Kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi na malori uliotokea Septemba 28 na 29, 2026, madereva wengi hawakujua maana ya mfumo wa points (Drivers Licence Point System).
Kwa mujibu wa Kifungu cha 31 cha Sheria ya Usalama Barabarani Sura ya 168 Rekebu ya 2023, leseni yako ya udereva ina pointi 15, na...
Umuofia Kwenu wana JF,
Swimming pool si sehemu salama kwa mtoto bila ulinzi.
Ndugu wazazi tuache ushamba usio kuwa na kichwa wala miguu ,kuna mambo mengine yaache yawapite hata kama una hela ,unajenga swimming pool nyumbani just for showoff ila hujui ABCs zozote za kumiliki Swimming Pools...
Kwa niaba ya waTanzania wote wazalendo na mamilioni ya raia wema wa nchi hii,
I warn all individual politicians, groups of political bandits, puppets within political parties, clueless and rudderless political party leaders, who have completely no development ideas or agenda about citizens, and...
Some things are better left unseen.
Life has a strange way of teaching us that curiosity is not always harmless. Sometimes we go looking for answers, truths, or things that were never meant to cross our path—and once we discover them, there is no going back to the person we were before.
You...
Katika kile kinacho onekana na kinaendelea kuonekana dhahiri kua Majeshi yote ni Mali ya CCM na ndio yaliua watu siku ya maandamano ya October, CCM imesema kua Majeshi hayo ni Mali yao kwa kauli hii HAKUNA jeshi lenye NGUVU ya KUKANUSHA HILI
Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma,
Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama.
Sio sawa kusema ni Mali ya CCM
Chacha kusema ni Mali ya CCM inaviondekea Imani Kwa wananchi.
Kuonekana kuwa hivi vyombo vipo Kwa...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi amewataka Watanzania kutokubali kauli zinazowahamasisha kuchukia vyombo vya ulinzi na usalama, akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu na kuwapa moyo askari wanaolinda usalama wa taifa.
Kihongosi amesema askari huendelea kufanya...
Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.
Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu...
Vyombo vya usalama vya Tanzania Wapo makini kuilinda serikali inayoua watu wake na kufanya uchafu mwingi lakini vimeshindwa kuilinda nchi.
NB.hali sio nzuri "YOU BERA WATCH YOUR BACK"
MARA- Wataalamu wanaoshiriki katika zoezi la uthamini wa mali za wananchi wanaotarajiwa kuhamishwa kupisha ujenzi wa eneo jipya la kuhifadhia mabaki ya shughuli za uchimbaji madini (Tailings Storage Facility – TSF) katika Mgodi wa Dhahabu wa North Mara, wamehimizwa kuzingatia kikamilifu taratibu...
UFUNUO.
Inaweza isiwe taharuki kubwa ila pindi uonapo hari ya dharura kama vile ving'ora na convoy yake basi ewe mtumiaji wa barabara kuwa makini.
Dharula hiyo inaweza ikawa ni ya muhimu na heshima sana, kiasi kwamba shughuli nyingine zisionekane kuwa na maana, siku hiyo ikifika.
Hiyo convoy...
Tanzania imetangaza azma ya kuwania nafasi ya uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha 2029–2030.
Akizungumza wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mjadala wa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la...
Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na uwekezaji zimezorota sana kutokana na kudorora kwa usalama.
Lakini pia uhakika wa usalama...
Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir:
Hali ya watu huko Gaza si nzuri. Nataka kuwatoa Gaza. Mimi ni mtu mwenye kujali utu, sawa?
Ninawafanyia wema. Ninawatoa huko Kama wataendelea na ugaidi wao!!!!
Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
amani
amani na usalama
biashara
biashara na uwekezaji
chadema
kaskazini
kikuu
kivutio
kurejea
mikono
mkubwa
mtuhumiwa
nchini
tamaa
tanzania
uhaini
uhakika
usalama
utalii
utawala
utulivu
uwekezaji
uwekezaji tanzania
wote
Katika historia ya nchi nyingi duniani, tatizo kubwa zaidi la vyombo vya usalama halijawahi kuwa ukosefu wa uwezo, ni swali la uwajibikaji, Yaani vinawajibika kwa nani. Hatari ni Pale inapokuwa Vinapokuwa chini ya mtu mmoja pekee, bila usimamizi wa nje, vinaweza kutumika kwa urahisi kulinda...
Biblia na hata Qoran vinasema mamlaka yote chini ya ardhi yanatoka kwa Mungu.
Binadamu tuyatumie vema.
Msingi wa yote ni ukweli.
Ukweli ni upanga ukatao pande zote mbili.
Ukweli haufichi maovu.
Mtu anaweza fanya maovu akifikiri ukweli haumwoni.
Sasa mtu huyo akiambiwa aje hadharahi...
🔐 SMART EYE SECURITY SERVICES 📹
Usiache usalama wa nyumba, biashara au ofisi yako kwa bahati.
Tunakufungia CCTV Camera kwa usalama na ufuatiliaji wa uhakika. 👁️📹
🏠 Nyumbani
🏪 Madukani & Biashara
🏢 Ofisini
🏭 Maeneo ya kazi
📍 Location: Dar es Salaam
📞 Piga/WhatsApp: 0622667749
SMART EYE...
🔐 SMART EYE SECURITY SERVICES 📹
Usiache usalama wa nyumba, biashara au ofisi yako kwa bahati.
Tunakufungia CCTV Camera kwa usalama na ufuatiliaji wa uhakika. 👁️📹
🏠 Nyumbani
🏪 Madukani & Biashara
🏢 Ofisini
🏭 Maeneo ya kazi
📍 Location: Dar es Salaam
📞 Piga/WhatsApp: 0622667749
SMART EYE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.