wazanzibar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Samia anaamini wazanzibar waliungana kumpigia kura, ila haamini watanganyika waliungana kuandamana(kumkataa) bila kulipwa na mtu

    Wakuu hii imakaaje kwamba kwamba wazanzibar ndio wanauchungu na Zanzibar ila watanganyika wao ni mapoyoyo yanalipwa kufanya chochote. Wazanzibar walikupigia kura kwa sababu ya uwezo au uzanzibari wako!? Watanganyika wao ni wakurubuniwa kufanya chochote
  2. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Tusiingie kwenye mtego wa kugombana na wazanzibar, Na wazanzibar kugombana na watanganyika

    Kinachoendelea ukitulia utajua kimepangwa kwa makusudi, akili yangu inaniambia hili jambo limetengenezwa na wanasiasa kutugawa. Siwezi kujua sana lengo lake ni nini ila ninaamini wajuzi wa mambo wataelewa hichi kinachoendelea, nia yake ni kuvuruga kitu fulani. Kama tunaweza tusiingie kwenye...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Masoud Amour: Si kwamba wazanzibari tunabaguliwa katika ajira lakini ziko ajira hatuzitaki wenyewe

    Mwakilishi wa Amani, Masoud Amour Masoud (CCM) akielezea masuala ya ajira na fursa za Muungano kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 18, 2026. "Si kwamba wazanzibari tunabaguliwa katika ajira lakini ziko ajira hatuzitaki wenyewe." "Ukiambiwa kuna ajira hoteli ya mtoto wako wa kike eh ya...
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar

    Watanganyika wamegeuka kuwa oombaomba ndani ya nchi ya Zanzibar. Kama wazanzibar hawawataki katika nchi yao si muondoke? Kwanini mnang'ang'ania kukaa katika nchi ya watu kwa lazima? Mnasubiri mpaka wazanzibar waanze kuwaua kama inavyofanyika kule Afrika Kusini ndipo mng'oke kutoka huko...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya huyu Mbunge toka Zanzibar ni wazi kuwa Wazanzibar hawataki Muungano na hawautambui. Wapo wapo ndani ya Muungano

    Mbunge anadikiki kutamka, kuwa wenzetu wana Sovreingty sisi hatuna. Hii ina maana kuwa hawatambui kuwa kuna Tanzania
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar ni watu wema sana, Uislamu wao umewafanya wawe hivyo

    1. Kuna watu wanapoteza mamilioni ya fedha ,zinaokotwa na kutangaziwa wenyewe na kukabidhiwa 2. Wakati wa Ramadhani, wanakula nje, wakipita wengine wanakarabishwa. Wakiristo wengi wanakula-Ushahidi wa hili nenda msikiti shurba kidongo chekundu mwezi wa ramadhani 3. Wakiristo wengi hasa J2...
  7. Think2

    JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba mtoe ufafanuzi wa hizi kauli za viongozi wazanzibar

    Kuna kauli za kibaguzi zinatolewa naa viongozi kutoka Zanzibar tukianza na Naibu Waziri wa vijana Zanzibar alisema wasio wazanzibar warudi makwao Leo tena naibu makamu wa afya anasema hawawezi kutibu wasio wazanzibar, hivi serikali haioni haya yanayoendelea nchini kama tumeanza kubagua kwenye...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hawa Wazanzibar wanaotumia Leseni za Zanzibar kuendesha gari Tanganyika Wakamatwe

    Tangu Samia Suluhu Hassan ajimilikiishe Tanganyika, kumekuwepo na Wimbi la Wapemba wansotumia Leseni za Zanzibar Tanzania bara. Hawa ndugu zake samia wote wana leseni za Zanzibar. Wote wakamatwe kwani Leseni sio jambo la Muungano. Pia wasiijifanye ni International license sababu Zanzibar...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Endapo Muungano utavunjika, mali za Wazanzibar wanazomiliki Tanganyika zitataifishwa au zitaendelea kuwa mali halali za nchi nyingine iitwayo Zanzibar

    Uhai wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unakaribia kufika ukingoni. Kuna manung’uniko makubwa sasa kutoka pande zote mbili za Muungano; mwanzoni yalikuwa zaidi upande wa Zanzibar, lakini hivi karibuni Watanganyika wameanza kuona hasara za Muungano huu. Waliotufikisha katika hali hii si...
  10. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Yajue mambo 22 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Je, Muungano umekuwa na tija gani kwa pande zote mbili?

    kumekuwa na sintofahamu nyingi katika masuala yanayohusu Muungano baina ya Zanzibari na Tanganyika huku tatizo kubwa likiwa ni Elimu kwani asilimia kubwa ya wananchi hatujui masuala yahusuyo Mungano baina ya nchi izi mbili suala linalopeleka Muungano baina ya nchi izi mbili kuonekana kuwa ni...
  11. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Samia: Yaliyotokea Oktoba 29 yalitokea pia Zanzibar mwaka 2001. Hakuna jipya! Je, tuamini ni kisasi cha wazanzibar dhidi ya watanganyika?

    Huyu Samia sijui kama yuko sawa kwenye bichwa lake,analinganisha mauaji ya October 29,2025 na mauaji ya Zanzibar yale ya mwaka 2001,huku akidai ni jambo la kawaida, Sawa mauaji ni mauaji lakini huwezi halalisha mauaji kwa mauaji mengine na kutaka tuone kuwa kuuana ni jambo la kawaida. Napata...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Video: Rais Samia ashauriwa Kujifunza historia ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Wazanzibar walifanya mapinduzi ya mwaka 1964 kwa sababu walinyimwa haki ya kuunda serikali yao. Baadhi ya wananchi wanazungumzia hatua za kisiasa za sasa chini ya Samia Suluhu, wakidai kuwa tume ya uchaguzi aliyounda imetoa matokeo yasiyo ya kweli, huku jeshi likitumika vibaya na kutumia mitutu...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kama wazanzibar wakilazimisha kuvunja Muungano wajiandae kuwa mkoa wa Tanzania au Jimbo la TANZANIA hutuwezi kuruhusu magaidi waingie hapo karibu nasi

    Huo ndo uhalisia Zanzibar isingekuwa ndani ya Muungano ungekuta tayari Kuna vikundi vya kigaidi vimechukua utawala Tutakua wajinga kuwaachia ndugu zetu wanzibar wabaki bila ulinzi wa TANZANIA Kama viongozi wao Kwa ulevi TU wa madaraka watavunja Muungano Kwa namna yoyote hatakubali ulafi wao wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Eti wazanzibar? ndio wanaohusika? Are you seriously?

    Je, Wazanzibari Wamehusika? "Kuangalia tatizo bila kuona ukweli wote ni kama kujaribu kupiga msumeno ukiwa na mwinuko mmoja tu." Kuna mjadala mkubwa unaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu yaliyojiri Oktoba 29, kabla na baada ya siku hiyo. Mojawapo ya hoja zinazojitokeza ni kwamba...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Watanganyika mliopo TCRA simameni kuiokoa Tanganyika kuangamizwa na Wazanzibar. Rudisheni mtandao

    Ujumbe kwa Watumishi wa TCRA ambao ni Watanganyika. Wazanzibari wanataka kuiteka Tanganyika na kututawala kwa nguvu. Wamelazimisha Samia atangazwe kwa uchaguzi ambao haukufanyika ba matokeo ambayo yametengenezwa na kila mtu kaona. Simameni kuiokoa Tanganyika dhidi ya huyu mshenzi mzanzibari...
  16. Poa 2

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wazanzibar wawili wajibakisha kuwania urais wa JMT

    Naandika Kwa uchungu sana, Mtanganyika mwenzetu TUNDU LISU anasoteswa mahakamani bila kosa lolote, Ili asigombee urais chura kiziwi apite, akajitokeza mh. Mpina Mtanganyika mwenzetu naye kawekewa Pingamizi la kihuni Ili kizimkazi aendelee kutapanya mali za Tanganyika Kwa waarabu. Watanzania...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

    Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao. maelezo yapo kwenye video hapa chini
  18. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Tanzania kutolewa na Morocco tumefurahi

    Kwann tunune, Kwanini tukasirike, Kwanini tuwe na huzuni. Wazanzibar tumefurahi Note kuna Wazanzibar na Wazanzibara. Ata sisi Wazanzibar tungependa kuona timu zetu katika mashindano ya CAF FiFA na kadhalika ila kwasababu ya Muungano huu wa dhulma tumekosa. TANGANYIKA KUTOLEWA NA MOROCCO...
  19. Egnecious

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi na chuki dhidi ya Rais Samia na wazanzibar

    Inasikitisha kuona mtu kama Maria Sarungi anayejiita mwanaharakati wa haki za binadamu, akiendelea kuonyesha chuki waziwazi dhidi ya Rais Samia na Wazanzibari kwa ujumla. Kila jambo linalotokea nchini kwake linageuzwa lawama kwa Rais Samia, hata yale yasiyomhusu moja kwa moja. Mbaya zaidi...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika?

    Wazanzibari wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika? Wanaruhusiwa kugombea uenyikiti wa vijiji na mitaa Tanganyika?
Back
Top Bottom