ubaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli South Africa kulikuwa na ubaguzi wa rangi?

  2. Jokajeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu bado ananitaka licha ya yeye kuolewa

    Wakuu! Nimeandika haya ili wakujifunza ajifunze na wakupuuzia apuuzie hasa vijana ambao hamjaoa. Miaka saba iliyopita kabla sijamuoa Mke wangu kipenzi, tukiwa wachumba. Alitokea mrembo mmoja kutoka Geita, mimi nilikuwa chuo wakati huo yeye naye alikuwa chuo pale NIT Dar es salaam. Hapa na...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa kisiasa, mikoa ya Kusini ni Soweto ya Tanzania

    Mikoa mingi inayopatikana kusini mwa Tanzania iko nyuma kimaendeleo. Ruvuma, Lindi, Mtwara hii mikoa ni imetengwa na kupuuzwa kwa miaka mingi. Nitaelezea kwa Ruvuma, mkoa wa Ruvuma makao makuu Songea hakuna chuo cha elimu ya juu hata kimoja, vilivokuepo vyote vilifungiwa na ikawa mwisho wake...
  4. Heci

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnasema CHADEMA Kuna mfumo dume, tunaomba mtatue kitendawili hiki Cha ubaguzi

    Other interesting cabinet stats minus deputies: Full ministers – 23 19 (83%) are men 4 (17%) are women 9 (39%) are PhD holders 0 -member from Zanzibar
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kuwakatalia Wakurugenzi wa Kenya na kuruhusu wengine ni ubaguzi

    Tanzania tumekuwa na tabia ya kuwakatalia Wakenya kwenye nafasi za juu vibali vya kazi huku tukiwapa wale wengine ambao sio Wakenya bila sababu ya Msingi. Nimesikia Mkurugenzi wa Cocacola Kwanza kakataliwa kibali wakidai kuna Watanzania wenye uwezo lakini vilevile Mkurugenzi wa Voda naye wa...
  6. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Tuzungumzie ubaguzi wa rangi, ubaguzi wa kipato na vurugu nchini Marekani

    TUZUNGUMZIE UBAGUZI WA RANGI, UBAGUZI WA KIPATO, NA VURUGU NCHINI MAREKANI Leo 10:50hrs 22/11/2020 Mwaka 2016 Dr Ben Carson alialikwa na Rev Shapton kwenye mkutano wa watu weusi kule New York kama mgeni rasmi,hii ni kabla ya kutangaza kugombea Urais wa Marekani Mwaka 2016, Aliamua kuwaambia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Si halali wala haki kwa Serikali ya CCM kuwatoza wananchi fedha ili kutumia Daraja la Nyerere kwenda Kigamboni, ni ubaguzi

    Nimetafakari sana juu ya hii Serikali ya CCM inayodai ipo kwa ajili ya wananchi, hasa wanyonge. Na hakuna mtu anakaebisha kwamba Kigamboni kuna hao wanyonge wengi tu. Sasa kwanini hawa wanyonge wa Kigamboni walazimishwe kutoa fedha kwa kutumia daraja la Nyerere kwenda Kigamboni? Tunajua kwamba...
  8. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli ataka Watanzania kukataa ubaguzi

    Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka Watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea. Pia amewatahadhalisha Watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa...
  9. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Mtu mweusi aliyekamatwa na kuvutwa nyuma ya farasi ashitaki mamlaka ya jiji la Texas akidai fidia ya dola milioni 1

    Mtu mmoja mwenye asili ya Kiafrika ameishitaki Mamlaka ya jiji la Texas baada ya polisi waliomkamata kumfunga kamba na kumvuta nyuma ya farasi, akitaka kulipwa fidia ya dola milioni moja (sawa na zaidi ya shilingi bilioni 2) akisema kuwa alihisi kunyanyaswa na woga baada ya kukamatwa. Katika...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimegundua na kusikitika sana kuona ilani ya ACT-Wazalendo inahimiza ubaguzi kwa misingi ya umri

    Kwenye Taifa lenye zaidi ya 80% ya watu wake wakiwa na umri chini ya miaka 35, ni dhamira yetu, kuwekeza na kutengeza sera, sheria na taratibu zitakazohakikisha kuwa vijana wa taifa hili wanakuwa kipaumbele na chachu ya maendeleo, kwao wao na kwa taifa. Serikali ya ACT-Wazalendo, imekataa kuona...
  11. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Mwinyi aonya ubaguzi Zanzibar

    Dkt. Mwinyi aonya ubaguzi wa kidini. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema bado kuna chembechembe za ubaguzi wa kidini kati ya wapemba na waunguja, wa Tanzania bara na Wazanzibari. Ikiwamo pia ubaguzi wa kijinsia, lakini aahidi atajitahidi kadri Mungu...
  12. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Nini mantiki ya Dkt. Magufuli kuikumbatia sera ya ubaguzi wa kimaendeleo?

    "Mimi niwaambieni ukweli, nimechoka kuwabembeleza ,mkiniletea madiwani na wabunge wa kutoka upande mwingine(wapinzani), siwaletei maji na huu ndiyo ukweli sipendi kuwaficha, nimechoka kuwabembeleza" Magufuli (1/Oktoba/2020, Tunduma) Hisia za ubaguzi wa kimaendeleo zilianza mara tu Rais...
  13. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Ota Benga: Kijana aliyewahi kuwekwa kwaajili ya maonesho nchini Marekani

    Ota Benga alitekwa nyara kule ambako sasa hivi kunafahamika kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwaka 1904 na kupelekwa Marekani lengo likiwa nikumfanya kuwa onyesho. Mwanahabari Pamela Newkirk, ambaye ameandika mengi kuhusu suala hilo, anaangalia matukio kadhaa ya kuficha ukweli wa kile...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi: Tangazo la nywele lasababisha maandamano

    Waandamanaji nchini Afrika Kusini wamewalazimisha wenye maduka ya dawa na vipodozi kufunga maduka yao, baada ya kurushwa kwa tangazo la nywele ambalo wanadhani kuwa la ubaguzi wa rangi. Tangazo hilo linaonesha picha za nywele za kiafrika zikiwa kavu na hazina muonekano mzuri wakati nywele za...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubaguzi wa kiitikadi haukubaliki

    Salaam, Wandugu, binafsi nimesikitishwa sana kwa kauli za kibaguzi zilizotolewa na mgombea mmoja wakati akimnadi Diwani wa chama chake asiyekubaliwa na wananchi. Kwa kauli yake mgombea huyo wa Rais alitisha wananchi kwa kuwaambia wasipompa Diwani huyo ushindi wasimuulize yeye kuhusu maendeleo...
  16. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Serikali inapopendelea maeneo yaliyokipigia kura chama kinachounda Serikali: Ubaguzi huu ni sawa na ule wa Watusi na Wahutu!

    Ukweli lazima tuuseme ili tuinusuru nchi yetu isiwe kama Rwanda na Burundi ama hata South Africa zilivyokuwa siku za huko nyuma. Tutakuwa tumeirudisha nchi yetu miaka 60 nyuma! Uhasama mkubwa na wa kutisha uliokuwepo kati ya Watusi na Wahutu katika nchi za Rwanda na Burundi ulijikita katika...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kulipwa wa mchezo wa vikapu wamesusia kushiriki kwenye michuano ya finali wakilalamika dhidi ya ubaguzi wa rangi

    Wachezaji wa kulipwa wa mchezo wa mpira wa vikapu wanaume na wanawake hapa Marekani wamesusia wiki hii kushiriki kwenye michuano ya finali ambayo imekuwa ikiendelea wakilalamika dhidi ya polisi kumpiga risasi Jacob Blake Mmarekani Mweusi katika mji wa Kenosha, jimbo la Wisconsin mwishoni mwa...
  18. The Boss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubaguzi EPL bado upo mkubwa

    Sisi Liverpool Sadio mane amekosa tuzo amepewa Jordan Henderson Mzungu mwingereza. Sasa huko Man City ndo komesha. Washaamua kumjengea sanamu David Silva...na baadae Aguero akistaafu. Leo hadi mwandishi mmoja kaenda. Kumhoji Yahya Toure kuhusu hilo. Akasema sina cha kusema kweli Yahya Toure...
  19. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania ubaguzi wenu utawaponza. Hii siyo haki

    Nianze na kuvisikitikia vyombo vya habari hasa baadhi ya TV stations kubwa kubwa hapa nchini na baadhi ya magazeti. Mnafanya ubaguzi kwa kuonesha live coverage kwa matukio ya CCM pekee. Endeleeni na ubaguzi huu iko siku mtasema ukweli. Tundu Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini na...
  20. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Gwajima hapa ulionesha ubaguzi wa kiimani. Usitegemee hawa unaowasema wakupe kura Kawe

    Sitaongeza chochote video inajisema.
Back
Top Bottom