Baada ya Kwenda Zanzibar na Kukosa kazi Kisa Usikivu Hafifu 😢, Nikaamua Kurudi Nyumbani Dar es Salaam, Hakuna Rangi Sikuiona Aiseee Masimango, Dharau za kila Aina, ila Nilivumilia tuu, Nikawa Naenda Kijiweni Natuliaa jioni Narudi Home...
Siku Moja Tupo Kijiweni na Washkaji Kuna Mdada Akaja...