Mara kadhaa Prof. Hosea alipokuwa anaulizwa kuhusu msimamo wa TLS issue ya akina Halima Mdee alikataa kutoa msimamo wa chama hicho Cha kitaaluma. Ameona uchaguzi umekaribia na wapinzani wake wameelekea kushinda ameamua kupingana na msimamo wa Bunge, Mahakama na Serikali na kuja na msimamo wa...
Siasa ya karne hii inahitaji elimu ili uweze kupambanua mambo na kuwa na hoja za msingi.
Vijana wa CHADEMA wengi elimu yao ni duni sana na ni watu wa kulalama kwa mkumbo tu bila kutumia akili sababu elimu ni hakuna.
Spika amezingatia misingi ya katiba maana hawezi kuenda kinyume na katiba...
Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti wa vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 29 nchini Marekani yaliyotolewa Aprili 25 na Taasisi ya Siasa ya Kennedy ya chuo kikuu cha Harvard HKS, 36% ya waliohojiwa wanaona kuwa "shughuli za kisiasa ni nadra kuzaa matokeo halisi", na 42% ya waliohojiwa walisema kura...
Wakuu!
Tumechelewa Sana kupata maendeleo ya kweli nchini tangu tupate uhuru kwa kuwekeza fedha nyingi kwenye siasa kuliko miradi ya uzalishaji.
Nchi yetu iliamua kuwa kupiga domo kwenye siasa NDIO kulipe Sana kuliko utafiti wa mbegu Mpya za kilimo na ufugaji pale SUA.
Miradi ya uzalishaji...
Swala la Halima linasikitisha na kufundisha pia. Halima wengi tunamfahamu kama shabiki kindakindaki wa CHADEMA tangu akiwa university nilipomfahamia Mimi.
Wengi tunayafahamu yaliyotokea kwenye uchaguzi 2020. Ni mjingaa pekee anaweza kusema kwamba hawa Covid 19 waliingia bungeni kwa baraka za...
Sometimes giving up is the sign of perseverance and not the sign of weakness aliandika mwandishi
wa habari mwanamama wa uingereza Reni Eddo-Lodge kwenye kitabu chake cha why i'm no longer talking to white people about race, akiwa anaelezea white supremacy and structual disadvantage of black...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia spika mstaafu Job Ndugai kutangaza kutoendelea na siasa mwaka 2025. Sisi kama CCM tutaendelea kumheshimu mzee wetu kama ilivyo desturi ya chama chetu.
Lakini nimefikiria kwa makini na kuwasikitikia mno...
Halima Mdee ananiuma kwa sababu nyingi.Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”
Ninasikia kulikua na nguvu kubwa iliyotumika kuwashawishi mama zetu mpaka kufikia kuapishwa kwenye garage kule Dodoma na kuitwa wabunge wa Upinzani bungeni.
Hata kama walitishwa kwa mtutu wa bunduki, ile ilikua chance ya 19 kuomba hifadhi ya ukimbizi nchi yeyote ile duniani.
Wangeutumia muda...
Wanaukumbi.
Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
Elimu ni Siasa
There is a raging debate on education in Tanzania at the moment. This is as it should be. But there is lack of clarity on foundational matters.
The political elite are blaming curricula for the woes in education. But we are in fact using the same kinds of curricula that are...
Habari wana JF
Nimejaribu kufuatilia kwa undani sana suala la shilingi ya Tanzania ukilinganisha na dollar pendwa ya Kimarekani ,kwanza tumsikilize huyu kiongozi kuhusu shilingi ya Unguja.
Kama umsikia kwa Umakini kipindi hicho Shilingi 1 ilikuwa na thamani sana kulinganisha na Sasa, Lakini...
Ndugu Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Zilikuwepo taarifa hapa nchini kuwa Mwezi wa kuhitimisha mfungo mtukufu wa Ramadhani umeonekana katika baadhi ya maeneo nchini (Kagera ni mmojawapo) jioni ya tarehe 1/5/2022, Lakini viongozi wakuu wa BAKWATA hawakuutangazia...
Mbinu zinazotumiwa na CCM kuitawala Tanzania hazitoutiani sana na zile zilizokuwa zikitumiwa na makaburu na Wakoloni dhidi ya waafrika. Katiba, tume ya uchaguzi, ajira mbalimbali na teuzi vyote vinazingatia kuibakiza CCM madarakani watu wapende wasipende, Waichague au waikatae, wanaCCM na...
Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva.
Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi
👇Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini
Habari wakuu,
Sio lengo langu kufundisha mamlaka husika namna ya utendaji wa majukumu yao wala kuelekeza nini cha kufanya lakini mimi pia sio mwanasiasa, mahusiano yangu na serikali yapo upande wa ulipaji kodi pekee nawapa chao nabaki na changu.
Mapema leo nimeona nami nitoe maoni yangu kuhusu...
Ukweli ni kwamba kwa dunia ya sasa ili kufanikiwa , inatakiwa kutumia akili na ushawishi mwingi huku ukitumia nguvu kidogo sana au usitumie nguvu kabisa. Ukifanya kinyume chake yaani kutumia nguvu za tembo na ushawishi sungura huwezi kuwa na mafanikio ya maana sana.
Angalau moja ya mambo ya...