mtupu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Nchi inaweza kuwa bila Daktari kwa zaidi ya mwezi mmoja lakini haiwezi kuwa bila askari hata kwa siku 5 tu.

    Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli. Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Siasa kwenye Elimu ya Tanzania: Wanafunzi 2,4, ii na iv, wabadilishiwa tarehe ya Mitihani kisa El Nino. Wizi Mtupu

    Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6, 2026, badala ya Oktoba 21 na 22. Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili, uliokuwa umepangwa kufanyika Novemba 17 na 18, sasa utafanyika Oktoba 7 na 8, 2026. Kwa...
  3. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani watu wanadhani ina hela lakini kwa ground ni 'Msoto Mtupu'?

    Nauliza tu maana nilishawahi kufanya kazi kama mtangazaji kwenye redio moja ya mkoani Lakini weee hakuna rangi niliacha kuona Tulikaa miezi 6 hatujalipwa alafu Boss anakuambia "Bro, hapa tunakupa platform ukue, jina likiwa kubwa utapiga hela." Tatizo ni kwamba hiyo platform haiwezi kulipa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Simiyu: “Dr. Mwigulu ni Magufuli mtupu”

    Ziara ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Mkoani Simiyu imekonga mioyo ya wana-Simiyu. Katika mazungumzo na wananchi mbalimbali, wengi wameeleza kuvutiwa na namna Waziri Mkuu anavyokemea uzembe na wizi, pamoja na kusisitiza hatua za kubana matumizi ili fedha hizo zielekezwe katika shughuli...
  5. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania KALA JEREMIAH - WIZI MTUPU

    ## 🎧 INTRO / UTANGULIZI Marc, uliza wizi! Hi..!! 0444 ... ## 🎤 VERSE 1 Wanasayansi walidai nilitokana na nyani, / Biblia yangu inasema aliniumba manani / Ndio maana naziona skendo mnazofanya gizani / Dala dala zinakusanywa zinashusha Sinza makaburini / Mchana dini, usiku ndani kimini / Waumini...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hata kujinunulia Vocha hawezi alafu analazimisha akushauri. Ujinga mtupu!

    MWANAMKE HATA KUJINUNULIA VOCHA HAWEZI ALAFU ANALAZIMISHA AKUSHAURI. UJINGA MTUPU! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nyie dada zangu. Nilishawaambia mfanye kazi. Baadhi yenu bado vichwa ngumu. Hamtaki kujishughulisha. Alafu ninyi ninyi ndio wakwanza kulalamika waume zenu hawawasikilizi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwangu yote ni ubatili mtupu

    As long as the system remains intact, all what is transpiring today, go down to the trench. Ni ubatili mtupu! Nothing has been or will be achieved to get us out of this mauaji, utekaiji and the like!
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuungwa mkono kwa Nchimbi na wapinzani ni mkanganyiko mtupu wa harakati.

    Kuibuka kwa kundi la wanaharakati na wadai mabadiliko wanaompigia debe Makamu wa Rais Nchimbi kwa kauli moja au mbili alizozisema walizozipenda kunaonyesha jinsi gani Tanzania ina safari ndefu ya kuleta mabadiliko. Mambo kama haya yanafifisha sana harakati za mabadiliko nchini, yanaonyesha watu...
  9. papag

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli mtupu, mwisho wa siku hatutoondoka na kitu duniani

    Ukibisha shauri yako
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    Habari za muda humu Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu maana Naona kama shetani amedhamiria kuniharibia maisha Nimeshaleta story ya Kijana wangu wa kisukuma...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Gari za umeme mtupu ni nzuri ila kwa africa zitusubiri kwanza mpaka tutakapo zikifikia gari za mafuta za mwaka 2026 zikawa kitonga.

    Gari za umeme ni nzuri na hazitumii mafuta ni kuchaji tu. Kwa africa sio za kuzipokea haraka maana hatuna uwakika wa umeme,miundo mbinu ya vituo vya kuchaji,mifumo ya mazingira ya gari . Hizi barabara zetu nikama unachezea pesa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi za WANGIWASA zinanuka RUSHWA

    Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Wanging'ombe(WANGIWASA) Waliopo kijiji cha Luduga kata ya Luduga Wamekuwa ni miungu watu kijijini hapa. Hawawajibiki kabisa kwenye majukumu tao yaani wao muda wote wanatuomba rushwa na bila kuwapatia rushwa hawafanyi kazi yeyote ile kwako, badala yake watakuwa...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Eti Mwiguli Nchemba karudisha Tabasamu Monduli. Nani aliliondoa? Ujinga Mtupu😏😏

    Mwigulu Nchemba na Samia Suluhu ni genge moja lilishiriki Mauaji ya 29.10.2025 Nchi Tanzania.. Wananchi walliokuwa wanapinga Uchaguzi kkuyokuwa huru, walliuawa kama Nzi. Hadi Dunia ikashituka. Leo Mwigulu anadai eti amerudisha tabasamu kwa Wananchi.. Nadhani tunataka kujua ilipo miili ya...
  14. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Maridhiano bila haki ni ubatili, tena ni ubatili mtupu!

    Kuna mkanganyiko mkubwa unaoenezwa kwa makusudi katika mjadala wa kisiasa nchini Tanzania kuhusu dhana ya maridhiano. Neno hili linatumika kana kwamba ni suluhisho la kila tatizo la kitaifa, bila kuzingatia misingi ya kisiasa, kisheria, na kimaadili inayopaswa kulitangulia. Kwa mtazamo wa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mabaraza ya ardhi ya wilaya ni ubatili mtupu, yafutwe

    Naomba niende kwenye mada husika kwa kuwaelekeza kwenye mifano halisi. Nachukulia mfano Baraza la ardhi wilaya la Arusha ambapo migogoro ya ardhi imetamalaki na haiwezi kwisha kwa sababu migogoro mingi inachagizwa na wenyeviti wa mabaraza.. Majuzi kwenye pita pita zangu, nikitokea zilipo ofisi...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya bidhaa online ni wizi mtupu sisimizi anauzwa kwa bei ya tembo je hii ni biashara au utapeli?

    Naomba tu kusikia kwenu wadau! Kuna bidhaa huko Mtandaoni hasa Instagram Zile za "FREE shipping/Transport Pay on delivery" Zinakuwa na picha ya bidhaa, video n.k zikionesha ubonyeze kitufe ili kupata oda! Bidhaa nyingi za namna hiyo zipo hapa hapa Tanzania kariakoo na Sinza! Mfano wa bei...
  17. Daraja2

    JamiiForums Tanzania JESCA NI MAGUFULI MTUPU

    Ahsante sana mama kwa kuonesha "utu" kumkumbuka "rafiki yako katika kazi" Kwa uzee wangu, nimeona umetekeleza wosia wa wazee wetu wa kale "Kama ulikuwa unawatembelea wazazi wako wakiwa hai (kijijini) kwa kuwasalimu na kuwapa zawadi basi endelea na utaratibu huo hata watakapo kuwa wameondoka...
  18. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Dira ya taifa ya maendeleo 2050 bila Haki, Demokrasia na Katiba mpya ni uchafu mtupu

    Haijarishi tutakuwa na mipango ya namna gani au dira ya namna gani, kama mifumo ya nchi yetu itaendelea kuminya haki za watu, kuua Demokrasia na kuwepo kwa katiba hii ya sasa ambayo ni mbovu kupita maelezo, dira ya maendeleo ya taifa ya 2050 itabakia kuwa ni UCHAFU mtupu. Watanzania wa sasa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huu ukweli mtupu ungesemwa nasi Wakristo tungeambiwa hatuwapendi, nashukuru Mungu kausema Mwenzao anayejua vyema Uislamu

    Kudadadeki.....
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Mji wa Wakanda ulioahidiwa na mwanamuziki Akon nchini Senegal wageuka kituko na utapeli mtupu.

    Mwaka 2020 mwanamzuki Akon aishiye nchini Marekani alipewa ekari 136 na serikali ya Senegal ili kuwekeza kujenga jiji la Wakanda lenye thamani ya $bilioni 6 (Watu wa mjini hasa Daslam wanaongalia movies wanaelewa vizuri Wakanda, sina haja ya kufafanua). Hata hivyo mradi huo haujafanyika kama...
Back
Top Bottom