asili

Asili is a village on the southwest coast of Tutuila Island, American Samoa. It is located between Leone and 'Amanave. It is located in Lealataua County.
Both the Malagateine Stream and Asili Stream flow through Asili before discharging into the sea. A former World War II bunker is located near the shoreline. Several species of Gobie fish, as well as Mountain bass and Freshwater eel, have been recorded in Asili Stream. The Asili Stream originates at 1,190 ft. above sea level. It discharges near the center of the embayment that fronts the village. The main branch of the Malagateine Stream starts around the 520 ft contour along the east side of the Malagatiga Ridge.

View More On Wikipedia.org
  1. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Wazee wa maelekezo, wazee wa kufuata masharti, wakulumbembe, wakubwa, waamini asili, waganga wa kienyeji: Mnaitwa hapa

    Hivi kweli hizi dawa za kuoga zinaweza kuleta maajabu au matokeo yoyote mtu anapotumia kwa kuzioga mfano kama kusafisha nyota n.k au ndo unaweza hata kuoga bahari zote mpaka zikaisha ila mambo yakawa vile vile Kwa wazoefu tu, karibuni.
  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Asili Halisi ya Mwenge wa Uhuru: Siri Yafichuka

    Wengi wetu tumebahatika aidha kushiriki au hata kuchangia mbio za Mwenge wa uhuru wa Tanganyia (Tanzania), lakini ni wangapi kati yetu tunajuwa asili haswa ya huo Mwenge!? Ipo siri kubwa kuhusu Mwenge wa Uhuru ambao hukimbizwa nchi nzima. Wapo wanaodhani kwamba aliyeleta mabadiliko katika nchi...
  3. Malaki

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Gongo la Mboto karibu na Kituo cha Daladala cha Maliasili kuna tatizo la bomba la maji kuvuja sana

    Katika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, kuna yard ya magari ya mwendo kasi. Kumekuwa na tatizo la maji ya DAWASA kuvuja na kutiririka katika eneo hilo. Maji hayo yameendelea kutiririka kwa takribani mwezi mmoja, huku yakielekea hadi eneo la...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Utafiti jijini Mwanza umebaini dawa za Asili za Nguvu za kiume uchanganywa na Viagra dawa za hospitalini

    Katika utafiti uliofanyika ndani ya viunga vya Mwanza ambao ulihusisha kuzifanyia uchunguzi dawa za asili za Nguvu za kiume zinazouzwa na watu binafsi, makampuni au watu wa mitishamba na jadi. Dawa hizi za asili zilikutwa na mchanganyiko wa Sildenafil na Tadalafil, Dawa ambazo ni za hospitalini...
  5. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania ZIJUE SABABU ZA KUWA NA RATIBA YA VIPODOZI VYOTE VYA ASILI

    Baadhi ya viambato hai vya skincare (active ingredients) hufanya kazi pamoja kusaidia kuongeza unyevunyevu, kuondoa seli zilizokufa za ngozi, na kurekebisha kinga ya ngozi (skin barrier). Kuchagua viambato sahihi kunaweza kuleta tofauti kubwa katika jinsi ngozi inavyokuwa laini na yenye...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini baadhi ya ofisi hupendelea kuweka maua ya asili

    Je ulishawahi kuliona ama kulitafakari hili kama alivyofanya Manyanza !? Ofisi kubwa na za kisasa huweka maua ya asili kama mkakati wa kisayansi wa kusafisha hewa maeneo ya kazi. Mimea hii hufanya kazi kama chujio la asili kwa kufyonza kemikali zenye sumu zinazotoka kwenye rangi, samani, na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Asili na Sayansi

    ASILI NA SAYANSI Katika maisha haya ya leo tunajua na kufahamu uwepo wa asili na sayansi, asili ni nini na sayansi ni nini, haya ni maswali mtu anapaswa kujiuliza katika safari ya utambuzi binafsi. Asili ni namna yenye sifa nyingi sana zisizo na mwanzo wala mwisho zenye muunganiko usio kufa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Asili na Sayansi

    ASILI NA SAYANSI Katika maisha haya ya leo tunajua na kufahamu uwepo wa asili na sayansi, asili ni nini na sayansi ni nini, haya ni maswali mtu anapaswa kujiuliza katika safari ya utambuzi binafsi. Asili ni namna yenye sifa nyingi sana zisizo na mwanzo wala mwisho zenye muunganiko usio kufa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Asili na Sayansi

    ASILI NA SAYANSI Katika maisha haya ya leo tunajua na kufahamu uwepo wa asili na sayansi, asili ni nini na sayansi ni nini, haya ni maswali mtu anapaswa kujiuliza katika safari ya utambuzi binafsi. Asili ni namna yenye sifa nyingi sana zisizo na mwanzo wala mwisho zenye muunganiko usio kufa...
  10. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Asili ya binadamu kujipendekeza na kutaka kukubalika hata na watu wasiomjua

    Tangu juzi naangalia status za whatsapp za watu hapa kazini, kama watu sita hivi wamempost Makamu wa Raisi Mteule, Deo Ndejembi. Sasa nakuwa najiuliza, una mposti mtu ambaye hata hakujui ili iweje? Unampostia nani? Unamjulisha nani ambaye hajapata hizo taarifa kwamba Makamu wa Rais Mteule ni Deo...
  11. USSR

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ukweli wa asili ya Deo Ndejembi - Mama yake alikuwa na asili ya Kiarabu

    Mods naomba uzi huu usiungwe kule Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi. Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada wakubwa wa CCM na kiongozi mkongwe wa CCM Mkoani Dodoma Alihudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma...
  12. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo ngoma za asili nzuri zaidi Tanzania.

    Japo kila watu na ladha zao. Kwa duniani ngoma za Japan(Taiko) hazina mpinzani. Hawa jamaa wapo serious sana na swala la ngoma. https://youtu.be/1HHic-ylhOE?si=zNbIbbQyO7OqByCn Kwa Afrika Waburundi hawana mpinzani. Hawa hata kwa dunia huwezi kuwatoa top 5. Hawa jamaa wanazunguka dunia nzima...
  13. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Vale Nafaka ni mzuri wa asili hilo halipingiki

    Ila Vale Nafaka ni mzuri na mrembo. Mungu kampendelea sana huyu binti. Kwaanzia kwenye unyayo katikati hadi utosini. Hii pisi ni balaa. Yani hadi nashindwa kuelezea maamaee walahi. Kwa wale wasiomjua Valentina Gabriel ni binti mdogo tu wa miaka 25 anajishughulisha na maswala ya kilimo na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Damu ni nzito kuliko maji: Baba wa kambo hata uwajali watoto, wakikua wataanza kutafuta asili za baba zao, hata kama mama zao waliwasingizia mabaya

    N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua. Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
  15. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa kijaluo ni wazito wa kurudi vijijini ilipo asili yao na hata kama wakirudi wanaenda kwa kujificha jificha?

    Inasemekana kuwa maeneo deep ya ujaluoni kuna uchawi ulio kithiri sana. Inasemekana hata maendeleo yamedumaa maana anaeunuka anadondoshwa in no time. Je hii ndio inaweza kuwa sababu kuu ya vijana hawa kutorudi vijijini?
  16. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Je, watoto wako watakumbuka asili ya ulipotokea? Watajua lugha na tamaduni za kwenu?

    NI declare kwamba nini ni Mjaluo Kwa asili kabisa, wazazi wote pande mbili, licha ya kuzaliwa na kukulia mkoa wa morogoro, mzee wangu alikua mtumishi wa serikali kazunguka sehemu nyingi Morogoro ndio makazi yake yapo mpaka Leo, Ujaluoni nimefika marachache zaidi nadhani katika maisha yangu...
  17. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Tiba za kihindi (ayurvedic) na za asili za Tanzania malipo ni baada ya kupokea mzigo

    Hernia powder;shs 40,000 dozi Siku 7 ni dawa ya Asili inatibu tatizo la ngiri na uvimbe, Korodani kushuka na kuingia ndani,maumivu ya Korodani, ume kulegea au korodani kuvimba, homoni msawazo shs 40,000 dozi siku 28 ni dawa bora ya kutibu magonjwa yote ya uzazi -Ugumba, Pid, chango la...
  18. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuivuta fedha ishushe thamani kwanza

    Hauwezi kuvuta kitu usichokiweza, ukihitaji kuiweza fedha ifanye kuwa chini ya uwezo wako. Kuza uwezo wako kwa kutafuta nguvu kubwa zaidi kuliko nguvu ya fedha. Matajiri wakubwa wanaitumia sana njia hii kwa kuhakikisha wanakuwa na nguvu kubwa kuliko nguvu ya fedha, wanapohitaji fedha huielekea...
  19. Owen chimela

    JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya asili au dukani inayotibu jicho sugu

    Husika na kichwa hapo juu. Nina kijana mdogo wa miaka 6 ana matatizo ya jicho moja kutoa machozi na matongotongo mfululizo. Nimejaribu Hizi Antibiotics za macho nimeshindwa nimejaribu sawa kadhaa za asili nazo zimeshindwa kutibu tatizo kwa zaidi ya mwaka sasa. Naomba kwa mwenye uzoefu na tiba za...
  20. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Masoko ya utabiri/betting yamekuwa na faida ya mabilioni ya dola, yemefikia mpaka kutabiri majanga ya asili kama moto wa nyika

    Yanafanyaje kazi? Watu wanaweka pesa/beti kwenye matokeo ya matukio ya baadaye. Mfano: Matokeo ya mechi za mpira Matokeo ya uchaguzi Idadi ya tweets Elon Musk atatoa kwa wiki Shida ilipo sasa: Mabadiliko ya Tabianchi Baadhi ya masoko haya sasa yanaruhusu watu kubeti pia kwenye: Moto wa...
Back
Top Bottom