mashirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aramun

    Maajabu: NHIF yashika namba 1 kwa mashirika ya umma yanayotengeneza hasara

    Maajabu hayatakaa yaishe Tanzania. Dhirika linalokusanya mabilioni kwa mwezi ndilo linaongoza kutengeneza pia hasara kwenye nchi. Kwa hali hii bima kwa wote ni ndoto za mchana. Sheria imeshatungwa lakini kwa kufosi sana. Tetesi ni kwamba feasibility study ya wataalamu ya bima kwa wote ilionesha...
  2. Yoda

    Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!

    Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na kufanyiwa usahili. Anasema mfumo wa sasa hauna uwazi kwani Rai hawezi kusoma CV za watu wote wanofaa...
  3. Jaji Mfawidhi

    Je, unaweza kuajiri CEO na Wakurugenzi toka mashirika haya?

    DODOMA: Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amefanya Ukaguzi wa Mashirika ya Umma kwa mwaka wa fedha 2022-23 na kuorodhesha mashirika 99 ambayo yanadaiwa zaidi ya Sh trilioni 3.49. Je, kama Mtu ni mkurugenzi kwenye hili shirika, amekaa hapo miaka 10 na...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Kama pesa zinaibwa na mashirika yanaingia hasara kuna haja gani ya kuendelea kuangalia rundo la uzoefu?

    Report za CAG zinatoka tunashuhudia hasara kwenye mashirika na pesa zinaibiwa. Kuna haja gani ya kuendelea kuhitaji watu wenye uzoefu mkubwa kusimamia hayo mashirika? Ndugu wanajamii forum hao watu wenye uzoefu tunaowatafuta uzoefu wao unafanya kazi gani?
  5. Roving Journalist

    Ripoti ya mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali kuhusu ukaguzi wa Mashirika ya Umma kwa mwaka wa Fedha 2022/23

    Ripoti hii ya mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha 2022/23 imetolewa kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura 418. Ripoti hii imeangazia matokeo ya ukaguzi na mapendekezo ya hatua stahiki za...
  6. Joram Mtanzania

    Kuna hasara mashirika ya umma kwa kuwa hakuna uwajibikaji

    Kitu kikubwa nilichogundua ni kuwa, Namna pekee ya Kuyaokoa mashirika ya serikali yanayo andamwa na hasara kubwa ni namna ya kupata waendeshaji wawajibikaji. Imekuwa ni kawaida sana Kipindi hiki cha Uongozi wa Rais Samia Watu kubadilishiwa vitengo tu badala ya kuwajibishwa. Utakuta Kiongozi...
  7. Mhafidhina07

    Ni lini Mashirika ya serikali yatajiendesha bila ya kupata hasara?

    Salaam! Mashirika ya kiserikali ni taasisi zinazofanya kazi kwa uhuru kwenye baadhi ya mambo na pasipokuingiliwa kwa majukumu lakini kwa asilimia kubwa hizi taasisi zinakuwa monitored by Government Ministries (Single Tier),imekuwa ni kawaida kwa serikali kutenga kiasi cha fedha ili kuzipa...
  8. K

    Tujenge 'mentality' mpya ile ya Serikali haipo kwa ajili ya faida bali kutoa huduma nafikiri ndio inaua mashirika ya Umma

    Kuna mtazamo ambao umejengeka kwamba Serikali Haina lengo la kutengeneza faida bali kutoa huduma, mtazamo huu Kwa uono wangu hafifu nafikiri ndio chanzo kikubwa Cha baadhi ya mashirika kushindwa kujiendesha na kupelekea kubinafsishwa ama kuingia ubia na sekta binafsi. Badala ya kuwa na mtazamo...
  9. Mto Songwe

    Hebu Nendeni mkajifunze kwao hao mnaoita marafiki zenu wachina kuhusu kuendesha mashirika ya umma wao mbona kidunia ni makubwa sana

    Sisi vishirika vya umma vichache tu kila siku vinatulamba hasara tunaona njia ni kubinafsisha kila kitu. Hawa marafiki zenu nyie CCM hawa wachina wao uchumi wao umeshikiliwa na mashirika ya umma tena katika sekta muhimu. Tazama hawa jamaa katika fortune global 500 kwa mwaka 2021 mashirika ya...
  10. Lycaon pictus

    Badala ya kubinafsisha mashirika yanayotushinda kwa kampuni za nje kwanini tusitafute ma CEO kutoka nje, wenye uzoefu na kazi hizo?

    Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni kujirudisha nyuma maana muwekezaji huyo hata kama atatoa huduma nzuri namna gani lakini atachota uchumi...
  11. nzalendo

    Wasomi tusaidieni kuunganisha mashirika ya ndege Afrika

    Wataalamu wasomi na wanamajumui kwa kuweka ubinafsi kando na uafrika mbele, hili jambo kama si leo ni siku zijazo laweza leta mapinduzi chanya katika kujikwamua na kuamsha shughuli nyingi za kiuchumi kijamii kiafya n.k. Hebu wasomi tusaidieni tufanyaje? Zingatia kama sio fitna leo East Africa...
  12. M

    Serikali na mashirika binafsi zione umuhimu wa kuanza kutumia mifumo ya NFC kwa transaction

    Sahivi simu nyingi hapa bongo zina support NFC (Near-field communication) ambayo inaweza kurahisisha transaction kwenye mifumo kama ATM, vivuko, machine za uwakala, pia kulipia ushuru wa magari na vitu vingine vingi, ni salama ni rahisii na unahitaji Tu kuwa na simu yako basi na kama ilivyo...
  13. M

    KERO Mashirika ya kigeni yanayojiita Humanitarian au International NGO's na kasumba za ubaguzi kwa waajiriwa wazawa!

    Habari za Asubui wana JF, Naomba kuleta mada kwenu kuhusu haya mashirika ya kigeni yanayojiita ya kusaidia binadamu (humanitarian) au kujiita mashirika ya kimataifa yasiokuwa ya kiserikali (INGO). kwa mfano; Medecins sans frontieres, Medecins du monde na mengine mengi. Kwanza kabisa mimi ni...
  14. MDAU TZ

    Sakata la NHIF na madudu ya Mashirika ya umma

    KITENDO cha Baazi ya vituo binafsi vya huduma ya afya kusitisha utoaji wa huduma hiyo kwa wanachama wa NHIF ulioanza leo Machi 1, ni ishara ya muendelezo wa uendeshaji mbovu wa mashirika ya uma yanayopelekea kudhorota kwa uendeshaji kunako sababishia hasara taifa. Mgomo huo uliotolewa na baazi...
  15. Bullshit

    Haya ni baadhi ya mashirika ya kikristo yanayotoa huduma mbali mbali kwa jamii zote duniani

    Kumbuka mashirika ya kikristo yapo kwa ajili ya kuwahudumia watu wote bila kujali Imani zao. na mashirika haya yana ajiri watu bila kuangalia misingi ya Imani yako licha ni mashirika ya kikristo. yapo mashirika ambayo bado yanaendeshwa na kanisa na yapo mengine yanajiendesha yenyewe ila mali...
  16. T

    Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

    Leo ningependa kuzungumzia namna kijana yoyote wa Kitanzania ambae una utaalamu na/au ujuzi katika eneo fulani unavyoweza kupata kazi katika mashirika na makampuni ya kimataifa yaliyopo popote duniani na kuweza kufanya kazi remotely ukiwa hapa hapa nchini. Kwa mfano mimi nafanya kazi katika...
  17. pentoxide

    Habari Wakuu. Naomba kujua namna Ya kupata kazi katika mashirika Ya kimataifa.

    Habari wana Jamii.. Nilikua na omba kujua namna ya kupata connection ya kazi/ajira Kwenye Mashirika ya kimataifa kama vile UN,Unicef na kadhalika .. Nina Degree ya Account na CPA. Shukran..
  18. BARD AI

    Boeing yaagiza Mashirika yaliyonunua Ndege za toleo la "MAX" kufanya ukaguzi wa Mfumo wa Rudder

    Kampuni ya kuunda Ndege za Boeing imehimiza mashirika ya ndege duniani kufanya ukaguzi wa ndege za 737 Max kutafuta "Bolt inayowezekana kuwa imelegea" katika mfumo wa udhibiti wa rudda, tatizo jipya la ubora linaloathiri ndege inayouza zaidi ya mtengenezaji huyo. Kampuni hiyo iliagiza ukaguzi...
  19. S

    Kama Waziri wa Mipango na Uwekezaji anafuata mashirika yasiyokuwa na tija, kwanini haifuti TANESCO?

    Hivi hili shirika lina tija kwa Tanzania na watanzania? Miaka nenda rudi sarakasi za TANESCO haziishi. Ahadi za watendaji na wanasiasa kuhusu TANESCO zinatolewa kila mwaka. Lkn hakuna jipya. Swali la msingi ni kwann halifutwi shirika hili?
Back
Top Bottom