Kuelekea 2025 Vyama vya siasa vitumie Uchaguzi wa Serikali za mitaa kama kipimo Cha kujitathmini uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,600
4,636
Kiutawala, mitaa ,vijiji na vitongoji ni ngazi iliyo karibu zaidi na wananchi na uchaguzi wa Serikali za mitaa ,vijiji na vitongoji ndio kipimo Cha vyama vya siasa kujipima kukubalika kwao na wananchi walio wengi.

Hapo ni Kwa muundo wa Serikali ,mitaa ,vijiji na vitongoji ndio ngazi ya karibu sana wananchi lakini ukienda upande wa CCM na Kanisa Katoliki wana kipimo Cha chini zaidi.

Kwa muundo wa Kanisa Katoliki, jumuiya ndio ngazi ya chini kabisa na hii ipo karibu zaidi na wananchi kuliko vijiji, vitongoji na mitaa.

Kwa muundo wa CCM , kuna balozi wa nyumba kumi au shiba ambaye Kwa muundo wa Chama ni ngazi ya chini kabisa na ni ya chini zaidi na ya karibu zaidi na wananchi kuliko Ile ya jumuiya Kwa Kanisa Katoliki au mitaa Kwa Serikali.

Hapo tunaona ni jinsi gani uchaguzi wa Serikali unavyoweza kubadili matarajio ya Chama Chako kwenye Uchaguzi mkuu Kwa sababu ni kipimo Cha kukubalika Kwa Chama Chako Kwa wananchi walio wengi.

Vyama vinavyosusia uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji na vinataka kushiriki uchaguzi mkuu ni sawa na kujivika bomu la kujitoa muhanga wenyewe maana wanashiriki bila kujua wanakubalikaje.

Ushauri wangu Kwa vyama vya siasa vyenye tabia ya kususa uchaguzi wa Serikali za mitaa waache maana wanajiumiza wenyewe na athari za kususa uchaguzi wa Serikali za mitaa wa 2019 zilionekana uchaguzi mkuu wa 2020 ambapo tuliona matokeo mabaya Kwa vyama vya upinzani toka mfumo wa vyama vingi uanze.
 
TUME huru ndio kipimo na si takata nyingine.
Kigoma uchaguzi wa last week ACT wameibiwa kura kweupe, kura feiki zilishapigwa, unategemea nini mwakani, zaidi niwasihi wote TUMUOMBE MUNGU MAPENZI yake yatimie.
 
Tatizo hata mapenzi yakitimia bado upinzani haunufaiki chochote, kila anayekuja analinda maslahi ya ccm tu.
 
Achana na mpango wa Mungu, jifunze yanayoendelea WEst Afrika, hakika, utakumbuka neno "mpango wa Mungu"
 
Kinachoendelea West Afrika hakijatoka mbinguni. Ni jamii iliyoandaliwa kuwa aggressive na siyo submissive kwa watawala kama hapa kwetu

Hapa kwetu wanajeshi mpk wanatumwa kukusanya korosho na kufagia barabara lkn hawaoni shida.

Viongozi wanalichezea taifa wanalolilinda kwa jasho na damu, lkn haonni tabu.

Kwa jeshi la namna hii, usitegemee chochote
 
Kiutawala, mitaa ,vijiji na vitongoji ni ngazi iliyo karibu zaidi na wananchi na uchaguzi wa Serikali za mitaa ,vijiji na vitongoji ndio kipimo Cha vyama vya siasa kujipima kukubalika kwao na wananchi walio wengi.

Hapo ni Kwa muundo wa Serikali ,mitaa ,vijiji na vitongoji ndio ngazi ya karibu sana wananchi lakini ukienda upande wa CCM na Kanisa Katoliki wana kipimo Cha chini zaidi.

Kwa muundo wa Kanisa Katoliki, jumuiya ndio ngazi ya chini kabisa na hii ipo karibu zaidi na wananchi kuliko vijiji, vitongoji na mitaa.

Kwa muundo wa CCM , kuna balozi wa nyumba kumi au shiba ambaye Kwa muundo wa Chama ni ngazi ya chini kabisa na ni ya chini zaidi na ya karibu zaidi na wananchi kuliko Ile ya jumuiya Kwa Kanisa Katoliki au mitaa Kwa Serikali.

Hapo tunaona ni jinsi gani uchaguzi wa Serikali unavyoweza kubadili matarajio ya Chama Chako kwenye Uchaguzi mkuu Kwa sababu ni kipimo Cha kukubalika Kwa Chama Chako Kwa wananchi walio wengi.

Vyama vinavyosusia uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji na vinataka kushiriki uchaguzi mkuu ni sawa na kujivika bomu la kujitoa muhanga wenyewe maana wanashiriki bila kujua wanakubalikaje.

Ushauri wangu Kwa vyama vya siasa vyenye tabia ya kususa uchaguzi wa Serikali za mitaa waache maana wanajiumiza wenyewe na athari za kususa uchaguzi wa Serikali za mitaa wa 2019 zilionekana uchaguzi mkuu wa 2020 ambapo tuliona matokeo mabaya Kwa vyama vya upinzani toka mfumo wa vyama vingi uanze.
kwamba waache kuzira zira kugoma kizembe zembe na kususa ki ndezi ndezi , wakajaribu waone kivumbi cha CCM kilivyo🐒
 
Kinachoendelea West Afrika hakijatoka mbinguni. Ni jamii iliyoandaliwa kuwa aggressive na siyo submissive kwa watawala kama hapa kwetu

Hapa kwetu wanajeshi mpk wanatumwa kukusanya korosho na kufagia barabara lkn hawaoni shida.

Viongozi wanalichezea taifa wanalolilinda kwa jasho na damu, lkn haonni tabu.

Kwa jeshi la namna hii, usitegemee chochote
ha ha ha ha , haki ya nani sijajua kama leo ningecheka namna hii.
ha ha ha ha aha aaaaaaaa!
Kufagia barabara za tandale na kukusanya korosho.
Umekula nini leo?
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Kinachoendelea West Afrika hakijatoka mbinguni. Ni jamii iliyoandaliwa kuwa aggressive na siyo submissive kwa watawala kama hapa kwetu

Hapa kwetu wanajeshi mpk wanatumwa kukusanya korosho na kufagia barabara lkn hawaoni shida.

Viongozi wanalichezea taifa wanalolilinda kwa jasho na damu, lkn haonni tabu.

Kwa jeshi la namna hii, usitegemee chochote
kwamba kwa manufaa na maendeleo yako unategemea jeshi likufanyie kitu wew liache majukumu yake ya msingi 🐒
 
Majukumu ya msingi ya jeshi ni kufagia barabara?
kupanga ni kuchagua, concentrate na wajibu wako kwa maarifa na bidii 🐒

kulalamikia au kulaumu wengine kwa matatizo yako kwa uvivu au uzembe wako, ni kujiongezea stress tu, hautasaidika chochote, kuwapangia wengine cha kufanya 🐒
 
Chadema: Tutashinda kwa Kishindo
ndugu chunguza ni nini mmekifanya kwa wananchi mmewajengaj mnawapa matumaini gani hamfanyi mikutano vijijini hamuelemishi haki za wananchi haijulikan ni vip wanahujumiwa ili kuwapa njia mbadala waelewe wewe unaandika tu kwamba mtashinda si ajabu mkashnda njaa
 
Kiutawala, mitaa ,vijiji na vitongoji ni ngazi iliyo karibu zaidi na wananchi na uchaguzi wa Serikali za mitaa ,vijiji na vitongoji ndio kipimo Cha vyama vya siasa kujipima kukubalika kwao na wananchi walio wengi.

Hapo ni Kwa muundo wa Serikali ,mitaa ,vijiji na vitongoji ndio ngazi ya karibu sana wananchi lakini ukienda upande wa CCM na Kanisa Katoliki wana kipimo Cha chini zaidi.

Kwa muundo wa Kanisa Katoliki, jumuiya ndio ngazi ya chini kabisa na hii ipo karibu zaidi na wananchi kuliko vijiji, vitongoji na mitaa.

Kwa muundo wa CCM , kuna balozi wa nyumba kumi au shiba ambaye Kwa muundo wa Chama ni ngazi ya chini kabisa na ni ya chini zaidi na ya karibu zaidi na wananchi kuliko Ile ya jumuiya Kwa Kanisa Katoliki au mitaa Kwa Serikali.

Hapo tunaona ni jinsi gani uchaguzi wa Serikali unavyoweza kubadili matarajio ya Chama Chako kwenye Uchaguzi mkuu Kwa sababu ni kipimo Cha kukubalika Kwa Chama Chako Kwa wananchi walio wengi.

Vyama vinavyosusia uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji na vinataka kushiriki uchaguzi mkuu ni sawa na kujivika bomu la kujitoa muhanga wenyewe maana wanashiriki bila kujua wanakubalikaje.

Ushauri wangu Kwa vyama vya siasa vyenye tabia ya kususa uchaguzi wa Serikali za mitaa waache maana wanajiumiza wenyewe na athari za kususa uchaguzi wa Serikali za mitaa wa 2019 zilionekana uchaguzi mkuu wa 2020 ambapo tuliona matokeo mabaya Kwa vyama vya upinzani toka mfumo wa vyama vingi uanze.
Kwamba hatujui upuuzi uliofanyika uchaguzi wa 2019-20? Msikilize kinana akikiri uchafu katika uchaguzi wa 2019-20, kisha uendelee na hizo propaganda zako za kichovu.
 
Back
Top Bottom