiwe na unapakwa mafuta usoni...
Ndugu zangu Watanzania,
Chama cha Democratic Baada ya Kupoteza katika Uchaguzi Uliopita kumeibuka tetesi na minong'ono mingi sana ya chama cha Democratic Kumuadaa Michelle Obama Mke wa Barack Hussein Obama Rais wa 44 wa Marekani Tangia kupata uhuru wa Taifa hilo Mwaka 1776 .
Uamuzi unaoonekana...
Mpango wa msanii na mfanyabiashara Akon unalenga kuhamasisha Wamarekani Weusi (African Americans) kuhamia na kuwekeza barani Afrika, kwa lengo la kuwakomboa kiuchumi na kuwaepusha na changamoto za ubaguzi wa rangi huko ughaibuni.
Kupitia ushawishi wake na miradi mikubwa kama mji wa kisasa wa...
Kiongozi mmoja ambaye sasa ni hayati, ambaye alikuwa na nafasi kubwa wakati wa utawala wa Nyerere, ambaye ndiye aliongoza timu ya kukamilisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar, miaka michache kabla ya kufa kwake, alisema kuwa kinachoitwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar, haukuwa muungano...
Shirika la Utafiti la Pew la Marekani hivi karibuni limetoa ripoti ikionesha kwamba, ikilinganishwa na mwaka 2023, Wamarekani wenye maoni chanya kuhusu China wameongezeka maradufu, na kufikia asilimia 27.
Ikilinganishwa na wakati China na Marekani zilipokuwa na uhusiano wa karibu, kiwango hicho...
Ted cruz akituchongea kua kuna machafuko yakidini Tanzania
Oyaaa Tanzania ipo hatarini. Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa. Mzalendo hiki sio ukweli.
Ted Cruz wa Marekani ni muongo na mchonganishi. Tupambane tusichonganishwe zaidi...
Mimi nipo Swedeni ila kuna jamaa Mtanzania mwenzangu alichukua uraia wa Usa anasema kwa hotuba iliyotolewa jana na Samia.
Kunawezekana kuibuka maandamano makubwa Marekani. Bei ya mafuta kumbe imekuwa kubwa sana kuliko wakati wowote ule toka Dunia iwepo. Na hawakuwa wakijua mpaka Samia...
Serikali ya marekani imewaambia raia wake wanaoishi Cyprus waondoke mara moja na wahame na mali zao kwasababu za kiusalama.
Ina maana jumba bovu wanaachiwa wa Cyprus wenyewe?
Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu
Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili
Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k.
wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
china
cuba
hai
hofu
kujiandaa
kutoka
kwasababu
marekani
muungano
nchi
nyerere
sababu
shinikizo
uhuru
uhuru wa zanzibar
urusi
ushawishi
vita
waingereza
wakati
wamarekani
wenzake
zanzibar
Hili taifa kwa sasa linaongozwa na watu ajabu ajabu sana, yani Trump na Tanzania wa Afya/bush dokta RFK Jr sasa hivi ndio wako mstari wa mbele kutoa elimu ya afya. Sasa hivi wamekuja na kituko eti kwamba paracetamol zikitumiwa na wajawazito watoto wanazaliwa na usonji(autism)!
GT.
Watanganyika kama tutaendelea kama ilivyo sasa tunakoelekea ni kubaya zaidi ya hapa tulipo. Dalili zote zimeshaonyesha kwamba namba moja hana uwezo wowote shida ipo wapi kumweka pembeni?
Maono ya mzee wa msoga yameshatimia mambo tayari yashakuwa mabya saaana kwa hiyo hakuna budi akae...
Wamarekani hawapendi kuonekana wamefel watazua hata sababu za kijinga ili ionekane adui hajafanikiwa lakini ukija kwenye uhalisia ni kwamba US kapasuka.
Jana ilikuwa Ijumaa kuu maelfu ya Wakristo tuliandamana kupitia Dolorosa mjini Jerusalem kukumbuka mateso ya Bwana wetu Yesu kristo. Tulipita njia ile aliyoipitia wakati ananda kusulubiwa
Jana tuliadhimisha siku ambayo Yesu alisulubishwa—matembezi yake ya mwisho kupitia Yerusalemu, akiwa...
Nakumbuka mwaka 2017 nilipata nafasi fulani ya kwenda mahala kujifunza masuala ya ufugaji.Ilikua ni programe imeandaliwa na mahali pangu pa kazi.
Tulivyofika Kule singida tulikutana watu kutoka mikoa tofauti,siku ya kwanza ilikua ni maalumu kwa ajili ya shopping ya vifaa vya yale mafunzo ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.