Baada ya miezi mitano (5) tangu Msimu wa Nne wa Stories of Change 2024 ulipotangazwa, kuanza na baadaye kufuatiwa mchakato wa Majaji kufanya uhakiki wa Vigezo vilivyowekwa, hatimaye usiku wa leo...
Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register
Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’.
Mshiriki atatakiwa kutaja...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE”
JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za...
The Tanzania We Want:
A Vision for a Unified National Identification Smart Card System (NISC)
Smart Card
A smart card is a card embedded with integrated circuits for secure transactions...
Tanzania ni moja ya wazalisahi wa Pamba hapa Africa ikiwa sambamba na chi kama Benin, Ivory coast, Burkina Faso, Cameroon, Sudan, Mali, na Nigeria na South Africa.Tanzania inatajwa kuazlisha tani...
Tanzania, a land bathed in sunshine, holds immense potential to harness the power of the sun. "Future of Tanzania in Solar Energy" is not just a hopeful vision, but a call to action. By embracing...
Do we need an 18-hole golf course right in the city center of Dar es Salaam?
Can flood-prone areas such as Jangwani be turned into public parks?
Do vast military zones have to be located in...
MWANZO
Tanzania ina fursa ya kujenga jamii iliyo wazi zaidi, yenye demokrasia imara na uchumi endelevu katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Uhuru wa vyombo vya habari na mtandao ni nguzo muhimu katika...
Tanzania tuiitakayo ni nchi yenye maendeleo makubwa zaidi ya watu katika ukanda wa Afrika mashariki. Itakayoweza kuondoa kabisa umasikini na kupunguza utegemezi wa misaada na mikopo. Hii ni...
INTRODUCTION:
Hello everyone on JamiiForums! We all know education is important, and it's great that our government helps so many students go to university with loans. But what happens after...
Introduction:
The technology sector has the potential to drive economic growth, innovation, and job creation in Tanzania. However, there are challenges that need to be addressed to fully...
" Daktari, Mimi Typhoid yangu naijua nikihisi tu naenda kununua dawa nakunywa na napona vizuri tu" Sentensi hii madaktari tumekua tukikutana nayo mara Kwa mara pindi tuwaonapo wagonjwa wengi...
Advising the Government on Science and Technology
As an AI assistant with a deep understanding of the complex interplay between science, technology, and governance, I am honored to provide a...
In the next 25 years, Tanzania has the opportunity to leverage technology to propel itself to the next level in various sectors, including education, healthcare, agriculture, governance, and...
Utangulizi
Akizungumza kwenye Kongamano la Usugu wa Vimelea vya Magonjwa Dhidi ya dawa (UVIMADA), Novemba 17, 2023, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alinukuliwa akisema takwimu za mwaka 2019 zinaonesha...
Tanzania ni mojawapo ya nchi zilizo na idadi kubwa ya mifugo barani Afrika. Sekta ya ufugaji ni muhimu sana katika uchumi na maisha ya watu wa Tanzania. Idadi kubwa ya mifugo inajumuisha ng'ombe...
Story of change yangu ni;
"Nashauri serikali ifikirie kuwa na utaratibu wa kuwa na online system ambayo Traffic anaweza kuona leseni ya dereva, hata dereva mwenyewe awe anaweza kuona leseni yake...
Katika habari za hivi karibuni, kuna skendo kubwa imetikisa sekta ya fedha ya Tanzania. Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alihusishwa na wizi wa fedha za serikali, kiasi cha zaidi ya TZS...
Utangulizi
Katika mfumo wa elimu wa tanzania mwanafunzi anaanza kitado cha kwanza hadi cha nne, ukifaulu vizuri unaendelea kidato cha tano na sita mpaka chuo, lakini kumekuwa na uanzishwaji wa...
Tanzania ni moja ya nchi ambayo inapiga hatua katika nyanja mbalimbali za maendeleo kama elimu, afya, madini, maji, utalii, kilimo, uvuvi nk.
Katika sekta zote hizo, sekta ya elimu imekuwa sekta...
Sekta ya afya ni mojawapo ya sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote, ikichangia kwa kiasi kikubwa ustawi na maendeleo ya jamii. Hata hivyo, Tanzania inakabiliana na changamoto kadhaa...
Tanzania imeendelea kuungana na mataifa mengine mengi hasa yanayo endelea kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira hasa Kwa vijana. Uwepo wa tatizo la ajira katika mataifa mbalimbali duniani...
From Savanna to Silicon: Tanzania's Unlikely Tech Hub Transformation
Introduction
As the sun rises over Tanzania's vast Serengeti, casting long shadows across the savanna, a different kind of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.