Over expectations ndio sumu ya kisasa. Unajitarajia maisha yawe hivi, mtu akupende hivi, pesa ije hivi - ikitokea tofauti, mwili wako ndio unateseka. Stress, usingizi kupotea, presha.
Mimi huwa naona hivi:
Expectations zikizidi, furaha inapungua.
Ukitaka 100 na ukapata 70, utalia. Lakini kama...