Babati is a small town in Babati Urban District of Manyara Region of Tanzania. It is the administrative capital of Babati Urban District and Babati Rural District and also the administrative capital of Manyara Region.
Babati town has developed from a mere village since Babati District was established in 1985. The new status boosted the town into rapid growth. The town is located at the end of Tarangire National Park and at the base of Lake Babati, nestling under Mount Kwaraha (2145 m asl.).
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Mama Gift, mkazi wa Kitongoji cha Mbugani, Kijiji cha Magugu wilayani Babati, amenusurika kushambuliwa baada ya kudaiwa kukutwa usiku akifukia dawa zinazohusishwa na imani za kishirikina katika nyumba ya jirani.
Mwanamke huyo mara baada ya kugundulika na...
Mabinti weupe sana
Wana mashape hatari
Wembamba hawana vitambi kama wale wa mbeya na Dar es salaam
Wachapakazi wapole nk
Hapa ni babati mjini naimani vijijini huko kuna mabinti warembo na bikra za kutosha
Walimu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati bado hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuanze kazi miezi mitano iliyopita.
Hadi leo hatujapokea malipo hayo wala hatujapatiwa taarifa rasmi kuhusu lini tutalipwa.
Tunaomba mamlaka husika zitolee ufafanuzi na kutatua changamoto hii...
Anonymous (7abb)
Thread
babatibabati vijijini
fedha
fedha za kujikimu
kujikimu
mpwapwa
mwezi
pesa
vijijini
wilaya
Watumishi wa afya Babati tunahamishwa sana tena kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho, inatakiwa ulipwe ndio uhamishwe kwenda kituo kingine lakini tunashinikizwa kuhamishwa na hatupewi pesa zetu za uhamisho.
Wengine ni miaka sasa ushaomba hupewi wengine wamehamishwa hivi...
Anonymous
Thread
afya
babati
halmashauri
iramba
mazingira magumu
stahiki
uhamisho
watumishi
watumishi wa afya
wilaya ya iramba
Wananchi wa Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Queen Sendiga, wamepongeza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumchagua Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Sillo, kuwa Naibu Spika wa Bunge.
Sendiga amesema kuaminiwa kwa Sillo ni heshima kubwa kwa...
Tazama namna nyuki walivyovuruga Mchezo kati ya City FC Abuja kutoka Nigeria na JKU FC ya Zanzibar ulisimamishwa hapo jana Jumatano baada ya kundi la nyuki kuvamia uwanja; wachezaji na waamuzi walilazimika kujilaza chini huku wengine wakikimbia hovyo kutafuta usalama.
Babati Town Council, a cornerstone of local governance in Tanzania’s Babati Town, is dedicated to enhancing community welfare and delivering high-quality public services. Renowned for its commitment to sustainable development and efficient administration, this esteemed organization is thrilled...
Kilio cha muda mrefu cha wananchi wa Babati kuhusu ujenzi wa stendi kuu ya mabasi sasa kimesikika, baada ya Serikali kutoa shilingi bilioni 19.99 kwa ajili ya kuanza rasmi ujenzi wa stendi hiyo, ambao unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 15.
Akizungumza leo, Julai 24, katika hafla ya...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) kimetoa taarifa rasmi leo tarehe 30 Juni 2025 kuhusu tukio la kuuawa kwa mmoja wa wanachama wake, Wakili Joseph Masanja (Roll No. 7664), lililotokea tarehe 23 Desemba 2024 katika bwalo la Jeshi la Magereza, Babati – Manyara.
PIA...
Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile.
Nilipokelewa vizuri na kuoneshwa sehemu ya kukaa, niliagiza chipsi, nikaletewa lakini zilikuwa za baridi sana...
Anonymous
Thread
abiria
afya
babati
chakula
chipsi
hatarini
huduma
mabasi
stendi
stendi ya mabasi
usafi
Kwa siku tatu au nne kwa wiki wanapiga Risasi juu katikati ya mji! bila kujali uwepo Watu wagonjwa katika maeneo yanayo wazunguka. Hata kama ni mazoezi ni vema wakafanyie huko nje na sio kuzua hofu hapa mjini.
Serikali imetenga Shilingi bilioni 17 kwa ajili ya ujenzi wa Stendi Kuu ya Kisasa mjini Babati pamoja na ujenzi wa kilomita 10 za barabara za lami katika mji huo.
Ujenzi wa miradi hiyo unatarajiwa kuanza rasmi mwezi Mei 2025 kama sehemu ya kuboresha miundombinu na huduma kwa wananchi.
Pia...
Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, ameonya vikali wale wote waliovamia maeneo ya wananchi na yale ya Serikali katika Kata ya Mamire, akiwataka kuyarejesha mara moja kabla hajachukua hatua kali.
Kaganda ameweka wazi kuwa Serikali haitavumilia vitendo vya uporaji wa ardhi...
Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni kumpa tenda mkandarasi asiye na weledi kabisaa kabisaa,kwa maarifa yangu madogo alipaswa ajenge njia...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Ally Hapi, amesema kuwa kero nyingi zinazowakabili wananchi zinatokana na baadhi ya watendaji waliopo kwenye nafasi mbalimbali kutotenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Akizungumza na wananchi wa Babati Mjini...
Haki ya Kijana aliyeingizwa Chupa sehemu za siri huko Babati na Mheshimiwa Mbunge ipo wapi? Kijana kadhulumiwa Haki yake na mtunga Sheria?
NB: TLS, wanaharakati kulikon?
Wakuu,
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Babati mjini Shaban Mpendu ameeleza uhalisia wa madai ya CHADEMA kuwa mawakala wake 63 waliondolewa kwenye vituo wakati wa upigaji kura.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.