mwizi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni: Mwizi na muuaji anapoamua kufundisha ustaarabu ili hali yeye bado ni mwizi na muuaji

    Leo nimeshangaa sana eti aliyeiba kura, kuua watu na hatimaye kuingia madarakani kwa nguvu. Anatoa somo la ustaharabu, amani na utulivu. Hii roho ya kishetani kweli na wala aibu ya dhambi haimo kabisa ndani mwake. Inawezekanaje unaongea hadharani kuhusu amani, utulivu uku wewe ukiwa umeua watu...
  2. mike2k

    JamiiForums Tanzania Mwizi wa Kuku anafungwa, mwizi wa mabilioni anapoteza muda? Tatizo liko wapi?

    Kuna swali ambalo kila jamii inayojenga taifa lenye haki lazima ijiulize: Kwa nini wakati mwingine uhalifu mdogo unaonekana kupata majibu ya haraka kuliko uhalifu mkubwa unaohusisha fedha za umma? Mtu akiiba kuku wa jirani, ushahidi huwa rahisi kuonekana. Kuna mali iliyopotea, kuna...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Sheikh anayetaka kutahiri watu bila ganzi kumbe ni mhuni, mwizi, tapeli. Ina maana CCM inawasapoti majambazi?

    Huyu anayejiita sheikh Mwaipopo alikamatwa akitapeli Kenya, akapelekwa mahakamani kwa kutapeli KES 1.3 Mil, hii ni sawa na TZS 26 Mil. Huyo Sheikh Ubwabwa alivyokamatwa akatuma salaam kwa waumini wa kiislaam waliopo Tanzania na Oman kuwa ameshtakiwa Kenya, na anashikiliwa kituo cha polisi cha...
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mwizi alipotaka kumuibia mwizi mwenzake ndicho kilichotokea huko China

    Asalam waleku Wandugu waJF hapa nataka nijulishe kwamba kule china mambo yameenda ndivyo sivyo. Kwa maana mapatano ya ajenda zote yapo PENDING Kwa hali ilikuwa kwamba ni mbinu za kimkakati ziliandaliwa kuingia na devices zao kuiba some information na kuzi export kwenye mashine zao ila ngoma...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz️ ni mwizi wa nyota za wasanii wenzake?

    Wadau habari zenu? Hili suala la diamond platnumz kuhusishwa na kupoka nyota za wasanii wenzake, hasa wale wanaofanya vizuri kwa kipindi fulani, limeshika kasi sasa. Hivi karibuni kumekuwa na mijadala mbalimbali mitandaoni kuhusu kupokwa kwa nyota ya msanii Jay melody aliyetamba ni nyimbo...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu 6 wakamatwa kwa kutuhumiwa kumuua Askari Arusha. Walimshambulia wakidhani ni mwizi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi aitwaye Roland Mollel ambaye ni mkazi wa Arusha yaliyotokea Aprili 15, 2026 muda wa usiku. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Generali Ulimwengu: "Kama hupati take home ya 6m au 7m na ukataka kuendesha gari lako dsm, kuna mawili, labda we ni mwizi ama mtumwa"

    Hii code ya mtumwa amemaanishi nini?
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wananchi wana mamlaka ya kupindua na kumuwajibisha kiongozi yeyote fisadi na mwizi

    Wananchi wana mamlaka ya kupindua na kumuwajibisha kiongozi yoyote fisadi na mwizi. kumpindua mwizi na fisadi sio kosa. Hakuna mwenye nguvu kuliko wananchi, taifa linaweza kuwepo bila rais lakini haliwezi kuwepo bila wananchi, kwamba wananchi ndio wanaunda rais mtu akijichagua yeye mwenyewe...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi waliowategemea wamekimbizwa na wananchi kama mwizi!

    Polisi walio wategemea wamekimbizwa na wananchi kama mwizi 🤣🤣🤣 heti umepewa nafasi ya muda tu ya uraisi unaanza dharau na vichambo sijui mimi amri jeshi sasa ngoja uone mziki.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kiongozi yeyote wa umma anayekuwa milionea katika ofisi za Serikali ni mwizi

  11. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania TANZIA Arusha: Askari Polisi auawa Picnic bar akidhaniwa jambazi baada ya kuzidiwa kilevi na kwenda kulala kwenye gari lisilo lake

    ASALAAM ALEYKHUM WADAU, Aisee bana kuna Askari aitwaye Omari Mnandi, aliyekuwa ameingia katika gari binafsi la Mtu aliyekuwa akijivinjari maeneo ya Picnic, alijisahau akajiachia kama yupo kwenye gari lake mpaka kusinzia...(Nafikiri walikuwa katika Doria ya usalama) kilichotokea alipigwa na kitu...
  12. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Watu wa sheria naomba mnisaidie kwenye hili: Muuaji na mwizi akikimbia Bara akakimbilia Kisiwani, mnaweza kumrudisha, au hakuna huo utaratibu?

    Nilikuwa nauliza hivyo tujue utaratibu uko vipi. Kuna mtu tumekuwa tukimuhusisha na muuaji ya ndugu zetu pamoja na utopeaji wa hela tunazichanga kila siku. Ila kuna tetesi anataka kukimbia nchi, sasa nawaza akikimbiilia hapo visiwani anaweza kurudishwa huku bara au hilo haliwezekani
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kweli mbwa sio msaada kwa ulinzi yani mwizi kaingia ndani jumapili hii kabeba flat TV na mbwa

    Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka. Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
  14. chief swetu

    JamiiForums Tanzania Polepole kaumizwa na mwizi aliyemficha yeye mwenyewe

    Kumekucha kumechangamka august-21-2025 tueke kumbukumbu sawa, Bwana HPolepole katuamsha na chupa imejaa chai ya moto🔥 balaa. Binafsi kanifikirisha sana, maana Kuna ile simulizi tulisoma darasa la kwanza/pili miaka ya tisini, kwamba wawindaji walikua wanamtafuta chui mla watu wamuue. Chui...
  15. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana tabia za wizi na udokozi

    Habari zenu ndugu zangu...., Nina mke ambaye naishi nae mwaka wa 3, tuna mtoto mmoja wa kike,sasa Kuna Changamoto nimekutana nayo,,,, Nina tabia ya kuacha pesa kwenye Wallet,,,sasa nikawa nahisi kama Hela inapungua,,,ila nikawa Sina uhakika,,,ila nikiamua kuwa makini niwe na uhakika kama pesa...
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mwizi amechomwa moto mtaani kwetu alfajiri ya leo. Kuna tetesi Polisi wanataka kuja kukamatwa watu, nifanyeje?

    Kuna jamaa kauwawa Kwa kuchomwa moto Kwa wizi huku mtaani na Kuna tetesi polisi watakuja kukamata vijana wa mtaani kwa mahojiano nifanyaje wazee Ili kuepuka huu msala maana nawaza nijifungie ndani wiki nzima
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

    Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole.... https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
  18. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania MWIZI WA GARI AKIFANYA MICHEZO YA HATARI HUKO MJINI MELBOURNE AUSTRALIA

    Mwanaume wa miaka 36, huko mjini Melbourne nchini Australia amekamatwa na polisi baada ya kuruka katika gari ambayo inasadikika iliibiwa. Mtuhumiwa huyo alianza kukimbizwa na polisi baada ya kushindwa kusimama kwenye trafiki. Mapema ijumaa polisi walipewa taarifa ya kuibiwa kwa gari katika...
  19. Shanily

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mwizi, ukiibiwa tuliza komwe

    Best yangu alikuwa na mume wake , mwanzoni walikuwa na mapenzi yaleee kiasi mume anaweza kuacha simu yake ndani akaenda sehemu bila wasiwasi wowote ule. Sasa ghafla mume akaanza kuondoka na simu yake , simu ikawa na password Kila sehemu , mke akaanza kushtuka huyu vipi imekuaje tena. Mume...
  20. Logikos

    JamiiForums Tanzania Friendly Match: England Apigwa kipigo cha Mbwa Mwizi na WaSenegali (1-3)

    Ni Historia mara ya kwanza kwa Timu ya Afrika kumfunga huyu anayejiita 3 Lions (katika 22 attempts): Ofcourse sio kipigo cha Mbwa mwizi ila hawa wadau wametukatili sana kwenye World Cup kadhaa ngoja tu na hiki nikiite ni cha mbwa mwizi.... https://youtu.be/Rflrb2KUL7M?si=VCilMKc4xqUJ0QTG
Back
Top Bottom