MOJA ya habari zinazotreni mitandaoni na vyombo vya habari ni iliyokuwa ndoa ya Haji Manara na Zaylissa ambayo imefikia mwisho na inaelezwa mwanadada huyo amepanga kushusha bonge la pati kusherehekea talaka yake.
Zaylissa amesema ataandaa sherehe hiyo atakayoipa jina la 'Usiku wa Talaka' kwani...
Aisee watu wanakula maisha sio poa Kuna ndugu angu Fulani balozi wa nchi Fulani na ana biashara ya vituo vya mafuta kwake kila siku chakula yu cost yake ni laki 8 asubuhi watu wanaenda sokoni kununua vitu quality wanavileta jikoni wapishi wapo watano wanapika kuku,maharage, ndizi...
Tuambizane ukweli, kwa asilimia 99% ukimwambia Mwanamke nataka nikuoe atawaza zaidi siku ya sherehe itakavyokua jinsi atakavyo watambia marafiki zake, jinsi atakavyopiga mapicha, jinsi watu watakavyomuona akiwa ndani ya shela, lakini 1% ndio wanajua nini maana ya ndoa.
Zamani wanawake...
Tuambizane ukweli, kwa asilimia 99% ukimwambia Mwanamke nataka nikuoe atawaza zaidi siku ya sherehe itakavyokua jinsi atakavyo watambia marafiki zake, jinsi atakavyopiga mapicha, jinsi watu watakavyomuona akiwa ndani ya shela, lakini 1% ndio wanajua nini maana ya ndoa.
Zamani wanawake...
Sherehe zinapofika – iwe ni Krismasi, Eid, harusi, au hata birthday ya bibi – kuna kitu kimoja hakikosekani: kukutana na ndugu. Na hapa ndipo mambo huanza kuwa moto! 😂🔥
Kwa wengine, hii ni nafasi ya kufurahia, kula nyama choma, na kufufua kumbukumbu za utoto. Kwa wengine, ni msiba wa kisirisiri...
Eid Mubarak WanaJF.
Naomba kuuliza kama kuna faida yoyote ya sherehe za harusi kufanyika usiku.
Harusi imefungwa mapema mchana au Jioni lakini shughuli za Ukumbini zinaanza saa 2 usiku mpaka saa 6 usiku pengine na kuendelea mpaka asubuhi.
Chakula na vinywaji vinaliwa kuanzia saa 4 usiku watu...
Tumezoea kusikia wasanii wa nchi kama Kenya wakilalamika wasanii wa nje kulipwa zaidi yao lakini hawaiachi pesa iende, Huko Ghana hali imekuwa tofauti, bilionea aliita wasanii watoe burudani kwenye Birthday yake, msanii maarufu wa Ghana alipogundua wasanii wa nje wamelipwa zaidi yake alirudisha...
Habari za wakati huu wana jukwaa, swali langu ni hilo hapo juu nimehudhuria sherehe kadhaa utakuta mtu amepakuliwa chakula kidogo amekula na hajashiba linapotolewa tangazo la wanaohitaji kurudia wakaongeze chakula kipo cha kutosha unaweza usione wanaoinuka, shida inakuwaga nini?
Wakuu Hii ni kwamba Wananchi wamefanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, wananchi ni kama wamepewa maelekezo ni cha kusema. Hii ni sehemu ya ajenda ya kumpigia kampeni ya mitano tena hakuna la maana.
=======
Wananchi wa Kata ya Mtipa, mkoani Singida, wamefanya sherehe kubwa...
Nilitaraji basi kuwe na Mabango ya wanawake wengi walio wahi kutoa mchango wao kwenye hili Taifa. Ila inaonekana mwanamke ni mmoja tu ni Mama, Wengine wote labda ni wanaume kwa mujibu wa chawa.
Ilipaswa kuwe na picha za wakina Bibititi Mohamed, Spika wa Bunge wa kipindi kile Anna Makinda,vna wa...
Huyu mshana ni kichwa sana mwisho wa mwaka akija kupewa tuzo ya content bora za ubunifu msije kuona kapendelewa tusimnyanyase tumpe maua yake aiseee.
Kitambo sana sijapost kwa mwezi wote wa pili nilikuwa busy sana kuwabembeleza kuku wangu wanitagie na kutonoa mayai na kweli wamefanya hivohivo...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Ashiriki Sherehe ya Police Simiyu Family Day
📅 Tarehe: 22 Februari 2025
📍 Eneo: Viwanja vya Kituo cha Polisi, Itilima
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameshiriki katika sherehe ya Police Simiyu...
Wakuu salama? Najaribu kuuliza ni wapi nitapata kaeneo ka wazi kwa idadi ya watu wasiozidi 100 kwa ajili ya function kidogo. Kwa mwenye kujua tafadhali
Mliacha kuandaa timu,mkavalishwa madera ya kijani na njano rangi xa timu ya Chasambi
Sisi ni wekundu jamani rangi za matunda na mbogamboga wapi na wapi
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, kimekemea vikali kitendo kinachodaiwa kufanywa na Maafisa Elimu cha kuwalazimisha walimu kwenda kushiriki sherehe ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Dodoma tarehe 05 Februari 2025.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma...
Serikali imeanza kujenga shule ya Sekondari Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe ili kupunguza adha ya watoto kusafiri umbali wa takribani Km 15 Hadi Manda Sekondari na Km 30 Hadi Mchuchuma kupata elimu.
Kwa hatua za awali Tayari madarasa mawili yapo mwishoni kukamilika na Mbunge wa Jimbo la...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa CCM. Chama ambacho kimeendelea kubeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania, chama...
NImeamka saa kumi kasoro 20 muda huu usiku.
Nikawasha Data naona bando limeisha.
Nikajiunga bando. Nikaaingia mtandaoni nikaona Web browsee zinagoma kufunguka.
Nikawasha VPN ikagoma.
Nikasema moyoni mbona kama yale ya 2020 ndio kama haya?
Nikazima simu, nikawasha bado shida iko pale pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.