asante

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa hii Nyota Kali uliyonibariki nayo, japo nakiri inatusababishia tuchukiwe, turogwe na tuonewe wivu sana

    Yote yaliyosemwa hapa yamenitokea na yanaendelea pia kunitokea kila Siku kwani nina Shuhuda za kutosha. Asante sana Mwenyezi Mungu kwa hii Tunu yako kubwa ambayo uliichagua iwe ndani yangu Mimi GENTAMYCINE. Kwa wale ambao mnajijua mna hii Nyota kama yangu na ambayo imesemwa hapa kama ukitaka...
  2. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Asante Mama yangu.

    Leo ni Mothers Day.Nakushukuru sana mama yangu,japo haupo duniani,sitakusahau kwa mema yako.Japo hukusoma japo darasa moja,kila nilipotoka shule ulikuwa ukichukua madaftari yangu kukagua tiki na kosa,na ulikuwa anahesabu tiki ni ngapi na kosa ngapi,na baba aliporudi jioni ulimwambia kama...
  3. G Sam

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa kutuonyesha "ukihiyo" wa Othman Chande, wengi hatukumjua kabla

    Kwa kweli kama ni jambo la kumshukuru Mungu basi ni kwa kutufunulia ukihiyo wa huyu mzee. Wengi tuliamini visivyo. Huyu mzee ukimjumlisha na wenzake kama kina Ibrahim Juma ambaye pasi na shaka tulikuwa tunamjua, kwa kweli wote ni wale wale. Ripoti aliyotoa na anayoitetea ni kinyume kabisa cha...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Imekidhi Haja Kutoa Idadi ya Vifo 518, ila Bado Haijakata Kiu!, Aliyetoa Amri Kutumia Za Moto ni Nani?!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo. Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa!. Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Ripoti Imekidhi Haja, ila Haijamaliza Kiu!. Asante kwa Kutoa...
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Joyce Emmanuel: Asante Doris Mollel Foundation kwa Jengo la Watoto Njiti Kwimba. Nilipoteza Mtoto kutokana na Umbali

    Mwanamke aitwaye Joyce Emmanuel James Mkazi wa Mtaa wa National uliopo Ngudu Wilayani Kwimba Mkoani Mwanza ameelezea jinsi alivyopitia changamoto tangu akiwa mjamzito hadi kujifungua Watoto wawili mapacha kabla ya wakati na kupelekea pacha mmoja kufariki ambapo amesema umbali wa kutoka Kwimba...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

    Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Asante sana Jenerali Muhoozi Kainerugaba

    Mkuu usije ukadhani upo peke yako ambaye haufurahishwi na tabia za hao watu wanaojiona dunia ni ya kwao peke yao tu. Angalau sasa tuna mtu ndani ya Afrika anayethubutu kuwapa 'shit' moja kwa moja. Kuna jasiri mmoja alijilipua juzijuzi hapa akawaambia 'who are you?, lakini wewe unakandamiza...
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante sana Mzee Warioba, umeongea kile ambacho CCM imeshindwa kuongea

    Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi. Dondoo muhimu Serikali inahusika na mauaji Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Mh Samia uliwasamehe Hawa na kuwaruhusu warudi nchini na ukawafutia kesi? Asante mohamedi umetuonesha rangi Yako.

    Muhindi kumzurumu muhaya ni ngumu sana, Ili ni funzo mnielewe Nauliza Mh Raisi Samia watu WALIOKUWA wanauza UNGA nchini akiwemo huyu Mohamed aliyekamatwa na Mzee Magu na kukili kosa na kulipa cash money ya prebegaining dheni akakimbia nchi Ndo unajitapa uliwarejesha nchini? Nani hasiye...
  10. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uteuzi Mkuu 2025 Tumeukwepa, Asante Lissu kwa kutufungua macho, Asanteni pia mliomchagua mwenyekiti

    Haikuwa rahisi kuyakwepa haya maigizo. Asanteni sana.
  11. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo asante kwa kushiriki. Kigoma mjini ni ya Zitto

    Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila alipofika Kigoma kauli yake ilibadilika. Kwamba wanakigoma wataamua. Huo ni ujumbe kwako Chipando kuwa...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Natumia yas nampigia mtu wa Airtel hapatikan ila inajibu asante kwa kutumia Vodacom namba unayopiga haipatikani

    Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka kumrushia hela kwa wakala 0695 sijui alikuwa ameishiwa chaji ikajibu asante kwa kutumia Vodacom namba...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

    Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki. Huu ujumbe wa Polepole...
  14. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania "Shukrani ni zaidi ya asante" siri ya mioyo yenye neema na mioyo isiyojua wema

    Kuna zawadi moja ya thamani isiyolipiwa kwa pesa ni neno...... "SHUKRANI" Ni neno dogo lakini lenye uzito mkubwa. Moyo wa shukrani huonyesha tabia ya mtu hata kabla hajazungumza. Nimeandika hii thread baada ya jana kupigiwa simu na mama mmoja akasema mwanangu DR AM 4 REAL Nakushukuru sana...
  15. Oziko Jo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Thank you RORYA 🙏Wajumbe ♥️

    Hizi ndio Nyakati tulizokua tunasubiri kwa Muda mrefu SIASA za UKANDA,Basii.
  16. Now and then

    JamiiForums Tanzania Asante sana Gambo Arusha tutakukumbuka !

    Asante Gambo , hakika tutakukumbuka Ila ndo hivyo tulitaka utuhudumie Ila haikuwa riziki . Pamoja Sana katika upambanaji wako . Nayafikiria maisha mapya bila vyeo sijui yatakuaje na mke wako ameshaporwa uafisa na sasa anapiga chaki Pole Sana jemedali
  17. Hharyson

    JamiiForums Tanzania ASANTE SANA WANA JAMII FORUMS! 🙏 (PICHANI NI 3BEDROOMS SIMPLE HOUSE ON 25X13M PLOT)

    ASANTE SANA WANA JAMII FORUMS! 🙏 Ningependa kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa dhati Wanajamii Forums kwa sapoti kubwa mliyonipa mwezi huu. Kwa neema ya Mungu na msaada wenu, nimeweza kufanya kazi na wateja wengi waliotoka moja kwa moja kupitia hii forum. 💼🏗️ Naahidi kuendelea kutoa huduma...
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Asante sana Mungu kwa kutuvusha nusu mwaka

    Ee Mungu nakushukuru umetuvusha nusu mwaka salama. 1. Maadui walikuja ili watuangamize, ukawatawanya! Asante sana Mungu. 2. Magonjwa yalitupata, ukatuponya nayo yote. Nakushukuru Mungu wetu. 3. Umebariki kazi za mikono yetu, tumepata pesa ya kununua mahitaji muhimu. Asante Mungu mkuu. 4...
  19. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Asante Rais Trump mapendekezo yaliyotolewa na Marekani Kwa Tanzania ni Kilio na kusaga meno kwa CCM

    Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana . Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa. Maazimio yalikuwa. -Vyama...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Asante Maria Sarungi kwa kutetea nchi yako hapo Oslo kuhusu kifo cha demokrasia Tanzania na utekaji

    Well presented with illustrative cartoons to drive the points home. Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo Mwanzo: Dakika ya 20:22 Mwisho: Dakika ya 37:26 https://youtu.be/F2RbjppeaKc
Back
Top Bottom