wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna kiongozi wa Yanga anafanya mawasiliano na baadhi ya wachezaji wa Simba ili awarubuni kuelekea darby ya kariakoo ya tar.10.10.2026

    Hapo vip! Za chini ni hivi kuna kiongozi wa Yanga mpumbavu sana yule mtu,ameone hii darby yanga anaenda kupoteza hivyo anatumia njia mbadala ya kuta kuwarubuni wale key players wa Simba ili wacheze chini ya kiwango ili apate ushindi. Na hili linaanza kutupa wasiwa kwa darby iliyopita kwa...
  2. TADPOLE

    JamiiForums Tanzania Karia na wenzako kama hamuwezi scouting ya timu ya Taifa ya kupata Professional players nipeni tender niwaletee wachezaji Quality wakitanzania

    Timu ya taifa ya Eritrea jana imetoa Suluhu ya 1-1 na timu ya taifa ya Kenya,game ilikuwa tough na Eritrea ambao kimsingi kwa miaka mingi ni underdog wa Africa Mashariki walionyesha kiwango ambacho hakuna aliyetegemea ingekuwa hivyo!! Siri ilikuwa ni moja Eritrea wametumia mfumo wa Morocco...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harambee Stars wagoma kufanya mazoezi, posho na maslahi ya wachezaji zazua mvutano

    NAIROBI: Maandalizi ya Harambee Stars kuelekea mechi ya kufuzu AFCON 2027 dhidi ya Eritrea yameingia doa baada ya wachezaji kususia mazoezi wakilalamikia kutolipwa posho na changamoto za maslahi wanapokuwa kwenye timu ya taifa. Wachezaji waliokuwa wameingia kambini jijini Nairobi walikataa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ally kamwe athibitisha kocha wetu ni mpiga miti,je wachezaji wa timu yetu Utopolo F.C. wapo salama kweli?

    Nikikumbuka sakata la Ramadhani Kabwili picha inanijia kichwani kuwa huenda kweli kuna kiongozi wetu na baadhi ya wachezaji walikuwa wanamgagadua kipa wetu. Nikiangalia vishundu vya akina Azizi funguo,Sheketure,bacca,nondo,chuga boy jinsi vilivyobinuka Sina shaka kocha wetu mpiga miti...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kuisaidia Yanga kimataifa humu hakuna

    Wananchiii, Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji. Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania HOJA Wazawa watatu hadi wanne pekee wanaanza kikosini Simba na Yanga, Taifa Stars iko salama kuelekea AFCON 2027?

    Wakuu Nimepitilia lineup za hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga na kujiongea Utawala wa wachezaji wa kigeni katika vikosi vya kwanza vya Simba na Yanga, wakati Tanzania ikijiandaa kwa AFCON 2027, ni kisu chenye makali miwili. Kwa upande mmoja, nyota hawa wameiongezea Ligi Kuu ya NBC...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Yanga tumecheza match ngumu. Pamba walichezesha wachezaji 6 ambao ni under 20

    Kwa hii Team Simba wangekandwa kabisa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Benchi la ufundi la Simba sc hebu kaeni na wachezaji mzungumze nao kuhusu suala la nidhamu ya mchezo uwanjani. Hizi red cards zinaicost team sana

    Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa ujumla kutokana na uchezaji wao wa ovyo. Beki na viungo wa Simba wanafanya sana reckless tackles...
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kama sio Football Video Support (FVS) basi wachezaji wawili wa Simba wasingepewa redcard

    Huu ni ukweli ambao ni wachache wanauona kama sio Football Video Support (FVS) basi leo hii watu wangeishia tu kulalamika kwamba jabar na duchu walistahili redcard sana sana watu wangesubiria kamati ya masaa 72 itoe hukumu Viongozi wa simba miaka nenda rudi wamekuwa wakilalamika kwamba...
  10. mngony

    JamiiForums Tanzania Simba mnaweza kusajili vizuri, mkaweka motisha kwa wachezaji lakini mkikubali ARAGIJA akacheza mechi zenu msahau Ubingwa

    Wenyewe mnaona katika misimu miwili iliyoisha, Ubingwa unaenda kujilikana mpaka siku ya mwisho kwa maana ya kuwa tofauti ndogo kabisa ya Point zisizodi 3 ndio huwatengenisha na Mabingwa. Najua uamauzi wa kusajili na kuandaa timu vizuri mnalichukulia kwa Uzito ili kufanya vizuri mashindano ya...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwa tunazilaumu Kamati za Usajili bure kumbe Wachezaji 'Top Class' Afrika hii ni Adimu sana au Wameisha

    Timu za Tanzania zinaongoza kwa kuzoazoa wachezaji mseto kutoka Drc, Senegal, Nigeria, Mali nk...tukifuatiwa na Al Hilal ondurmana ya Sudan.na kule Libya. Nilichokuja kugundua Wachezaji wengi wanaocheza mpira ndani ya Africa hii, wana mfanano mkubwa sana wa kisoka... Ni nadra sana kupata...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Bila La Masia Spain isingebeba Kombe la Dunia 2026, hawa ni wachezaji waliopitia La Masia (academy ya Barça)

    1. Lamine Yamal – mshambuliaji (FC Barcelona) 2. Pau Cubarsí – beki wa kati (FC Barcelona) 3. Gavi (Pablo Martín Páez Gavira) – kiungo (FC Barcelona) 4. Dani Olmo – kiungo mshambuliaji (aliwahi kuwa La Masia kabla ya kwenda Dinamo Zagreb) 5. Eric García – beki (aliwahi kuwa La Masia) 6...
  13. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Siri ya Chupa ya golikipa wa Uingereza yafichuka, ilikuwa na mbinu za kuzuia penalti za wachezaji wa Argentina

    Wachezaji wa Argentina wamefichua siri iliyokuwa kwenye chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, baada ya timu hizo kukutana jana usiku katika nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 . Baada ya Argentina kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, baadhi ya wachezaji wake, akiwemo nahodha Lionel...
  14. upupu255

    JamiiForums Tanzania KWELI Wachezaji huwa na utaratibu wa kukaa kwenye maji ya barafu, husaidia uponaji wa haraka

    Wakuu nimekutana na hili jambo huko mtandaoni, na mimi pia nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu naomba mtusaidie. "Naomba kuuliza wadau,,wachezaji na wanamitindo kukaa katika maji ya barafu husaidia nini?"
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hapa unawajua wachezaji wangapi kwa majina, wataje

    Hiki ni kikosi cha Yanga miaka ya 2000. Unawajua wangapi kwa majina, wataje tuone…
  16. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ikodishe wachezaji wa Tanganyika ?

    Baada ya Zanzibar kufungwa 3 nunge na Uganda, ifike kipindi wawe wanachukua wachezaji wa Tngayika ili kuenzi mpira wetu na undugu wetu mzuri wa miaka kwa miaka!
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania FIFA wamejitahidi kudhibiti upotevu wa muda. Wachezaji wamebadilika sana.

    Zile drama za kitoto tumezoea michezoni hazipo tena. Watu kujitia kuumia, kipa kuleta mbwembwe na mambo ya kuchelewa kurusha mipira hatujayaona WC hii. Sema wameokoa muda kisha wakaongeza mapumziko yao ya maji wapige hela!! Hizi sheria zije huku Afrika. zitatusaidia sana.
  18. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Timu ya PAMBA wachezaji walipewa maelekezo maalumu kuwaumiza kwa makusudi wachezaji wa SIMBA, Bodi ya ligi itoe adhabu Kali kwa timu na refa

    Hii ni kweli kabisa na limeonekana wazi kabisa katika mechi ya leo. Ni neema na kudra za Mwenyezi Mungu tu TUMETOKA salama Wana Simba wachezaji wametoka Salama uwanjani. Ilaaniwe timu ya PAMBA na waliowatuma kufanya UHUNI huo. Nasubiri kamati ya masaa 72 ifanye kazi yake.
  19. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kigeni waliowekeza Tanzania

    Je unawafahamu wachezaji wa mpira wa miguu waliowekeza Tanzania? Mimi naanza na hawa: 1.Bernad Morrisson Kajenga nyumba Dar na Mbeya 2.Aubrey Chirwa Huyu ana mashamba Kagera,Pwani na Morogoro.Pia ana maghorofa Dar,ana nyumba Bukoba,Dar,Mbeya na Morogoro.Kama unawafahamu wengine tueleze
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Wachezaji under 17, washangiliaji above 40! Upigaji tu ndiyo kitu tunaweza

    Kwa nini hawakupelekwa vijana wadogo kushangilia wale watoto ? Wameshindwa kuchukua hata vikundi vya ndondo cup vikatoe shangwe mnaenda chukua wazee waliojichokea ? CCM kila kitu ni deal
Back
Top Bottom