lugha

  1. nzalendo

    Je? Naweza kufanya PHD kwa kutumia lugha ya KIswahili?

    Yaani nina andiko langu/ utafiti,,,,linalohusu namna ya kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbali mbali ya Tanzania kutokana na rasilimali zilizopo hasa kijijini... Je?..Kwa kifupi naweza pata Prof. wakunisimamia? kunipa muongozo?...lakini lugha nitakayotumia ni kiswahili labda nitachomekea...
  2. V

    Walimu wa arts na lugha waanza kuitwa kazini #kiswahili, English,htm

  3. Fbn

    Lucas tulisha kwambia CCM wakishakutumia siku ukiguswa ndio utajua lugha moja

    Huyu jamaa kama angekuwa kitengo cha uchawa front tunge koma. kwa sasa kama kajitenga.
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    Lugha ya Kiingereza ni ngumu hata kwa Wasomi wetu, Azam TV wameajiri Wakenya na Waganda kwa ajili ya Kombe la Dunia

    AzamTv wanarusha mechi sote 104 za Kombe la Dunia kwa Kiswahili na Kiingereza. Wasomi wetu wapo idhaa ya Kiswahili kupitia Azam Sports 2HD hapo unawakuta akina Shaffih Dauda, Edo Kumwembe, Ally Mayai, Muro na wengineo wakichambua kwa manjonjo yote. Kule Azam Sports 4HD wapo akina Chiko Lawi...
  5. Yoda

    Ombaomba wa Tanzania ni wabunifu sana

    Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa Kuna wakina mama wa...
  6. M

    Tofauti na Kiswahili, unafahamu lugha gani nyingine?

    Kuna baadhi yetu hatukupata bahati ya kufahamu lugha za asili, na hatujui lugha za nje tunajua kiswahili pekee kwa sababu wazazi hawakuwa wakizutumia kwa sababu walikuwa wa kutoka kabila tofauti, na shule pia tulisoma Kayumba so kipengele. Je, wewe unafahamu lugha gani nyingine za ndani na nje...
  7. stabilityman

    Wapi wanafudisha kuongea lugha ya kichina?

    Wapi wanafudisha kuongea lugha ya kichina?
  8. M

    Lugha za kichina na kijerumani

    Watoto wangu wanaishi Chanika, mkoani dsm. Naomba kufahamu mtaalamu wa lugha za kichina na kijerumani au sehemu rahisi kwao kwenda kujifunza. Ninashukuru kwa msaada huo
  9. L

    Mwanafunzi wa Kitanzania afuata ndoto ya Kichina kupitia shindano la lugha jijini Dar es Salaam

    Wakati mtoto wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 10, Ayubu Shaaban, alipopanda jukwaani katika Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, watu wachache tu katika ukumbi uliojaa watu ndio walitarajia mvulana huyo mpole angevutia hadhira kwa lugha fasaha ya Kichina. Akiwa amevalia...
  10. Chakaza

    Bunge letu Liweke Wakalimani wa Lugha kuepusha hizi aibu za kushangilia kama Majuha kwa kutokuelewa

    Hili linalojadiliwa na vyombo vya habari vya nje mfano hii FM Radio 47 linatufedhehesha sana. Tuna kundi kubwa sana la wabunge "machawa" na hawaelewi lugha zinazoruhusiwa bungeni mfano English kiasi kushangilia kama mazuzu na yasemwayo yanatuaibisha WaTZ wote. Kama ni lazima kuwaingiza bungeni...
  11. A

    KERO UDOM – Department ya Foreign Language and Literature Inaharibu Future za Wanafunzi!

    Hii Department ya Foreign Language na Literature ya University of Dodoma kuna tatizo kubwa sana. Wanawafelisha wanafunzi bila msaada wowote. Mfano hai ni LG 102 (Communication Skills)—hili somo limekuwa kama “filter” ya kuangusha watu. Wengi wanakwama hapo, hakuna msaada, hakuna majibu. Mimi...
  12. L

    Wanafunzi wa kike nchini Tanzania wafuata ndoto zao kwa kujifunza lugha ya Kichina

    Shule ya Sekondari Zanaki jijini Dar es Salaam, shule ya wasichana inayomilikiwa na serikali ya Tanzania, mwanafunzi wa kike anayeitwa Rosemary Thadei Mushi anasimama mbele ya wanafunzi wenzake, akiwaongoza kwa umakini jinsi ya kutamka maneno ya Kichina kwa kufuata lafudhi sahihi. Katika...
  13. A

    KERO Askari wa Jangwani wanaokamata Bajaj wawe na lugha ya staha!

    Wale Askari wapale Jangwani wanaokamata usafiri kama Bajaj wawe na kauli nzuri na ustaarabu kwa abiria walioko ndani ya usafiri. Wanawafanya watu kama wezi na kuwatolea maneno machafu na kufanya kazi kwa kujuana, imekuwa kero, yaani wanakamata Bajaj kisha wanaanza kutoa lugha isiyo ya kiungwana...
  14. Trainee

    Neno Mubashara: Chaneli ya taifa mnaharibu lugha, chaneli ya dini na nyinyi amueni moja mtumie kiswahili ama kiarabu

    Ukiangalia kuna chaneli kama makundi matatu hivi juu ya uandishi wa neno LIVE kwa Kiswahili sanifu Kuna wanaoandika MBASHARA mfano TBC. Hawa jamaa mwanzoni nilidhani wamekosea tu katika typing lakini kumbe wapi, ni staili yao. Ni sawa na mtu aandike STAKI badala ya SITAKI eti kisa tu katika...
  15. Vien

    Kwanini wateja wanatumia “mna” na “wingi” wanapoulizia bidhaa? Ni saikolojia au mazoea ya lugha?

    Habari wana JF Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani. Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu. Mfano: •Hivi mna pump za Pedrollo? •Mna taa za Tronic? •Mna pipes za PVC? •Mna switches za umeme? •Mna...
  16. M

    Kuongea kwa kuchanganya lugha kiswahili na Kiingereza, ni usomi au ujanja?

    Eti wakuu kuongea kwa kuchanganya Lugha 2 kwa pamoja, Kiswahili na kiingereza, hiyo huwa inaonesha usomi wa mtu, ujanja au mtu anakuwa hajui lugha zote 2 hivyo anachanganya kupata misamiati ili kukamilisha sentensi zake? Siyo kitu cha ajabu kusikia I garantee you utakuwa salama we nenda tu, au...
  17. R

    Video: Lugha gongana ya mchina

    Hivi inakuaje hawa wachina wanakuja huku kwetu huku hawajui hata lugha ya kiingereza wala kiswahili ambazo zinakutanisha watu wengi?
  18. O

    Ukweli wa lugha: kuhusu kitana na chanuo

    Matumizi ya vitu hivi viwili KATIKA kuremba nywele, huchanganya. Ukweli ni huu. Kazi ya Chanuo ni kuchana nywele, YAANI kutengenisha nywele kimakundi. Kazi ya kitana ni kutana nywele neno kutana ni kukutanisha nywele pamoja katika mpangilio. Hivyo basi kazi ya Chanuo ni kuchana nywele na...
  19. BIG BROTHER ALEX

    Lugha gongano TFF(shirikisho la mpira) wabadili jina, watu wanawachanganya na TFF waasi, huko mitandaoni, kichekesho

    Katika pita ZANGU mitandaoni, nikakuta HABARI ya TFF WAASI kuhusika na mambo ya mauaji, Sasa kilicho niacha hoi ni comments za waja. HABARI inasema, kiongozi wa kikosi cha TFF waasi adai kuhusika na mauaji mbeya, MTU ana comment hivi, 1. Heee, Walace karia NAE ana kikosi KAZI, hi Isha kuwa...
Back
Top Bottom