kuweka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kusafisha Mto Ng'ombe (Dar) kisha kuweka uchafu kwenye milango ya makazi ya watu sio salama kiafya

    Huu utaratibu kuwekewa uchafu mlangoni kwenye makazi yetu wakati mtambo wa kusafisha Mto Ng'ombe hapa Dar sio salama kwetu kwa kuwa uchafu wote unakuja kwenye makazi yetu na kutuweka katika hali hatarishi kiafya.
  2. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Barabara zote ni za serikali, polisi wanaweza kukuzuia kuweka gari lako barabarani!

    watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata...
  3. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Nataka nidundulize kuweka akiba kidogo kidogo pesa na baada ya miaka mitatu ndio niichukue. Ni service gani hapa bongo itanipa riba nzuri.

    Karibuni
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini baadhi ya ofisi hupendelea kuweka maua ya asili

    Je ulishawahi kuliona ama kulitafakari hili kama alivyofanya Manyanza !? Ofisi kubwa na za kisasa huweka maua ya asili kama mkakati wa kisayansi wa kusafisha hewa maeneo ya kazi. Mimea hii hufanya kazi kama chujio la asili kwa kufyonza kemikali zenye sumu zinazotoka kwenye rangi, samani, na...
  5. Moaz

    JamiiForums Tanzania Taifa kwanza wakati wa Tanzania kuweka utaifa juu ya tofauti zetu

    Utangulizi Katika kipindi ambacho dunia inapitia mabadiliko makubwa ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiusalama, kuna jambo moja ambalo linajidhihirisha wazi zaidi kuliko wakati mwingine wowote: mataifa ambayo yanaweza kusimama imara mbele ya changamoto kubwa ni yale ambayo wananchi wake wana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waanze kumobilize maandamano ya nchi nzima

    Hawa ccm wanatakiwa kupewa somo for once and for all. Watanzania wengi tupo tayari ku-sacrifice maisha yetu kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo. Huu upuuzi unatakiwa ukomeshwe for once and for all. Sasa wanachotakiwa Chadema waanze kumobilize waandamanaji taratibu kwenye mikutano yao ya hadhara...
  7. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Member Red-me unaendaleaje na harakati zako za kukataa totozi na kuweka rehani uanaume wako?

    Red-me za sahizi mkuu..!!?,mara ya mwisho Katika moja ya nyuzi zako ulisema unatamani uhasiwe ili usiwe unasimamisha mchi, ukaenda mbali na kuzizodoa nyapu (mbunye) kwamba ni overrated na huoni umuhimu wake. Hayo yakiendelea wadau mbalimbali walionekana kusikitishwa na bandiko lako kiasi cha...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hamas yakubali kuweka silaha chini Gaza

    Hamas yakubali kuweka silaha chini Gaza; Trump kutangaza mpango wa Bodi ya Amani .Chanzo cha picha, Reuters Afisa mwandamizi wa Hamas ameliambia shirika la habari la BBC kwamba kundi hilo limekubali mpango wa Bodi ya Amani wa kuachana kabisa na silaha katika Ukanda wa Gaza huku akiongeza kuwa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Je kiitendo cha Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wajipambanie wenyewe katiba mpya wakati yeye ndiye alipaswa kuweka mchakato huo ni U-Yuda?

    Nafikiri kitendo cha Makamu wa rais Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wapambanie katiba mpya wakati yeye ndiye aliyepo kwenye nafasi ya kuwezesha mchakato huo lakini hata hivyo hajafanya hayo ni saliti mkubwa kwa Watanzania.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mufti mkuu wa Tanzania: wito wa uwazi kuhusu sakata la kuondoshwa Sheikh Walid

    KBARUA YA WAZI KWA MUFTI MKUU WA TANZANIA: WITO WA UWAZI KUHUSU SAKATA LA KUONDOSHWA SHEIKH WALID Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania Yah: Ombi la kuweka wazi sababu za kuondoshwa Sheikh Walid ili haki na ukweli ujulikane Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Kwa heshima na taadhima...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO PSSSF Halmashauri ya Kishapu wanachelewa kuweka mafao yangu

    Nilikuwa muajiriwa wa Halmashauri ya Kishapu kwa miaka miwili na nusu mpaka nikaacha kazi; ni zaidi ya miezi mitatu sasa imepita lakini mafao yangu ya PSSSF Bado hayajatimia yote Hali inayonifanya nishindwe ku-claim malipo yangu. Naomba msaada hili liwafikie viongozi tafadhali
  12. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya ofisi za umma kuweka kondomu kwenye korido?

    Wadau wa JF sina shida na nyie nina shida na hizi ofisi za umma kuweka condom dispensers kwenye korido. Hii imekaa sawa kweli wadau? Mimi naona haijakaa poa sana sana ni kuhalalisha ufusika maofsini tu. Kwa mtindo huu tutegemee kuongezeka kwa matukio ya rushwa ya ngono pia na kuchapiwa wake...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Marekani yaishambulia Iran kijeshi na kuweka vikwazo vipya vya mafuta, hali yachafuka Mashariki ya Kati

    Wakuu, hali ya usalama duniani inazidi kuwa ya wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti za hivi punde kutoka Mashariki ya Kati. Jeshi la Marekani kupitia Kamandi yake Kuu (CENTCOM) limethibitisha kufanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya maeneo ya kimkakati nchini Iran (ikiwemo Bandar Abbas na...
  14. H r n

    JamiiForums Tanzania Najuta kutembea na wallet! Sitorudia kuweka pesa kwa wallet kamwe!

    Habari wakuu. Leo mida ya mchana hivi nilikuwa om ,nikasema nitoke kiaina nikawacheki wana kijuweni, si unajua wana wa kitaa kuonana mpaka wikiendi,so nikapita ATM 🏧 Nikatoa kama laki 2 hivi nikatia kwa walet mfuko wa suruali ya jeans tena wa nyuma nikasema nipite kwa wana pale ,kijiwe nongwa...
  15. Street brain

    JamiiForums Tanzania Arusha Walking Fitness route Tuanze Mazoezi ya Kutembea Kila Weekend Ili Kuweka Mwili Sawa!.. waliopo Arusha tu

    Habari wanajf!!! Nimeamua kuanzisha group ili ili tuweze kufanya mazoezi ya kutembea pamoja kila siku ya weekend (Saturday na Sunday).
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nimepewa maono, Sheikh Mwaipopo unafuata kama ilivyokuwa kwa Sheikh Majini

    Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!. Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako za Kigaidi. Sasa Mungu amenena nami, kama alivyonena na Manabii wake juu ya Wafalame waovu, UNAFUATA...
  17. Mjomba Malume

    JamiiForums Tanzania Ronaldo Amaliza Ukame na Kuweka Rekodi Mpya World Cup 🔥

    Cristiano Ronaldo aliisaidia Portugal kuifunga Uzbekistan 5-0 baada ya kufunga mabao 2 kwenye mchezo huo. Mabao hayo: Yamekatisha ukame wake wa mechi 10 bila kufunga kwenye mashindano makubwa. Na pia yakamfanya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga kwenye World Cup 6 tofauti. Ronaldo sasa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Diaspora, kama ni ngumu kuweka appointment na Trump, weka na Ted Cruz

    Angalau kutana na huyo ana kwa ana mpe the very details of what transpired on 29th October 2025. Ukweli na msitie chumvi! Face to face makes a difference ! Ni hilo.
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO YAS wanatumia pesa za wateja za YAS Kibubu kuweka fixed

    Yas wanatumia vibaya uaminifu tuliowapa, nimeweka pesa kwenye kibubu kuhifadhi tu lakini wawezizua hazitoki na hawana majibu ya kueleweka salio la kibubu ni 0. Lakini wanadai pesa ipo haijatoka ila kuna shida ya mtandao leo siku ya 7 na ni pesa ya matibabu Mama angu kalazwa sina pesa nyingine...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ulega: Kwa ajili ya AFCON, kuna mpango wa kuweka Taa za Barabarani Dar na Arusha za Bilioni 40

    Tutajenga na kuweka Barabara nyingi Taa za barabarani kwa ajili ya maandalizi ya AFCONMkwa mfano hii Dar na Arusha tu peke yake matarajio yetu ni taa za karibu Bilioni 40, na hii ni mipango tu, na hii itafanikiwa kwa kupitishiwa bajeti hapa bungeni. Hii ndiyo Mipango ya Wizara ya Ujenzi...
Back
Top Bottom