huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya kulipa deni la taifa huwa ikoje? maana tunakopa sana ,tunasema miradi ya maendeleo.trillion 114 siyo mchezo wazee

    Muhtasari wa Hali ya Deni la Taifa Kufikia Machi 2026, deni la taifa ni Sh114.34 trilioni. Deni la nje: Sh75.89 trilioni Deni la ndani: Sh38.44 trilioni mwananchi.co.tz Ongezeko la mwaka mmoja (2025–2026) ni asilimia 8.97. Kwa kipindi cha miaka 10 (2016–2026), deni limeongezeka kutoka Sh38.07...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Pole kwa mapambano ya dunia! Uwapambaniao huwa wanafanya hivi wakijua.

    Key facts More than 720 000 people die due to suicide every year. Suicide is the third leading cause of death among 15–29-year-olds. Seventy-three per cent of global suicides occur in low- and middle-income countries. The reasons for suicide are multi-faceted, influenced by social, cultural...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Madikteta na wafalme huwa na sera nzuri sana za kiuchumi.

    Madikteta au wafalme huwa wana akili moja inayowafanya wawe wazuri sana kwenye uchumi. Wao wakiona kitu fulani kinawaingizia pesa za kutosha, au sehemu fulani inaingiza pesa za kutosha basi akili na nguvu zao zote wanaelekeza huko. Mfano kama sehemu kunatoa dhahabu zinazowapa utajiri basi...
  4. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo moja la ajabu kuhusu maisha ambalo sijawahi kulielewa vizuri… 🤐

    Kuna fumbo kuhusu maisha yetu ambalo sijui kama tutakuja kulielewa kikamilifu… 🤐 Wakuu, kuna mambo huwa nayatafakari kimya kimya na kila nikiyafikiria, najikuta na maswali mengi kuliko majibu. Fikiria hivi… Kuna kipindi ambacho hukuwa na kumbukumbu yoyote ya maisha yako. Leo upo hapa...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake huwa wanapaka makeup?

    Kwa nini wanawake huwa wanajipaka/wanajichapia make-up (vipodozi) ?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Marekani Hajakurupuka ! Iran akishambuliwa huwa anajibu kwa kuzilenga Meli za Mafuta, Je, Atathubutu Kuzigusa Meli za Putin ?

    🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️ Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano. Hali hii inapoongezeka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huwa nasikia wanawake wakianza kufuatilia talaka wapate mali wanawamwagia waume zao maji, ni vitimbi gani vingine huvifanya ?

    Nilisoma post kuna mdau alilalamika mke wake alikuwa anammwagia maji kudai talaka wagawane mali, ni mpaka siku alipomwagiwa maji ymoto akalichulikulia suala serious. Ni vitimbi gani vingine hufanywa
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo watu wa dini huwa wanaamini na kuyatetea mtu mwenye fikra huru unabaki kushangaa tu.

    Kuna mambo waamini mungu huwa wanalazimisha na kuyatetea tu lakini hata wao wenyewe kwa akili za kawaida tu walipaswa kujua sio sawa 1. Kuhukumu/ Kulaani watu (watoto na wajukuu) kwa makosa ambayo hawajayafanya ya wazazi wao. 2. Kuruhusu utumwa, kununua na kuuza watu kama bidhaa. 3. Kuteua...
  9. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Human Nature

    Hello Great thinkers 🫡 Mwanadamu ana baadhi ya mambo ambayo huwa yanatokea ndani yake bila yeye kuyapanga au kuyachagua kwa makusudi(Unakubaliana na mimi?) Hayo tunaweza kuyaita Human Nature asili ya mwanadamu Mfano: Kupenda : binadamu anaweza kujikuta anampenda mtu au kitu bila hata...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kihasibu mwanamke anaelenga mali hawezi kufurahia mume kuugua asubiri afe. gharama za matibabu, jamii na ndugu vinaweza humfanya awahi kuomba talaka

    Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi: “Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.” Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
  11. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Unadiliki kulia mbele ya mwanamke kisa mapenzi alafu mwanamke mwenyewe anakuchukua video anakupost mitandaoni. Hivi huwa mnayapendea nini magube gube?

    Hivi ni hayo makebo yao makubwa na sura za kutmbeka ndio zinawapa hamsha hamsha mnachanganyikiwa? Moja ya kitu ambacho kimedondosha wanaume wengi ni "USHAMBA WA MAPENZI"
  12. Red black

    JamiiForums Tanzania Huwa natumia dollar 200 sawa na 460k za kitanzania kulipia internet kwa mwezi.

  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania JK huwa ni muongo,au CCM ndio waongo!

    Msikilize hadi mwisho!
  14. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ukizaliwa Mwanaume: Maisha huwa ni 5-0 , lakini una nafasi ya kupindua matokeo

    Katika maisha haya, kama umezaliwa mwanaume, tayari maisha yameanza kukuchezea 1–0. Umezaliwa Afrika? 2–0. Umezaliwa kwenye familia maskini? 3–0. Baba yako hana urithi wala mali ya kukuachia? 4–0. Unakua na unapambana kutafuta kazi lakini hupati? 5–0. Hapo ndipo unaanza kuelewa kwamba...
  15. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Wadada, Nini Kinawavutia kwa Mwanaume Hasa?

    Unajua kwa sisi wanaume ukishaona tu makebo na cruvy body na chuchu dede tayari. Je kwa upande wenu huwa inakuaje? Maana unaweza ukawa handsome ila ukakoswa swaga, ukakosa uterezi, alafu kanakuja kadude ka ajabu kana vibweka na vichekesho then unaambiwa kanaitafuna ile pisi mpka unakaa...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wauza Chips hutumia tomato sauce nyepesi ya majimaji tu na huwa hawana ile nzito (ketchup)?

    Kwa nini wauza Chips karibia wote mtaani na haya kwenye hotel kubwa huwa wanatumia tomato sauce ile nyepesi ya majimaji tu? Ketchup ni kwa ajili ya matajiri? Mbona Tanzania nyanya nyingi sana hadi zinaoza kiholela! Inakuaje wauza Chips wanaona tomato ketchup ni anasa?!
  17. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza the likes ya watu kama aunty, gigi, wolper, uwoya, etc wanatoa wapi pesa hadi wana push magari ya 100m+

    Mbona sanaa yenyewe wanayofanya na brand deals sio ya vipato vya kushtua. Anyway, ngoja nimalizie kufua soksi za shemeji alafu nije nisome comments
  18. PAYE

    JamiiForums Tanzania Hivi, nini huwa kinatakiwa kuanza kati ya hivi ukiamka asubuhi?

    Mdau Je, wewe huwa unaanza na kipi kati ya hivi ukiamka asubuhi?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

    Hili la mtu kuchomwa baada ya kufa sio common sana kwa Afrika lakini kuna baadhi ya Waafrika eti akifa anachagua kuchomwa badala ya kuzikwa mwili mzima. Mimi hii naiona kama cult kwa sababu hainiingia akilini kuona mtu anachagua kuchomwa, badala ya kuzikwa ambayo mwili mzima kama ilivyo asili...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kero gani huwa unapata mtandao wa intanet ukikosekana eneo ulilopo?

    Kuna maeneo ukienda kupata mtandao inakuwa kipengele sana, mtandao haushiki na ukishika ni kwa kuutafuta mpaka unatamani kulia, kama ni wa kuperuzi sana unashindwa kama ni mtu wa kufanya kazi mtandaoni ndio hali inakuwa ngumu. Mawasiliano pia inakuwa changamoto kwa yale yanaohitaji mtandao moja...
Back
Top Bottom