Tuliposema kuwa 'fundi Mayco' akipewa mkataba wa kudumu pale Man U timu itakuwa inapigwa mtungo mlituona vilopolopo, haya oneni sasa!
Hakika Kila klabu pale EPL itakuwa inaidinya tu hii Mantesa.
Scars.
WE WANT A CLEAN BREAK WITH THE PAST
Haya sasa, tumekwama naye maisha. Kwa aliyofanya jana huwezi kusema ignore the traitor. Huwezi kumu ignore. Ni kiongozi wa kudumu ndani ya chama kwa mujibu wa katiba.
Na kwa sababu tumempa hadhi kubwa ya kiongozi wa maisha, kila atakalosema na kulifanya...
Jiji la Dar es Salaam linakabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano wa magari na foleni za muda mrefu zinazosababisha hasara kubwa ya kifedha kila siku na kuchelewesha shughuli za kiuchumi.
Sababu kuu ya changamoto hii ni mfumo wa sasa wa miundombinu unaolazimisha mabasi mengi ya mikoani na...
Meno bandia ya Kauri Porcelain Fused to Metal (PFM) ni meno ya kutengenezwa ambayo yana msingi wa chuma (metal) ndani na kufunikwa kwa kauri ya porcelain nje. Hutumika kurejesha jino lililoharibika sana au kuchukua nafasi ya jino lililopotea, hasa kama sehemu ya crown au bridge.
Faida za...
Wasalam ndugu zangu.....
Kibaya zaidi Kampuni ya kigeni ikimaliza kuchimba inafunga na kuondoka, Itatuachia mashimo + kemikali + ajira zilizopotea.
Kiuchumi tunaita Resource Curse laana ya Rasilimali. Una mali lakini unabaki maskini zaidi.
TUTAPOTEZA VIZAZI 2
Kizazi cha leo kinapata...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeanza kuzihoji Halmashauri 39 kutoka Mikoa 15 zilizobainika kuwa na hoja mbalimbali katika Taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za Mwaka wa Fedha 2023/2024 na 2024/2025.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa...
Hivi mnajua kila kitu kingefanyika kwa wakati tokea kupata uhuru mpaka leo pale bungeni usingesikia habari za kuzungumzia magovi.
Kuna mambo ambayo ukipeleka serikalini ya ccm wanakwambia haya haya takiwi kwa sasa na masoud kipanya alishaeleza sana.
Mfano mmoja ambao nitakupa maana hii...
Tanzania, kwenye sekta nyingi nje ya Serikali na makampuni machache makubwa, ajira mara nyingi hazina uhakika wa muda mrefu. Ukiongeza na tabia ya baadhi ya waajiri kupendelea waombaji wa umri mdogo ambao hawajavuka 30 za mwanzoni, ni risky kubwa sana kuendelea kuweka matumaini yako hapo...
Mimi ni boss wa Jf kazi yangu ni kutoa assignment and get things done.
1.Nitapost kitu nisubirie responses kwa watu(Business plan in action)
2.Maudhui yangu ndiyo yataamua wachangiaji(Business marketing)
3.More responses will sell you in business industry and get profit
4.The more profit you...
Ama kwa hakika mmesimama vema na imara kwenye nafasi yenu, na mnatekeleza wajibu wenu wa kikatiba kwa weledi wa kiwango cha juu sana na kisasa zaidi.
waTanzania wana imani kubwa na utendaji kazi wenu wa viwango, na baada ya taarifa yenu maalumu juu ya hali ya kiusalama nchini, imani ya wananchi...
Nimekuja kikazi Wilaya ya Newala, Kata ya Kitangari, Nilitarajia changamoto za kuzoea mazingira mapya, lakini sikutarajia changamoto kubwa ya umeme.
Kwa kweli, hali niliyoikuta imenikumbusha enzi za mgao wa umeme miaka iliyopita, ambapo umeme ungeweza kukatika kwa saa nyingi bila maelezo ya...
Ladies punguza kuringa kuna siku utazeeka afu wale mahandsome au wenye hela unaowapenda waliokupendea sura watakuacha watahamia kwa pisi zingine za wakati huo, sa sijui utakua mgeni wa nani on those days😳
Na changamoto ni kwamba wale wanaowapenda kwa dhati mara nyingi hawanaga pesa currently...
Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji. Tangu maji yalipotoka Juni Mosi baada ya kulalamika Makao Makuu, hayajatoka tena.
Hili si jambo la kwanza kutokea. Mara nyingi hatupati maji hadi tupige simu na kulalamika, kana kwamba huduma hiyo ni ya bure.
Cha...
Tunatafuta mtu wa mauzo wa muda wote atakayeweza kushughulikia na kuwasiliana na wagonjwa, kufanya ufuatiliaji, na kuwashawishi wateja kupitia simu na mitandao ya kijamii kama WhatsApp.
Mtu anayeweza kuwasiliana kwa simu na kufanya ufuatiliaji mara kwa mara atapewa kipaumbele.
Kazi hii ina...
Kumekucha wazee?
Ni aibu na inaibisha mtu mwenye umri zaidi ya miaka 50 kungonoka na binti mwenye chini ya miaka 25.
Unaanzaje binti ambae ni sawa na mwanao wa mwisho ukawanae falagha eti kisa tu kataka mwenyewe kwa kishawishi cha visent vyako!?,
Hivi uoni aibu kumvulia binti yako nguo na...
MHE. GHATI CHOMETE AWASILISHA MAONI YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE KUHUSU UTEKELEZAJI 2025/26 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI 2026/27
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete tarehe 22 Mei, 2026 akiwa katika mwendelezo wa Bunge la Bajeti Jijini Dodoma amewasilisha Maoni...
Amehudumu katika nafasi moja tangu mwaka 2013(miaka 13!). Amefanya kazi chini ya marais watatu bila kuondolewa kwenye kiti chake au hata kunyooshewa kidole na mtawala yeyote wakati wowote.
Wote wameipenda na kuridhishwa na kazi yake Jaji Francis Mutungi, msajili wa vyama vya siasa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.