suluhisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tujenge separate roads za malori na mabasi, gari ndogo etc. Ajali za Morogoro wala hakuna funzo tunalolipata. Pendekeza suluhisho!

    Hivi hatuwezi kweli kujenga barabara za malori tu angalau several kilometers from town center yachepuke kuepukà msongamano na kuleta àjali. Casual observation inaonesha kuwa ajali mbàya zinatokea several, 10, 15, 20 kms kutoka mjini centre....... Morogoro pamekuwa machinjioni ya maisha ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ni wazi malori ndio chanzo cha ajali nyingi nchini; suluhisho la kutatua msongamano wa malori barabarani ni hili hapa, kama kweli serikali iko serious

    Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara. Sasa basi suluhisho ni nini? Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
  3. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Je, unakoroma sana ukilala, na kwamba ndoa yako iko mbioni kuvunjika kutokana na kukoroma huko? Suluhisho lako ni hili hapa 👇

    SULUHISHO LA TATIZO LAKO LA KUKOROMA NI MOJA TU; JIFUNZE KUHEMA KWA KUTUMIA MDOMO UKIWA UMELALA ILI HEWA ITOKE NA KUINGIA KWA UHURU. Hili la kuacha mdomo wazi siku kicha linaweza kuwa gumu, lakini ukifiria kuwa bila kufanya hivyo, ndoa yako inaweza kuvunjika kutokana na kukoroma kama jenereta...
  4. O

    JamiiForums Tanzania NMB, NAOMBA MNIPE MAELEZO NA SULUHISHO LA TATIZO HILI

    Nimekuwa nikitumia NMB Mkononi kwenye simu yangu ya zamani. Kwa bahati mbaya, simu hiyo iliharibika. Baada ya kupata simu mpya, nime-install NMB Mkononi na kujaribu kuingia kwenye akaunti yangu, lakini nimekuwa nikishindwa. Nimekuwa nikijaribu kwa takribani miezi mitatu, lakini bado...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tungependa kutambulisha rasmi suluhisho na bidhaa yetu ya Jamiisound kwa wadau na wapenzi wa muziki na mashabiki

    Utambulisho wa JamiiSound: Platform ya Kusambaza na Kusikiliza Muziki (Music streaming platform) katika hatua zake za awali. Tunafurahi kuwatambulisha Watanzania wenzetu JamiiSound, moja kati ya bidhaa zetu nyingi ya kidijitali inayolenga kurahisisha usikilizaji, ugunduzi na usambazaji wa...
  6. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine Suluhisho huanzia kwa Mtu usiyemjua

    Kuna kipindi unafika mahali unaona si busara kukaa kimya, lakini pia si lazima ueleze kila kitu kinachokupitia. Kwa sasa niko kwenye hatua ya kujipanga upya. Sina ajira ya kudumu, lakini ninaendelea kutafuta namna ya kujenga kipato changu mwenyewe. Kuna mambo kadhaa ninayafanyia kazi, na...
  7. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania jana nilileta uzi wa kulia lia kuwa duka langu lina mauzo madogo, sasa nimeona kulia lia hakuna suluhisho, nafikiria kujibana na nianzishe side hustle

    Jana👇 https://www.jamiiforums.com/threads/hamna-kitu-kinauma-kama-tangu-asubuhi-umeuza-elfu-30-tu-alafu-nje-ya-duka-lako-jamaa-kapaki-hilux-number-e-tsh-70m-hivi-mnapataje-pesa-wakuu.2472707/ Leo👇 OMBI LANGU KWENU WANA JF Sihitaji kuomba kukopeshwa humu wala msaada wa fedha bali maarifa kuhusu...
  8. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Peter Madeleka: Yaliyotokea Oktoba 29 ni jinai, maridhiano sio suluhisho, hatua zichukuliwe kijinai kwa waliohusika

    Mwanasheria maarufu nchini, Peter Madeleka amesema matukio yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 yana masuala ya jinai yanayopaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, akisema maridhiano hayawezi kuwa suluhisho la makosa ya jinai. Kauli hiyo ya Madeleka imekuja wakati Serikali...
  9. SGS AGENCY

    JamiiForums Tanzania Asali ya Unga ni suluhisho la magonjwa mengi

    IJUE ASALI YA UNGA ( POWDERED HONEY) Dawa ya asili yenye maajabu ya kipekee. Ni dawa iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa ASALI NA MIMEA (mitishamba au mimea tiba ) NI dawa ambayo imeonyesha mafanikio makubwa kwa kutibu maradhi mbalimbali kama vile: 1.Maumivu ya kichwa , mgongo, kiuno , magoti...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Stendi Kuu na Vituo vya Makontena (ICD) vya Kimkakati kama Suluhisho la Kudumu la Msongamano Dar es Salaam

    Jiji la Dar es Salaam linakabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano wa magari na foleni za muda mrefu zinazosababisha hasara kubwa ya kifedha kila siku na kuchelewesha shughuli za kiuchumi. Sababu kuu ya changamoto hii ni mfumo wa sasa wa miundombinu unaolazimisha mabasi mengi ya mikoani na...
  11. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Pata Suluhisho la meno bandia ya kudumu hapa , Usibaki na Mapengo

    Meno bandia ya Kauri Porcelain Fused to Metal (PFM) ni meno ya kutengenezwa ambayo yana msingi wa chuma (metal) ndani na kufunikwa kwa kauri ya porcelain nje. Hutumika kurejesha jino lililoharibika sana au kuchukua nafasi ya jino lililopotea, hasa kama sehemu ya crown au bridge. Faida za...
  12. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Je, unawahi kufika kileleni?? Suluhisho hilo hapo chini 👇

    Kwanza kabisa, hii ishu imekuzwa, wanaume wengi nguvu za kiume tunazo, tatizo ni stress za maisha, ili kua stress free kabla ya kuchakata masuala Fanya hivi 👇👇 Chukua maji ya baridi unywe Lita Moja, baada ya hapo kunywa 🍺, hasahasa safarilager ndogo 2 au 3, wakat unakunywa unakua unatafuna na...
  13. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Je, una Changamoto Yoyote Ya Afya Kinywa na Meno!? Ikiwepo kukosa meno !? Suluhisho hili hapa

    😁 Rudisha tabasamu lako kwa meno bandia ya kudumu (Crowns & Bridges)! Je, una jino lililovunjika, lililoharibika au lililopotea? Tunakupa suluhisho la kudumu kwa kutumia Crowns & Bridges zenye muonekano wa asili, uimara na faraja. ✨ Faida zake: 🦷 Hurejesha umbo na kazi ya meno. 🦷 Huboresha...
  14. mike2k

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Umeme Newala: Ni Wakati wa Kupata Suluhisho la Kudumu

    Nimekuja kikazi Wilaya ya Newala, Kata ya Kitangari, Nilitarajia changamoto za kuzoea mazingira mapya, lakini sikutarajia changamoto kubwa ya umeme. Kwa kweli, hali niliyoikuta imenikumbusha enzi za mgao wa umeme miaka iliyopita, ambapo umeme ungeweza kukatika kwa saa nyingi bila maelezo ya...
  15. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Kuundwa kwa Serikali ya Tanganyika ni suluhisho la kudumu la kero nyingi za Muungano wetu

    Objection ya CCM dhidi ya uwepo wa Serikali ya Tanganyika ni baseless (or at least outdated). Hapa duniani ipo mifano kadhaa ya nchi ambazo zina muungano unaofuata mfumo wa shirikisho (federal system) na miungano yao haiteteleki. Kwa leo nitatoa mifano mitatu ifuatayo: ◾️Ujerumani: Hili ni...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Suluhisho kwa watu waliokosa furaha

    Furaha ni hisia inayojengwa na vitu vitatu kiroho,kimwili na kijamii. Kwa leo nitaeleza ni jinsi gani unaweza kurudisha furaha iliyopotea kwa kuzingatia mlo kamili na mazoezi. Hii itakusaidia kurudisha hamu na mood yako. Sasa twende sawa. Kuna vyakula kadhaa vinavyoweza kusaidia kuongeza homoni...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Suluhisho salama la asili kuhusu bawasiri

    Tunalo Suluhisho Salama na la Kiasili Tunasaidia kuondoa changamoto ya bawasiri bila upasuaji, kwa kutumia virutubisho asilia vilivyothibitishwa ambavyo vinasaidia Kuyeyusha kinyama: Kusaidia kusinyaa na kuondoka kwa kinyama kilichojitokeza (kwa bawasiri ya nje). Kulainisha choo: Kuondoa tatizo...
  18. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Imenichukua muda kuelewa kuwa kama mwanamke anakuambia kuhusu matatizo na issues zake wala hahitaji suluhisho bali umsikilize na umpe attention

    Na bado ukiishia kuwa msikivu na ukimpa attention anakuuliza "imekuwaje leo umeniskiliza hivi, kun kitu unanificha" Such unpredictable creatures, mehn.
  19. Keynez

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Muungano wa Tanzania unaweza kuwa suluhisho la kudumu la mgogoro wa Israeli na Palestine

    Siku moja niliwahi kuwaza, hivi pamoja na matatizo ya muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, inawezekana kwamba muundo huu huu unaweza kufaa maeneo kama Middle East katika kupata suluhisho la kudumu kati ya Israeli na Palestine? Kabla haujanicheka au kunishambulia, embu tuwaze wote...
  20. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Pesa haitaki shida, inataka watu wenye suluhisho

    PESA HAITAKI WATU WENYE SHIDA, INATAKA WATU WENYE SULUHISHO. Pesa ina njia zake. Ina tabia ya kupita mbali na mtu anayelalamika, anayetafuta msaada kila wakati, au anayeomba omba na kulialia shida kila mara. Lakini ina tabia ya kumtembelea kwa ukaribu mtu anayetoa thamani, anayeleta...
Back
Top Bottom