Byblos (Arabic: جبيل Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.
Wakuu kwema,
Nimefungua biblia leo nime kutana na ukurasa huu moja kwa moja basi nikaona ndio ukurasa ambao nilipaswa kuusoma kwa leo na nikaona ni share
ujumbe wake ulikuwa sio wa kawaida ulikuwa ni mkali sana wenye tumaini na maonyo.
vijana someni biblia
Danieli 12:2-7
2 Tena, wengi wa hao...
1. Uumbaji kitabu cha mwanzo,
Maandiko ya kitabu cha mwanzo kwa kiasi kikubwa yamefanana ya maandiko "Enuma Elish" ya Babylon ambayo yalitangulia kuwepo kabla ya maandiko ya agano la kale.
2. Gharika na safina ya Nuhu,
Maandiko ya kale ya Mesopotamia, Epic of Gilgamesh ( utenzi wa Gilgamesh)...
Sina la kuongea ila naomba msikilize nyimbo hizi kwa kutafakari
https://youtu.be/svhRxk6J3Vo?si=K6_cTxNzUEWYrxAi
https://youtu.be/SSEv7X-DBh8?si=j25N2QSMlmDdE8wV
https://youtu.be/TcmH__P05zI?si=lzoYOXv4KJNTG9r1
Namuona waziri wa michezo ndugu makonda amekomaa kutoa matamko eti
Viongozi wa dini hawapaswi kuikosoa serikali bali kuiombea.
Kama wana haki ya kuisifia lazima pia wawe na haki ya kuikemea inapofanya vibaya.
Kuwa serikali haina maana kwamba mtapatia kila kitu na kukosolewa na kiongozi wa dini...
Hapa Mungu alikuwa amechoshwa sana na ujinga wa watu.
Zekaria 11:9. ". . . . Atakayekufa na afe! Atakayeangamia na aangamie! Na wale watakaobaki na watafunane wao kwa wao.”
Kila kona ya hiki kitabu ukikisoma vizuri utagundua kuna matatizo mengi mno ya kimantiki sasa sijui inatokea vipi mtu mdadisi, mwenye kufikiria kwa kina anakaa na kukubali tu kila neno lilipo binafsi naona ni kitabu ambacho kina stori tu na hamna kitu cha maana ukiangazia Dunia tuliyonayo Leo...
Hawa ni wasomi/wanasayansi walio hai ambao wamekiri wazi imani yao katika Kristo:
Francis S. Collins — PhD in Physical Chemistry; MD in Medicine
Huyu aliongoza Human Genome Project. Human Genome Project (HGP) ulikuwa mradi mkubwa wa kimataifa wa kisayansi wa kuchora na kubaini mpangilio wa DNA...
Katika kitabu cha Waamuzi 11 kuna bwana mmoja alimtolea mungu nadhiri ahadi ya kwamba mungu akimsaidia akashinda vita dhidi ya maadui wake kiumbe chochote cha kitakachokuwa cha kwanza kuja kumpokea akiwa anatoka vitani atakitoa sadaka kwa moto wa kuteketezwa.
Binti yake alikuwa wa kwanza...
Biblia ya kweli na sahihi kwa Wakristo ni ipi ? Je imakamilika au inaweza kuongezea vitabu vingine kadri vitakavyogunduliwa ?
Kati ya biblia zifuatazo ipi sahihi
1. Ethiopian Orthodox-vitabu 81.
2.Eastern Orthodox-vitabu 76.
3. Catholic -vitabu 73.
4. Protestant -vitabu 66.
Ipi nafasi ya...
Kwanza tunaamin hiki kitabu kikiandikwa na MUNGU kupitia mkono wa binadam...na mara ya kwanza kilkuwa na vitabu vingi... lkn zinazochapwa kwa sasa zimenyimwa baadh ya vitabu... na wala sisikii vikitumika ktk mafundisho.... mf SIRA...BARUKU..SUSANA...BELI NA JOKA..WAMAKABAYO..
JE hii n kwan...
Tatizo la Babeli lilikuwa nini hasa hadi ukaandikwa kwenye maandiko ya Biblia kuwa ni mji wa mfano wa machukizo na uasi mpaka leo hii waamini wa Biblia wanaamini hivyo?
Je hazikuwa bifu tu za kijamii kati ya WaIsrael na Wababeli waliowachukua utumwani ndio ikatengenezwa historia hii na...
Lengo la wazungu lilikuwa nini hasa walipoyabadili majina ya mashariki ya kati kuyafanya ya Kizungu mfano Jesus, John, Mathew, Luke au Mark ?
Kwa nini pia majina ya Biblia yakipelekwa kwenye lugha nyingine kama Kiswahili yanabadilishwa mfano kuwa Yesu, Mathayo, Luka, Marko au Yohana?
Biblia inavyosema kuhusu kiburi
Kiburi siyo dhambi unayofanya kwa njia sawa na kuiba au kusema uwongo. Ni mtazamo wa moyo na njia ya kufikiria. Huwezi kuona upepo, lakini unaweza kuona athari za upepo, na ni sawa na kiburi. Huwezi kuona kiburi, lakini unaweza kuona matokeo yake. Kimsingi...
MBINU 7 MAKINI ZA KULEA MTOTO MAZINGIRA YA MJINI
Malezi ya mtoto katika mazingira ya mjini yamekuwa changamoto kubwa kwa wazazi wengi. Mtoto wa Mjini anakua katika dunia yenye mchanganyiko wa tamaduni, mitazamo, teknolojia, mitandao ya kijamii na makundi mbalimbali ya watu.Hii Tofauti na zamani...
Biblia imejaa utata wa kimantiki (logical contradictions) nyingi sana kitu ambacho unaona wazi hizi ni hadithi zilizotungwa na watu tu, kufurahisha na kuburudisha watu tu.
Biblia SIO NENO LA MUNGU! Bali ni hadithi kama zilivyo hadithi zingine za Mfalme Juha, Abunuwasi, Alfu Lela Ulela, Esopo...
NB: Tanzania hakuna wasomi
1. Paulo: "Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu"
1 Wakorintho 15:3
"Maana nilikwisha kuwapa, kwanza kabisa, yale niliyopokea pia; ya kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama ilivyokuwa katika maandiko."
2. Yesu: "Mtafa kwa dhambi zenu wenyewe"
Yohana...
Wakuu salama.
Mimi ni mkristo mzuri tu na imani yangu ipo kwa Mungu dhidi ya hizi dhana nyingine katika uumbaji wa Ulimwengu.
Tunajua kwamba Biblia ndio msingi wa imani ya kikristo na pia ndio kitabu inasemekana kimeficha kwa mafumbo mambo mengi sana. Na pia sisi wakristo tunashauriwa...
Habari nilileta ile uzi wa kwanza lakini sababu nimeshindws kiedit heading sasa nimetengeneza mwingine modes nisaidieni kuufuta ule wa kwanza
Nimetengeneza app kwa ajili ya android, ios na web
Ambapo mtu anaweza kusoma tenzi za rohoni, nyimbo za wokovu na biblia (kote) akiwa na app anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.