vyama vya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hasara na athari za kususia uchaguzi kwa vyama vya siasa na wafuasi wao hua ni nyingi kuliko faida, taja athari wanazopata wasusia uchaguzi mkuu?

    Kwa kurelax, elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vya upinzani kupanic na kughadhabishwa na mabadiliko ya makatibu wakuu wa CCM wa mikoa yote Tanzania, kuna toa ujumbe gani kwa Taifa?

    Je, hii ni ishara kwamba viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, walio ghadhabishwa na mabadiliko hayo, wana maslahi na CCM, au nao ni wanachama wa ccm, lakini wako upinzani kiana au kwasabau ya njaa tu? Maana sote ni mashahidi humu jukwaani, namna ambavyo wanachama wa...
  3. Kachina95

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUJUA UWEPO WA MSAJIRI WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA.

    Jamani naomba kujua kama jaji Mtungi na msaidizi wake Sisty wapo! Kuna chama cha siasa kinamiliki majeshi na vyombo vya usalama. Nadhani hii ni kinyume na sheria ya vyama vya siasa na natumaini hatua kali sana za kukifuta chama hicho zitachukuliwa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud: Vyama vya Siasa vinaweza kuwa sababu ya kurejesha nyuma nchi na kuweka misingi ya vurugu

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ametoa wito kwa vyama vya siasa, utumishi wa umma pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuzingatia wajibu wao wa msingi ili kuiletea nchi maendeleo na kuepuka migogoro. Akizungumza leo Septemba 22, 2026 baada ya kuapa kuwa Makamu...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  6. lord atkin

    JamiiForums Tanzania AI: Kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa

    Ndiyo, kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa, hasa pale chama kinapotaka kujenga taasisi imara, endelevu na inayofuata misingi ya kidemokrasia. Ingawa harakati ni muhimu sana katika kuamsha umma, kupigania haki fulani, au kuanzisha mapinduzi ya kisiasa, zikitumika...
  7. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Hongera mahakama kwa kumtia hatiani Tundu Lissu

    Friends and Enemies, Lilikua ni suala la muda tuh kwa Tundu lisu kuweza kutiwa hatiani na kukutwa na kesi ya kujibu. Ni wazi kabisa alihusika kwenye uhaini,kuchochea fujo na vurugu kiasi cha kupelekea uvunjifu wa amani na vifo vya watu wengi wasio na hatia Kwa kuwa platform aliyoitumia ilikua...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini wasomi wengi nchini Tanzania, husita kujiunga na vyama vya siasa vya upinzani?

    Ukiachilia mbali kukosekana discipline katika kueneza itikadi, sera na agenda za vyama hivyo vya siasa vya upinzani nchini, na pengine utamaduni usio na staha wa uropkaji, kutukana na kuporomosha matusi miongoni mwa viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, dhidi ya wenye maoni...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ili kupunguza machawa kwenye vyama vya siasa na kupata viongozi WAZALENDO liwepo sharti Kila kiongozi wa chama awe shughuli ya kiuchumi kupata kipato

    Hii mbinu inaweza ipunguze tatizo Kwa kiasi kikubwa Sio CCM Wala Chadema au chama KINGINE CHOCHOTE kumekuwepo na wingi la machawa wanaonunulika kirahisi. Nikianza na Chadema ambayo wengi tunatarajia kuona ikichukua uongozi wa nchi hali ni mbaya zaidi. Viongozi wengi wa Chadema wamekuwa wepesi...
  10. Pakome

    JamiiForums Tanzania Je, maridhiano ni kati ya Vyama vya Siasa au Serikali na Wananchi?

    Baadhi yetu Wananchi hatujui maridhiano yamelenga nani kati ya Vyama vya Siasa au Serikali na Wananchi
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nashauri vyama vya siasa visivyo na sifa za kisheria kushiriki uchaguzi visipewe kipaumbele kwenye maridhiano ya hiyari ya kitaifa

    Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania. Hakuna haja, wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Wasomi: Ni makosa kudhani maridhiano yatapatikana kwa vyama vya siasa peke yake

    Mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan, na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam Julai 30, umeibua tena mjadala kuhusu mwelekeo wa maridhiano nchini baada ya kipindi cha mvutano wa kisiasa kilichofuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Kwa upande wa Serikali, mkutano huo...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanya mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa Ikulu Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezugumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 30 Julai, 2026.
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli upinzani Tanzania haujui unachotaka, unachokipambania au kukipigania?

    Kwasababu sote ni mashahidi na tunasikia na kuona jinsi ambavyo wanayumba na kudandia kila kitu ambacho ni kipaumbele cha waTanzania, na all over the sudden wanakibwaga na kudandia kingine on the spot. Halafu wamekua wakisubiri na kutambaa na matukio tu ya kisiasa kadiri yanavyotokea, je, hii...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Masharti na mashinikizo ya vyama vya siasa na asasi za kiraia katika kujenga msingi wa maridhiano hiyari ya waTanzania kuelekea katiba mpya yapuuzwe

    Kama ambavyo ilitokea kabla na katika uchaguzi mkuu wa oct.2025, wenye misimamo ya vyama vyao ikiwa ni pamoja na kususia uchaguzi mkuu walipuuzwa. Nadahni ni muhimu sana kama taifa kusonga mbele katika utaratibu huo huo kwamba atakae suasia au kuja na mashariti ya chama chake kuelekea maridhiano...
  16. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Viongozi watatu wa CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya siasa

    Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi yao walipopaza sauti kuhusiana na tuhuma za ubadhirifu wa pesa za michango ya wadau kwa chama hicho...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini ni kirusi ndani ya vyama vya siasa, afutiwe uanachama haraka kabla hajaleta madhara.

    Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine. Kwenye kamati hiyo akiwa na Mabere Marando...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ikiwa baadhi ya vyama vya siasa hufurahia wenye maoni tofauti na yao wanapofikwa na misiba/umauti, hivi kuzomea inaweza kua jambo la kushangaza kweli?

    Nimeona habari ya kuzomea zomea ikisambazwa mitandaoni na kuchukuliwa kanakwamba ni jambo kubwa sana, au jambo jipya sana au jambo la kushangaza sana. Nadhani sote ni mashahidi kwamba, ikiwa watu hao kutoka miongoni mwa vyama vya siasa siasa nchini, wanaweza kufikia hatua ya kufurahia na...
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kuhojiana ndani ya vyama vyetu ndiyo ustaarabu,tusifukuzane kisa kuhoji

    Kuhojiana ndiyo tamaduni uliyo ya kistaarabu sana hasa ndani ya vyama vyetu,au vyombo vyetu vya umoja au umma,hasa pale panapokuwa na mashaka fulani fulani, kuhojiana ndani ya vikao vya chama hakupaswi kuwa fimbo kwa wale wanaohoji maswala kadhaa wa kadhaa, Basi kwa hili,tunaomba wale wote...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama Vya Siasa Aingilie Kati na Kumsimamisha Uongozi John Heche Ili kuepusha Vurugu zinazoweza kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hali iliyopo na inayoendelea ndani ya CHADEMA ni vyema sana na muhimu sana kuchukuliwa kwa hatua za haraka na Dharura kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Kumsimamisha uongozi John Heche Ili kuepusha Vurugu zinazoweza kutokea kwa wanachama kuamua kujichukulia...
Back
Top Bottom