bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
 1. kibangubangu

  Huwezi kuitawala dunia bila mwili

  Ili uitawale Dunia lazima uwe katika mwili. Dunia ni phyisikia, huwezi itawala dunia bila mwili. Mapepo, majini na roho hazina nguvu duniania sababu dunia si ulimwengu wa roho ni ulimwengu wa kifizikia. Mashetani na Malaika huhitaji mwili kukamilisha jambo katika dunia liwe baya au jema! Asie...
 2. S

  Alinilingia kunipa mbususu sasa nimeoa lakini bado ananitafuta

  Huyu binti niliwahi kuanzisha nae mahusiano dakika za mwisho mwisho wakati nakaribia kufanya mtihani wa kumaliza mwaka wa tatu chuoni (UE) Wakati naingia nae kwenye mahusiano yeye alikua anasoma level ya certificate na mimi nilikua namalizia mwaka wa mwisho wa degree yangu ya kwanza. Baada ya...
 3. MK254

  Kwa mabomu yote yale, bado umeme upo wa kumwaga Ukraine

  Urusi ilijaribu kila mbinu kupiga mabomu miundo mbinu ya kuzalisha na kusambaza umeme ili wananchi wa Ukraine wateseke, nawashangaa sana maustadhi wanaoshabikia ukatili wa Putin, amekua 'mungu' mtu.... Umeme bado upo wa kumwaga, wananchi pale Kyev bado wanaendelea na maisha yao, Putin alipiga...
 4. Zanzibar-ASP

  Wafuasi wa Hayati Magufuli bado hawajaamini kikamilifu kuwa alishafariki na siasa zake nyingi zinazikwa na Rais Samia

  Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na milele hataweza kurejea tena huku siasa zake mbovu taratibu zikizikwa na rais Samia Suluhu. Hao...
 5. S

  Simba 6 - 0 Yanga. Bado una nguvu za kusema Horoya wabovu?

 6. T

  Ubishi wa nani mkali kati ya Aziz Ki na Chama si umeisha leo, au bado?

  Kuna ubishani mwingine huwa nauita wa kijinga, na huwa naishia kucheka tu. Tangu mwanzo niliamini muda utaongea huko tuendako nani ni mkali haswaa; Stephano Aziz-Ki au Chama? Huu ubishani wa kipuuzi ni sawa na Ile wa Messi na Ronaldo tu. Yaani Chama mwenye kipaji chake na akili ya soka...
 7. Lanlady

  Pamoja na majina yote, bado sifa zake zipo kila mahali!

  Naomba mniruhusu tu niandike haya machache! Leo muda wa asubuhi nilimuagiza mtu wa 'bodaboda' aniletee vitu nilivyomuagiza. Walikuwa na mwenzake. Baada ya salamu yule mwenzake akasema "hali ni ngumu sana" nikachomekea "nyie si mnasema mama anaupiga mwingi na kwamba mtangulizi wake alikuwa...
 8. Nyankurungu2020

  Gazeti la Mwananchi acheni kupotosha umma. Chato bado ipo imara tokea Hayati Magufuli afariki dunia

  Maisha ya wananchi wa Chato yanaendelea kama kawaida. Hakuna tawi la CRDB Chato lililofungwa. Hakuna mahala kuwa stendi imekwa stendi ya mabasi inatumika na mabasi ya mikoani yanapita stendi na kuchukua abiria. Mmeandika habari kwa uongo na unafiki. Chato sio Gbolite. Mnatakiwa kufungiwa kwa...
 9. M

  Kwa kilichotokea leo Sports Xtra ya Clouds FM, bado kuna mtu anaamini mchezo unaoitwa Mchongo Pesa?

  Karibuni wanajamvi tushee hii stori. ====
 10. GENTAMYCINE

  Utashangaa baada ya Afrika sasa Kuingiza Timu 10 Kombe la Dunia 2026 kwa Kulaanika Kwetu bado tutatoka Kapa tu

  Nawalaumu mno FIFA kwa Kuamua hivi kwani kwa Waafrika tunavyojijua na tunavyojuana pamoja na Kuingiza Timu (Nchi) Kumi (10) kutoka Bara la Afrika bado tutatoka tu Kapa / Peupe. Kwangu Mimi GENTAMYCINE naona ni Kheri (Bora) hawa FIFA wangeongeza idadi ya Timu / Nchi kwa Mabara yaliyo Serious...
 11. maganjwa

  Miaka 60 ya uhuru bado nchi ni maskini

  Habari za humu wanajamvi? Naamini mko vizr. Moja kwa moja naenda kwenye mada Zaidi ya Hivi miaka 60 ya uhuru bado tz ni iko na umaskini Hakuna maji safi Hakuna education nzuri Hakuna viwanda kwa kiwango cha kuuza nje ya nchi Kiujumla hakuna tulichomudu kwa miaka 60 cha kuweza kutembea...
 12. GENTAMYCINE

  Kwanini kuna Members hapa JamiiForums hawana Titles za 'Dkt' kama Wengine na bado wana Mvuto, Ushawishi na Kukubalika?

  Kwa mfano hawa Wafuatao wala hawajakurupuka kama Wengine ( fulani fulani ) kubadili IDs zao na kuanza na Titles za Dk ( Honorary Doctorate ) ila bado wana Mvuto, wanakubalika na wana Ushawishi mkubwa wa Kifikra na Kiuwasilishaji kila wawapo hapa JamiiForums....... 1. adriz 2. Bila bila 3. Daudi...
 13. R

  Rais aliwaasa viongozi waandamizi kufanya KAZI Kwa kujiamini, DC Sumbawanga kafanya Kwa kujiamini akatumbuliwa. Bado kuna tatizo sehemu

  DC Sumbawanga ametumbuliwa Jana Bila Sababu yakumbuliwa kwake kuwekwa wazi. Mitandao ya kijamii imeandika kwamba zoezi la utayari lililoandaliwa na Askari WA kike ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwake. Wakati vyanzo vikinyetisha kwamba zoezi la utayari Ndilo lililomtumbua naomba tutumie Sababu...
 14. kali linux

  Nimesoma sana hiki kitabu na hii chapter nilikuwa bado sijaielewa, juzi baada ya kusikiliza hotuba fulani ndipo nikaisoma tena na nikaelewa

  Hello bosses and roses... Hii chapter ina mistari kumi tu, lakini ni fikirishi sana hasahasa kwa historia ya siasa hapa Tanzania kwa kipindi cha 2015 hadi sasa. Kwa muda mrefu nilishindwa kung'amua mafundisho yake lkn hivi juzi ndipo nikaelewa mwandishi (Lao Tzu) alimaanisha nini. Chapter...
 15. 1

  Simba bado kuna mgogoro, usipotatuliwa Horoya watatutia aibu kwa Mkapa kama tulivyofanyiwa kwa Galaxy Gwaneng

  Dah, we acha t
 16. Mkyamise

  Je, mikopo kupitia pension kwa watumishi wa umma bado ipo?

  Habari za muda huu waungwana? Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na utaratibu wa mtumishi wa umma anapofanya kazi na kukatwa pension kwa miaka 15+ anaweza kukopeshwa sehemu ya pension yake na mfuko anaouchangia. Je, utaratibu huo bado upo? Najua humu wapo wajuzi wa mambo mengi na bila shaka...
 17. Infinite_Kiumeni

  Fanya Hivi Kama Umejitahidi Kumvutia Mwanamke Wako Lakini Bado Haoneshi Kujali

  Inawezekana mmekua pamoja kwa miaka sasa. Au pengine ndo mna miezi kadhaa kwenye mapenzi. Lakini hivi karibuni anaonesha hana hamu na wewe kivile. Mapenzi yamepungua. Shauku yake ya kuwa na wewe unaona imepungua. Kadri unavyoona hisia zake zinapungua, wewe ndo unazidi kuongeza nguvu ili awe nawe...
 18. Lupweko

  Bado sijasikia SSM wa Silent Ocean kuwaahidi dau nono Tanzania Prisons waifunge Yanga leo katika ASFC

  Wamekuwa wakitoa ahadi za hadi 30M iwapo Prisons itaifunga Simba. Bado nasubiri ahadi ya dau nono iwapo Tanzania Prisons wataifunga Yanga leo katika ASFC Uzi
 19. S

  Mnaosali KKKT bado mna imani na kanisa hili? Mbona migogoro imetamalaki?

  Migogoro ktk kanisa hili imeota mizizi na inakuwa sehemu ya utamaduni wa kanisa hili. Ukiingia kwenye mitandao ukatfuta historia na taarifa za migogoro utakutana na lundo la migogoro iliyowahi kuripotiwa. Nitawakumbusha michache. 1. Wakati wa mgawanyo wa Dayosisi ya Pare na Mwanga maaskofu...
 20. M

  Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

  Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo tarehe 2 Machi, 2023 kwa ajili ya kusikiliza pamoja na mambo mengine shauri la mapitio (Review) ya uamuzi wake wa tarehe 9 Januari 2023 kati ya Feisal Salumu na Klabu ya Young Africans kama...
Top Bottom