Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.
Hii bomoa bomoa ya vibanda vya wajasiriamali ni hasira za raisa aliyepo madarakani bila ridhaa ya umma.
Amekasirika kiasi cha kuita wafanyabiashara ni takakataka. Kisa tu mwaka jana hawakumpigia kura na hawamtaki. Politika science has revelead.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Maliasili na Utalii katika mkutano wa hadhara kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa muda mrefu unaohusu mipaka ya kiutawala na mpaka wa msitu wa Kazimzumbwi...
Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
Makonda yupo sahihi sana,tukumbuke makonda ni kijana mwenye ubunifu wa hali ya juu sana,haikupaswa kwa wakati kuwa na jezi zile zile za kimazoea,jezi za wakati wa msimu huu zilistahili kuwa extra katika utengenezaji wake alama zake nini cha kuongeza kwa promo kubwa zaidi katika kulitangaza taifa...
★Wanawake watakiwa kuachana na dhana potofu kuwa ardhi ni mali ya wanaume
Serikali imewasisitiza wanandoa kumiliki ardhi kwa pamoja ili kuepuka na kupunguza migogoro ya umiliki wa ardhi na mirathi isiyo ya lazima ambayo inaweza kujitokeza baada ya mmoja wa wanandoa kufariki.
Akizungumza kwenye...
Habarini, kama mlivyosoma Viwanja 14 vipo pamoja na vinamilikiwa na mtu mmoja vinauzwa... na kila kimoja kina Sqm 800 vina Hati na vinapatikana karibu na uwanja wa ndege mpya wa Dodoma, ni sehemu nzuri kwa makazi hata uwekezaji pia maana vipo karibu na Uwanja wa Ndege mpya.
Ukivichukua vyote...
Kama unaipenda Tanzania, kama unaamini katika amani na maendeleo, na kama una moyo wa kuona nchi yetu ikiendelea kusonga mbele, karibu CCM.
CCM ni chama chenye historia ndefu katika safari ya taifa letu. Ni chama kilichokuwepo katika hatua mbalimbali za ujenzi wa Tanzania na kinaendelea...
Jamni niko Dar nina dawa ya ukweli kwa wale wanaosumbuliwa na vidonda vya tumbo,ndani ya wiki utakuwa umepata jibu
Na kwa wanawake ambao hawashiki ujauzito,mwenye uhitaji anafwate inbox
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo nikiishangaa jinsi nchi yangu Tanzania tulivyo nchi ya ajabu!, pamoja na fursa zote za kidigiti, na biashara ya mtandaoni, lakini mpaka leo bado sisi Tanzania, kama nchi, hatuna Sheria ya biashara mtandao, E-Commerce...
Ndiyo habari iliyopo,wanawasiliana kama ndugu kila uchwao, kwa kuitana ""kaka na dada""kazi mnayo nyie vizabina zabina,mnaopenda biff.
""INAITWA CHENGA YA MWILI""
Kanuni za asili zinafuata sheria ya asili isiyokosea the law that doesn't err" . Hakuna kinachotokea bila sababu chanzi kwa sababu katika asili kila kitu ni sababu na matokeo. Mtu ni zao la sababu na matokeo yake.
Siyo lazima ulipwe wema kwa sababu ya matendo yako mema uyatendayo leo...
Yule rais wao Toka aapishwe kuongoza lile taifa la Malawi na kuendelea mpaka sasa anaenda kumaliza mwaka wa kwanza wa awamu ya pili madarakani.
Kashafanya kazi na manaibu prezida watatu japokua pia yule mpya haijulikani kama atamaliza nae muhula.
Kashafanya kazi na makatibu wakuu wa chama...
Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo.
Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa
mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
ardhi
baada
ila
kutokana
labda
lawyer
mdada
msibani
mtu
mtu mwingine
mwingine
ndoa
nyumba
pamoja
sababu
share
wao
wapo
watoto
watoto wawili
wawili
wengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.