karume

Abeid Amani Karume (4 August 1905 – 7 April 1972) was the first President of Zanzibar. He obtained this title as a result of a revolution which led to the deposing of His Majesty Sir Jamshid bin Abdullah, the last reigning Sultan of Zanzibar, in January 1964. Three months later, the United Republic of Tanzania was founded, and Karume became the first Vice President of the United Republic with Julius Nyerere of Tanganyika as president of the new country. He was the father of Zanzibar's former president, Amani Abeid Karume.

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Bi Fatma Karume aliyefariki dunia, Septemba 21, 2026 anazikwa lini?

    Huku tuko Eda! Na shughuli za kiserikali kila mtu ni msemaji wa serikali, Ila ninauliza tu?
  2. H

    JamiiForums Tanzania 𝗢𝗙𝗜𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 Pumzika kwa Amani Mama Fatma Karume

    𝗢𝗙𝗜𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 Pumzika kwa Amani Mama Fatma Karume Innalillah wa inna ilayhi raji'un
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia

    Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki dunia leo, Septemba 21, 2026. Taarifa ya kifo cha Bi.Fatma imetangazwa rasmi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla ambapo amesema kimetokea Mbweni usiku huu...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Pole kwa Rais Samia Kufuatia Msiba wa Mama Karume

    Mpendwa Mama Samia Shikamoo Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mama wakati mwingine ninapotazama safari yako, najikuta nikijiuliza ni wapi msichana anayekaribia kukata tamaa anaweza kujifunza nguvu, uvumilivu na moyo wa kusimama tena na jibu ninaloliona ni kwako Mama Rais. Hakuna...
  5. Scott junior

    JamiiForums Tanzania MAMA FATMA KARUME AFARIKI

    𝗧𝗔𝗡𝗭𝗜𝗔: Aliyekuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki Dunia leo Septemba 21 2026 akiwa na umri wa miaka 97. Mama Fatma Karume alikuwa mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar, ambaye aliongoza Zanzibar...
  6. Stunnaman008

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

    Inna lillahi wa Inna ilayhi rajioon May Allah Ta’ala grant her and all marhoomeen total Maghfirah and Jannatul Firdaus May Allah Ta’ala grant all the bereaved Sabrun Jameel and Aafiyah Aameen Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume...
  7. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Yupo Wap Mwanaharakati Fatuma Karume ( Shangazi)?

    Huyu Dada alisifika sana kuwa mpigania Haki, Uhuru leo hii asikiki tena. Mwenye kufahamu Alipo Huyu Bibie Atujuze. Kuna nyakati wafuasi wa Chama Fulani walimtikuza sana na kumpambania Kuwa Kiongozi wa Chama cha Wanasheria TLS. NB: Sio Kila Mwanaharakati Upigania Uhuru, Haki , Demokrasia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana da Fatma Karume

    Hongera kwa kwenda Hijja, hongera kwa kuvaa nguo za heshima, hongera kwa kujua mwanamke wa kiislam kuishi vipi, hongera kwa kuacha kutumia social media kwa kufanya vitu ambavyo maisha yako ya akhera hatayaleta faida. Hongera hongera mwanasheria kwa kuamini dunia sio chochote Quran inasema...
  9. Ndombwindo

    JamiiForums Tanzania ULINGANIFU WA MIUNDO YA MIUNGANO: Nyerere alizidiwa Maono na Karume, Unfortunately, alidhani ataishi milele kuziba mianya.

    Copy and Paste ya mfumo wa UK ilimgomea, maana wanzanzibar hawakuwa wajinga pia. MUHIMU KUJIFUNZA: Tofauti kati ya wenye akili Nchi 4 zenye chumi kubwa zinaungana na kuunda serikali kuu moja, na wafuata mkumbo tuinchi tudogo tuwili ambato GDP zake anamiliki muwekezaji mmoja tu toka USA tunakuwa...
  10. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Historia ya Makamu wa Rais wa Tanzania: Kuanzia Karume hadi Ndejembi

    Historia ya nafasi ya Makamu wa Rais nchini Tanzania imebadilika sana tangu Muungano wa mwaka 1964. Tanzania ilianza ikiwa na Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili, mfumo ambao ulihusisha kwa karibu nafasi ya Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano. Mwaka 1995 mfumo huo ukabadilika...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Zanzibar futeni history ya kusema Karume ni mwanamapinduzi yenu

    John Okello alikuwa Mzaliwa wa Uganda ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar ya tarehe 12 Januari 1964 yaliyomuondoa madarakani Sultani Jamshid bin Abdullah. Hata hivyo, baada ya mapinduzi hayo, ushawishi wake ulianza kupungua haraka. Baada ya Sheikh Abeid Amani Karume kurejea Zanzibar na kuwa...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Nyerere na Karume walikuwa wanaharakati. Tunaanzaje kushetanisha uanaharakati wakati taifa letu limejengwa na Wanaharakati?

    Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe, Askofu Benson Bagonza leo Julai 09, 2026 amehoji kuwa Mwalimu JK Nyerere na Karume walikuwa wanaharakati au si wanaharakati. "Naomba niwaulize kwa unyenyekevu, Nyerere alikuwa Mwanaharakati au si Mwanaharakati?, Karume alikuwa mwanaharakati au si...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Aliemsaliti Abood jumbe alikuwa mtanganyika!!?je aliemchapa risasi Abeid karume nae!!?State capture is impossible!!kitunguu kina magamba mengi!!

    Akili kumkichwa,Hakuna mwenyekiti aliemaliza MDA wake akajua vyote na Wala hakuna mwenyekiti aliewahi dhibiti kila kitu akaweza!! Kama Kuna watu umewakosea omba radhi!chutama!tafakari Anza upya!usishupaze shingo! Bado sisi tuna upendo tuna uwezo wa kupozwa na uwajibikaji wa watendaji wakuu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wajameni FATMA KARUME aliishia wapi?

    Alikuwa mjengaji hoja mzuri na mpigania haki , mwanasiasa mzuri. Freedom fighter one can dare say! Nini kilimtokea?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kukumbukwa kama Muasisi wa SMZ lakini mabaya na mauaji aliyoyafanya Abeid Karume hayawekwi wazi

    Watu walionekana kama wana akili na ushawishi wakati Karume ni rais wa Zanzibara waliuliwa na kuuwawa na utawala wa Karume Mfano ni baba yake na Humud na Kassim Abdula Hanga. Utawala wa Karume ulijaa mauaji na mambo mabaya ya kutisha. Ambayo hayawekwi wazi.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Waziri MkuuHeri ya Kumbukizi Siku ya Sheikh Abeid Amani Karume 1905-1972

    Ofisi ya Waziri Mkuu Heri ya Kumbukizi Siku ya Sheikh Abeid Amani Karume 1905-1972
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Unafiki wa Wazanzibari: Fatma Karume kimyaaa!

    Pamoja na kusikia idadi kubwa ya wananchi kufariki wakati wa uchaguzi/ maandamano October 29 mwaka huu Wazanxibari woke kimya kabisa. Si Rais Mwinyi wala wanaharakati kama Fatma Karume wamenyanyua mdomo. Watanganyika mjitathmini!
  18. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya AI kuhusu chanzo kilichopelekea Nyerere aitose Tanganyika kuungwa na Zanzibar na kilichomfanya Karume aridhie

    🧭 Muktadha wa Dunia: Cold War (1950s–1980s) Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, dunia iligawanyika katika kambi mbili kubwa: Kambi ya Magharibi 🇺🇸 – inayoongozwa na Marekani na Uingereza (mfumo wa ubepari/demokrasia ya kibepari). Kambi ya Mashariki 🇷🇺 – inayoongozwa na Muungano wa Kisovieti...
  19. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Ali karume amvaa Humphrey Polepole

    Balozi Ali Karume amkosoa vikali Humphrey Polepole https://m.youtube.com/watch?v=sN6hZvI5faY Mheshimiwa Polepole ni mwanasiasa shughuli ya ubalozi hakuwa anaufahamu kuielewa wala hakutaka kujifunza ndo maana tunaona haya yaliyotokea, balozi Karume anapigilia msumari harakati za Polepole Ali...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu gani wa kutumia sura ya kiongozi mmoja (Karume)kwenye sarafu (200 na 500) za aina tofauti?

    Kuna umuhimu gani wa kutumia sura ya kiongozi mmoja kwenye sarafu za aina tofauti? Kwenye sarafu ya 200 na 500 kote Kuna mtu sura ya Abeid Karume. Je, hakuna viongozi au mashujaa wengine? Je, BOT waliishiwa ubunifu? Je, ni upendeleo au kuabudu mtu mmoja pekee badala ya urithi mpana wa taifa...
Back
Top Bottom