mabaya

Mabaya is a surname. Notable people with the surname include:

Brice Mabaya (born 1986), Chadian footballer
Jean-Philibert Mabaya (born 1949), Congolese politician

View More On Wikipedia.org
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wakuu naona kama town (Dar) kumekuwa na matumizi mabaya ya ving'ora

    Wazee inakuwaje siku hizi unaweza kuwa unapita zako labda Maandazi Road mara ghafla V8 inawasha king'ora ili mumpishe.. yaani imekuwa kero kubwa. Wakazi wa Dar wanakutana na ving'ora vingi kwa siku. Ifikie sehemu mamlaka zinazohusika zidhibiti hii hali. Kwani idadi ya viongozi au watendaji wa...
  2. Keynez

    JamiiForums Tanzania Wapi kwenye katiba imeainisha mapinduzi mazuri na yale mabaya? CCM ina uhalali gani wa kutamba na mapinduzi yake?

    Kama tunakubaliana kuwa kupanga au kutekeleza mapinduzi ya kisiasa ni uhaini na ni kosa kubwa katika nchi, hatuwezi kusema mapinduzi fulani ya kisiasa ni halali na mengine ni haramu. Vilevile, hatuwezi kusema kundi fulani la watu lina haki ya kufanya mapinduzi na wengine hawana haki hiyo...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Hatari ya matumizi mabaya ya mtandao wa majitaka

    Mtandao wa majitaka unapotumiwa vibaya ni kero katika jamii, na chanzo cha magonjwa mbalimbali ambayo matibabu yake ni gharama. Matumizi sahihi ya mtandao huo ni moja ya ustaarabu katika jamii, na huepusha usumbufu kwa watumiaji na wadau wengine, pia mazingira
  5. R

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu anaruhusu mabaya yampate binadamu?

    https://youtu.be/JAJCrk-oZeo?si=eSJXVSTTrXr__E-r
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Nilifanya kwa ajili ya uzalendo, yale mabaya nisamehewe

    Sheikh Said Mwaipopo kile alichokuwa akikiita kikosi chake hatari cha 'Chui weusi' hawakuwa askari wala hakutumwa na serikali bali walikuwa ni raia na aliyokuwa anayafanya alifanya kwa ajili ya uzalendo Amesema hayo leo Septemba 4, 2026 mara baada ya kukaa kikao alichoitwa na Waziri wa Mambo ya...
  7. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Zimamoto Latoa Onyo Kuhusu Matumizi Mabaya ya Gesi ya Majumbani

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa wito kwa wananchi kuwa waangalifu wakati wa matumizi ya gesi ya majumbani (LPG) ili kuzuia majanga ya moto na milipuko. Katika elimu iliyotolewa na afisa wa jeshi hilo kupitia kipaza sauti, alieleza kuwa matumizi ya mpira wa gesi au valve iliyoharibika kwa...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwa maisha ya zamani sasa hivi tungemsoma kama Nabii mkubwa

    Hamjambo! Bila kuwa na maneno mengi. Ni hakika katika nchi yetu kama ingekuwa zamani basi leo hii tungekuwa na Nabii aitwaye Tundu Antipas Lissu. Anatimiza vigezo vyote vya kuwa Nabii. Nimewasoma kina Daniel, Ezekiel, Kina Yeremia, kina Isaya na wengineo. Kwa mambo anayoyafanya Lisu ni wazi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa Halmashauri ya Mji Kondoa (TC), tunafanya kazi katika mazingira magumu

    Sisi ni madereva wa Halmashauri ya Mji Kondoa, na tungependa kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu changamoto tunazokutana nazo kazini, hususan kuhusu mwenendo wa Afisa Usafirishaji wetu. Unyanyasaji na madai ya kugawana posho: Afisa Usafirishaji amekuwa akitunyanyasa na kututendea isivyo haki...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Falme za Israel agano la kale zilikumbukwa Kwa mema au mabaya yaliyotendwa; ndivyo Samia na magufuli watakavyokumbukwa.

    Utawala wa Samia una damu kubwa sana ya watanganyika Kuanzia waliotekwa mpaka waliouwawa 29octoba2025 hivyo utawala wake utakumbukwa kama utawala wa mwanamke muovu kuwahi kutokea katika taifa letu. Na pengine mwanamke muovu zaidi afrika.
  11. idiomer

    JamiiForums Tanzania Mabaya haya yana faida gani?

    Mtu anatesa mtu Mtu anamuua Mtu Mtu anamdhulumu Mtu Mtu ananyanyasa Mtu Mtu anamtesa Mtu kwa sababu ya mtu
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni nani ana majeraha mabaya zaidi mpaka sasa miongoni mwa team zinazopambana katika vita vya ufisadi ndani ya CHADEMA?

    Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
  13. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kumfanyia mtu mabaya, ebu jaribu kuwazia familia na wategemezi wake.

    Mnanyima ndoto na uhai kwa wengine kupelekea mifadhaiko kwa wanae huku nyie mkirudi nyumbani mkiwakombatia watoto wenu kwa furaha na bashasha
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madai ya matumizi mabaya ya kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Tarime

    Kuna madai ya matumizi mabaya ya madaraka katika Shule ya Sekondari Tarime yanayohitaji uchunguzi wa mamlaka husika. Inadaiwa kuwa Mkuu wa Shule alipendekeza mwalimu wa Fizikia ahamishiwe shule nyingine kwa madai kwamba utendaji wake darasani ulikuwa duni na alishindwa kumaliza mada. Hata...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya kusema samehee waliokutendea mabaya ila ukifatilia kwa umbali ni ulaghai umelazimishwa ushindwe

    Sio kila misamahaa unaweza kusamehee ila kuna mambo mengine mfano yani mtu kakufelisha umekuwa maskini unaambiwa usamehee ,Je angekumaliza kabisa uhai na hapo ungesamehee nini. Huyu unaye msamehee akishakumiza bila kuchukuliwa hatua anatafuta watu wengine maana kashamalizana na wewe ...
  16. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Akili inaniambia Mwana FA hajafanya kwa bahati mbaya vile.

    Mimi ni mmoja wa watu ambao nimemfatilia sana Mwana FA toka akiwa msanii hadi pale alipoanza siasa mwanzon ila baadae nikaja nikaacha. Sifikirii kua na sitaki kuamini kua Mwana FA niliekua namjua atakua kabadilika hapana. Ninachokijua kuhusu Mwana FA ni kua ni mtu ambae ametokea Mtaani ni mtu...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uchaguzi wa Red Cross - Mtwara umegubikwa na utata na matumizi mabaya ya madaraka

    Habari mimi ni Mwanachama wa Red Cross Tanzania Mkoa wa Tawi la Chuno, Mtwara, Wanachama wa Red Cross tunashangazwa na uhuni unaofanyika katika taasisi hii katika uchaguzi ulioanza tarehe 22/06/2026. Mwenyekiti wa Mkoa ambaye hata wanachama hawajui ni mkazi wa Mkoa gani anashirikiana na baadhi...
  18. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya pesa za umma naziona kwenye sherehe/kilele ya Utumishi wa umma

    Naona Kuna taasisi nyingi zimeweka mabanda hapa chilangali kuhitimisha wiki/kilele cha Utumishi wa umma jambo ambalo halina manufaa kwa Taifa,ni afadhali kungekuwa na tamasha la tamaduni kuliko haya mambo ya ajabu.
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mazuri na mabaya ya damu group O

    Kwanza kabisa Takriban 37% hadi 42% ya watu wote duniani wana kundi hili la damu. Nafasi ya pili inashikiliwa na kundi la A Chanya (A+) ambalo linapatikana kwa karibu 31% ya idadi ya watu duniani. Kundi la damu la O Chanya (O+) hubeba siri kubwa ya kiungu, likiwa kama chemchemi ya uhai...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Moja ya dalili kwamba utafeli maisha ni kuchukia wanaokuzuia usifanye mambo Mabaya

    MOJA YA DALILI KWAMBA UTAFELI MAISHA NI KUCHUKIA WANAOKUZUIA USIFANYE MAMBO MABAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Ishara za mwanzoni kabisa za mtu kufanikiwa maisha sio katika bidii yake, sio katika Uchapakazi wake, sio katika uhodari na ujasiri wake. 2. Ishara za mwanzoni ukitaka ujue...
Back
Top Bottom