kuongea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mag3

    Kwa kumbukumbu tu kuna wakati Bashe wa CCM na Sugu Chadema waliweza kuongea lugha moja bungeni lakini hawakusikilizwa!

    Watanzania tu watu wa ajabu sana... https://www.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI Sina cha kuongezea!
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Huyu ashitakiwe kwa kuongea uongo na kupotosha jamii

    Mimi simjui huyu mtu ila mpaka media zinamwita kufanya naye mazungumzo bila shaka ni mtu maarufu katika jamii. Anatoa uongo kwa manufaa ya nani? Ni kweli sasa bodaboda wamekuwa wengi sana. Kila kwenye stand ya daladala kuna stop ya bodaboda, kila kwenye soko, makutano n.k kuna stop ya...
  3. GENTAMYCINE

    Usizuge kuwa unawahi safari kwahiyo huwezi Kuongea, ukweli ni kwamba Unajishtukia kwa maajabu ya kwa Afya na Wawili uliowatoa kwa Kushauriwa vibaya

    Haya na Mimi GENTAMYCINE sitasema sana kwa sasa kwani nami nataka kuwahi Basi la kutoka hapa Nachingwea kwenda Bonyokwa kuwahi Kikao muhimu cha Vibaka kuwa wengi mtaani Kwetu. Imeisha hiyo......!!
  4. Kaka yake shetani

    Wakenya wanajitangaza wao ndio wenye Lugha ya kiswahili ila kuongea kwa ni shida ila ndio wanatambulika kuwa ndio lugha inatoka kwao

    Leo nimepata mgeni toka nchi ya urusi kaja kupumzika.ila alicho niambia watu wengi huko wanajua lugha kiswahili inatoka kenya. ili jambao bado nauliza sana kwa nini si watanzania tumelala sana.kesho kutwa Falme za kiarabu zitakuwa na mbuga kubwa ikitambulika asili yake ikitoka tanzania. watu...
  5. cacutee

    Napataje kuongea na vodacom customer care

    Habari zenu? Naomba kujua ni namba gani ni naweza kupiga ili niongee na customer care wa Vodacom. Namba hii +255754700000 na namba 100 hazileti option ya kuongea na mhudumu asubuhi hii. Mwisho Vodacom mpunguze wizi. Leo mmeniibia Sana bando zaidi ya Mara tatu. Sio poa
  6. W

    Ngumi za mtaani mmepewa uwanja unaanza vipi kuongea maneno, kijana kaambulia aibu kwa kushushiwa kipigo kikali hadharani, usipende kuongea ikikutokea!

    Nimetoka zangu kazini nikaona niende kununua mahitaji kadhaa sokoni. Ghafla nikaona tunaambiwa na vijana jamani mpishe hii njia kidogo iwe wazi kwa muda, nilidhani labda kuna emergency nikasimama. Ghafla wakaingia vijana wawili kumbe ni ugomvi. Moja wao kavaa vizuri tu sikuweza kumdhania...
  7. Friedrich Nietzsche

    Nifundisheni jinsi ya kuwaingia watu wakubwa VIP!! Sina kazi sina mchongo Nashindwa Kuongea na Maboss

    Wakuu hapa napoongea saizi nipo dorooooo dorooo kinoma yaani moja haikai Mbili haiendi Mpaka siyo poa. Nachangamoto ya mawasiliano.Siwezi kuwaingia watu wakubwa namaanisha maboss. Simu yangu hapa ina no za watu wazito lakini nawaingiaje hatujuani personal. Gear ya kuingia sina. Kuna mmoja hapa...
  8. peno hasegawa

    Mwenye namba ya kuongea na huduma kwa wateja Vodacom ambayo sio 100

    Kampuni ya Vodacom,imekuwa na usumbufu mkubwa sana. Ukitaka kuongea nahuduma kwa wateja inakuwa ngumu,wanakuunganisha na online zao ambazo huwezi kumpata mhudumu wao. Mwenye namba zao za Moja kwa moja tafadhali? Tunaomba TCRA iingilie kati,Kuna shida kubwa kwa watu walio wengi na maskini
  9. 1

    CPA ya Issa Masoud Simba ichunguzwe kwa kuongea pumba, utumbo, ujinga na kukosa weledi

    Jana usiku, nilikuwa mmoja wa watu niliobahatika kuona mahojiano ya baadhi ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba kwenye social media moja, nilisikiliza sana hoja za mjumbe anajiita CPA Issa Masoud Simba. Ndugu zangu, taaluma ya CPA inayotolewa na NBAAA sio mchezo, hii ni body ya wakaguzi...
  10. kipara kipya

    Kuelekea 2025 Mchungaji Msigwa kuongea na Waandishi wa Habari baada ya kushindwa Uchaguzi wa Uenyekiti Kanda ya Nyasa

    Kama heading inavyojieleza mpaka muda huu mgombea aliyeshindwa kanda ya nyasa amegoma kusema lolote, ameahidi kuita press na kuongea yote yaliyojiri kwenye huo uchaguzi kifupi hajaridhirika. Hizi habari ni za ndani sana kaeni tayari kwa mvurugano! PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi...
  11. chiziwafursa

    Tunaoamini hakuna kinachoshindikana tuna jambo la kuongea

    Natamani kufuga sangara ila vifaranga vya sangara sijui nitawapatia wapi? yeyote wakunieleza nakaribisha kwa moyo wote. Na kama hakuna anae uza kwanini mtu asianze utafiti na kuzalisha vifaranga vya vya sangara atuuzie sisi wafugaji?
  12. Etugrul Bey

    Ijue nguvu ya kuongea na Nafsi yako

    Hii ni kwa wale wote ambao kwa namna moja au nyingine hawajiamini,wanajiona hawana thamani,huenda wanajiona hawana umuhimu wowote katika jamii na wamekata tamaa. Nina habari nzuri kwako hicho sio kilema kwamba kitabakia hivyo siku zote au ni ugonjwa ambao utakuganda siku zote,,,jambo zuri ni...
  13. Mag3

    Kumekucha, ni suala la muda tu. Taratibu sote tutaelewana na kuongea lugha moja!

    Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Joseph Kasheku (Musukuma) akizungumza bungeni alipopewa nafasi. Japo mimi si mpenzi wa mbunge huyu lakini hata saa mbovu ukutani, kuna wakati unaweza kuitizama na kukiri inasema kweli. Najua hata mimi si mpenzi wa wana JF wengi lakini nawaombeni mumsikilize...
  14. Ncha Kali

    Sababu ya wapenzi wapya kufurahiana na kuongea sana ni kwa kuwa hamjuani sana, mkishazoena na kujuana basi stori zinaisha.

    Isa wikendi, yeesi iliiiiziiii. Hii saikolojia iliyothibitishwa. Kitu chochote ukishakijua sana huendelei kukidadisi, unakuwa unajua ukianza hivi kitatokea hivi ama vile. Hata kwa wapenzi ni hivyo hivyo, hakuna tofauti ya kweli kivile. Wengine huenda mbali zaidi kiasi cha kuwachukia wenzi wao...
  15. M

    Tazama kijana anayeweza kuongea kama Rais Samia

    Kijana ambaye anauwezo wa kuongea kama mama Samia akionesha kipaji chake katoka moja ya kikao cha vijana kilichokutanishwa na rebby foundation mnamo Aprili.
  16. GoldDhahabu

    Nimekataa kuwa miongoni mwa wasiojua kuongea Kiingereza kwa unyoofu

    Sitafuti kuwa mkamilifu kwenye Kiingereza, ila nimekataa kuwa chini ya "level" 5. Kuhitimu Chuo Kikuu si tiketi ya kuongea lugha kwa ufasaha. Hata wazawa wa "English" kuna ambao bado wanajifunza, pamoja na kuwa ni watu wazima na wasomi. Kwenye mtandao wa kijamii wa Kimataifa wa Quora, kuna...
  17. Sir Kisesa

    Taarifa kabla hujasema chochote itafakari kwanza ukweli au usahihi wa hoja husika

    Ndio tittle ya uzi huu... Sote tunajua matokeo ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia kupelekea vijana wengi kutumia fursa hio vizuri wengine wanatumia vibaya. kuna watu wanatumia teknolojia kuiba, kutapeli na mengine kama hayo , kesi nyingi za kitapeli tumeziona kila kona pasina ukomo wake...
  18. M

    Kutojua kuongea na kuandika vizuri kiingereza itamkwe kama Ulemavu.

    Haiwezekani kama nchi maskini tuendelee kubembelezana kuijua vizuri hii lugha muhimu ya kibiashara duniani. Kama tunatakiwa kufanya export zaidi ya products na services zetu hatuwezi kukwepa kukifahamu vizuri kiingereza. Hii ni lugha kuu ya biashara duniani. HAINA MJADALA. Kuna wapuuzi wana...
  19. Angyelile99

    SoC04 Kuondoa ubaguzi kwa kutumia lugha ya alama kwa walemavu wa kusikia na kuongea

    utangurizi: Pamoja na uwepo wa jitihada za serikali katika kutoa elimu maalumu kwa watu wenye matatizo ya kusikia na kuzungumza, rakini bado kumekua na changamoto mbali mbali ambazo haswa zimekua zikitokana na kukosekana kwa lugha ya pamoja kati ya watu hawa na jamii inayo wazunguka hivo...
  20. Mto Songwe

    Je, ni sawa kwa Rais Samia kuiunga mkono Somalia kiusalama?

    “Kama mnavyojua hali ya wenzetu [Somalia] haiko vizuri sana, kwahiyo tumewahakikishia kuwaunga mkono kwenye kujenga uwezo wa wao kama nchi kujilinda wenyewe.” – Rais Samia Suluhu Sasa nchi yetu tumekwisha iendeleza na kuilinda vya kutosha sasa tuna vuka kwenda kuwajenga na kuwaendeleza wengine...
Back
Top Bottom