wazee

Wazee Lake is a lake east of Black River Falls, Wisconsin, in the town of Brockway, Jackson County, Wisconsin, United States. The name "Wazee" means "tall pine" in the Ho-Chunk language. The artificial lake is the deepest lake within the state of Wisconsin, with a maximum depth of approximately 355 feet (108 m). The man-made lake was formed after the site was used as a quarry for taconite mining between the mid-1960s through April 1983. The quarry produced about 850,000 tons of taconite pellets each year. The mine closed in 1983 as a result of a crash of the domestic steel markets in the United States. When the mine was in operation, pumps removed about 800 US gallons (3,000 L; 670 imp gal) of water per minute from the quarry. Once these pumps were shut down, the quarry began filling with water.
The lake is now part of a county park known as Wazee Lake Recreation Area. The lake is a prime scuba diving destination because of its deep, clear water. Visibility averages between 30 feet (9.1 m) and 40 feet (12 m) during the summer months. There are also visible remains of mining operations underwater, such as roadways used for hauling equipment. Some features have been added to the lake, such as underwater platforms for training divers and fish cribs to improve habitat for the fish. Fish species within the lake include rainbow, brook, and brown trout, bluegills, suckers, catfish, walleye, warmouth, and smallmouth bass.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tone la kwanza la maji lafuguliwa Kilwa

    Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kijiji cha Mavuji, Kilwa Masoko, umeanza kutoa huduma kwa wananchi baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza la maji. Wananchi wamepokea mradi huo kwa furaha, huku wazee wakimuombea dua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mradi huo umegharimu Sh bilioni 44, umefikia...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wazee wa TV Series: Unaambiwa hizi ndio Best TV Series hadi sasa kwa Karne ya 21

    According to NY Times, nadhani wengi mtasupport. .
  3. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kama Makamu wa Rais anaweza kunyamazishwa na wazee wa chama wasiozidi 5 na most of them wazanzibari kuna nchi hapo?

    Hili ni swali je kuna nchi ya namna hiyo hapa duniani? Kote duniani kwenye mataifa yote ya kidemokrasia na utawala wa raia viongozi hondolewa na; 1. Wananchi 2. Bunge 3. Mahakama Sasa hiki ni nini wazee? Are we MAD?
  4. bless on

    JamiiForums Tanzania Hii ndo sababu kwanini wazee wanapenda kuoa vitoto vya afu mbili

    Kwenye vitabu vya kale vya historia, kuna siri moja iliyobaki kwenye kurasa za zamani: Wakati Mfalme Daudi alipokuwa mzee sana na mwili wake ukikosa joto, washauri wake hawakumletea nguo nene za sufu. Walimtafuta binti mbichi kabisa aitwaye Abishag ili alale naye. Lengo halikuwa tu...
  5. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Wazee wa mikeka naombeni odds Tano tu Leo tafadhali

    Wazee wa mikeka naombeni odds Tano tu Leo niweke 1 mil maisha yasogee..kampuni iwe sportbet
  6. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Nyama Choma weekend hii GPS inasoma wapi ? Kwa Dar sehemu gani mafundi wa nyama

    Kuna wale wadau wa Nyama choma kila weekend lazima mtu awe location flani hivi halafu pembeni kuna rhumba inasikika stress zote za wiki zinayeyuka . Wiki hii GPS inakusoma upo wapi ? Au wapi kuna mafundi wa nyama choma wadau tusogee ila hatuji kukuomba maana watu wataogopa kufunguka
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen-Z wanatuzidi sana sisi wazee Kwenye Ujasiri, Wanaulizia Nchimbi yuko wapi

    Vijana wameamua kuchagua vita yao
  8. Rico redi

    JamiiForums Tanzania Kumtetea Dumbya ni kazi wazee

    Toka amekuja tuliamini ni international striker ambaye atatoa quality ambayo huwezi kuipata Kwa local players matokeo yake imekua ni tofauti Kapewa muda,katiwa moyo na mashabiki alipelekewa mpaka kuku + mabango ya kwamba tuko pamoja lakini wapi goli ambalo katengenezewa leo kakosa ambalo...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Walioishi kabla ya Yesu na Muhammad wamepotea ?

    Kama hawajapotea na wataenda mbinguni kulikuwa na haja gani ya Yesu Kristo kuja kufa kwa ajili ya dhambi za binadamu na Muhammad kuja na Quran yake ? Maisha si yangeweza kuendelea tu kama kawaida bila wao?!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Wazee wameanza kuogopa kuongea, mambo yameanza kubadilika

    Salum Mwalimu aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHAUMMA, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa chini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), amesema kuna changamoto ya kuchagua ukweli jambo linaowafanya Wazee kuogopa kuzungumza huku...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Leseni za Udereva ziwe na ukomo wa umri, kuna wazee wanapata changamoto barabarani

    Nina wasiwasi kuhusu mfumo wa utoaji wa leseni za udereva, ambao unaonekana kutokuwa na ukomo wa umri wa mtu kuendelea kuendesha gari. Kuna baadhi ya wazee ambao umri wao umeenda sana, pamoja na watu wenye changamoto za kiafya au ulemavu, lakini bado wanapewa au kuendelea kutumia leseni za...
  12. Jamaa Fulani Mjuaji

    JamiiForums Tanzania HUU UZI NI KWA AJILI YA GEN Z: Kama wapo humu comment hapa, isije ikawa JamiiForums ni ya wazee pekee!

    Mambo vipi Wana-JF Imekuwa kama utamaduni au dhana iliyozoeleka kwamba kule X (Twitter) na TikTok ndio kuna mijadala yenye msisimko ya vijana wa Gen Z (wale waliozaliwa kuanzia miaka ya 1997 kuelekea mbele), huku hapa JamiiForums ikionekana kama kijiwe cha wakongwe, Ma-Millennial waliokula...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CHAMA CHA WAZEE KISIWE CHA HARAKATI, NI HAZINA YA HEKIMA NA MSHIKAMANO KATIKA JAMII - PROF. SHEMDOE

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amekitaka Chama cha Wazee Wanaume Tanzania (CCWWT) kutokuwa chama cha harakati, bali kutumia nafasi yake katika kutoa ushauri, kupatanisha jamii, kulea watoto na vijana, pamoja na...
  14. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Namshangaa Mzee Ulimwengu haoni wazee wenzake wote walishaikimbia Chadema yeye ndo anajitokeza mwishoni inamaana hasomi nyakati?

    Huwezi ukawa Mzee mwenye busara halafu ukawa chadema watu lazima wakushangae, kulikuwepo na wazee wenye hekima wote walikimbia baada ya kugundua kuwa chadema ni Chama cha matapeli wasiojali utu wa watu, kwahyo Mzee ulimwengu amekubali kutukanwa na watu chadema. Kwa mfano: Uchaguzi wa ndani wa...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwasasa Wazee Makini wa Taifa, Wameamua Kujitenga na BUTIKU. Unafiki wa BUTIKU, umemfanya abakia kuitwa nà Jambo TV, TBC !!

    Siku hiI Mzee BUTIKU, HATA akija na kamkutamo kake, Wazee Makini hawaonekani, wanamuacha apambane na Unafiki wake. Kwa upande wa pili, Kwenye Mikutano inayohusu Wazee wenye Akili, Mzee BUTIKU haalikwi !!. BUTIKU kajipotezea sana Heshima yake !!. Kwa msiowafaham Wazanaki, Wazanaki ni watu wa...
  16. papag

    JamiiForums Tanzania Wazee wanaongea , Wakubwa wameziba masikio

    Je tunaelekea wapi?
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU Alivyofukuzwa Chama 1958

    https://youtu.be/rpGbpuig5vA?si=a3xmFfS2jIqdX_gF
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mnaoshi na wawazi wenu wazee naomba msada wa mawazo

    Ipo hivi , mama yangu ni mwalimu mstafu, Mimi ndiye kijana wake wa mwisho, mama yangu ni mgonjwa wa Bp, ni mwaka wa tatu tangia amegundulika kuwa na Blood pressure Ukizingatia umri wake na Hali yake ya kiafya vinanipa wakati mgumu sana, mazingira yalivyo Mimi ni MTU wake wa karibu zaidi,kwa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Wazee mnaonaje Katuga anavyogongwa na NGULI kwenye vijiswali vyake?

    Wadau kama swali linavyojieleza naomba majibu kupitia assessment yenu.
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wazee wa kudandia kila jambo mtakaposhituka October 30 2030 hiyo. Hamna mlichojiandaa

    Ukiwa na mpinzani lofa kwenye biashara au kwenye siasa raha sana. Yeye huwa hana mipango yoyote zaidi ya kudandia kila jambo unalomwekea mbele yake. Huku anashadadia mambo yasiyomuhusu wewe unatoboa na kusonga mbele. Wapinzani hamtafanikiwa kwa jambo lolote, labda mtafanikiwa kuwaingiza...
Back
Top Bottom