Ni miezi inapita Iran ikipigwa na Marekani, inajibu kwa kulenga Saudi Arabia, Bahrain, Kuwait na Jordan kwa sababu tu kuna kambi za Marekani huko.
Lakini kuna swali moja lina viulizo vingi, Israel ikiwa hapo jirani kabisa na Jordan, kwanini hairushiwi makombora ya wastani kwa idadi kama wenzake...
ghafla
iran
israel
jordan
kambi
karibu
kiislam
kuishambulia
kupitia
kushambulia
kuwait
marekani
marekani na israel
mashambulizi
mpole
n.k
nchi
nchi za kiislam
saudi
saudi arabia
ubabe
waislam
wake
wenzake
wote
Mkuu wa Majeshi ya Israel, LTG Eyal Zamir, kuhusu kuadhimisha miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7:
Vikosi na makamanda wa IDF, katika huduma ya lazima na katika akiba, wafanyakazi wa kiraia wa IDF. Mnamo Oktoba 7, siku ya Simchat Torah 5784, mipaka yetu ilivunjwa katika shambulio la umwagaji damu...
Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, ameiambia Al Jazeera kuwa nchi yake haitakubali uwepo wa Israel nchini humo "chini ya hali yoyote ile" na itapinga jaribio lolote la kuvutwa katika migogoro ya Mashariki ya Kati.
Rais wa Somaliland na waziri mkuu wa Israel.
Katika mahojiano maalum...
Israeli: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alimsifu rubani wa India Kapteni Smit Machchhar kwa ushujaa wake wakati wa shambulio la Flydubai, akisema aliwaokoa watu 174, wakiwemo raia wa Israeli na raia wengine. Kulingana na Netanyahu, Machchhar alidungwa kisu na kujeruhiwa vibaya lakini alipigana...
Mods naombeni msiunganishe uzi, nyuzi nyingi vichwa havijagusia lengo la rubani pamoja na uhusika wa Saudi Arabia kupeleka madaktari kusaidia abiria.
Rubani msaidizi kutoka Oman anadaiwa kujaribu kuchukua udhibiti wa ndege ya Flydubai iliyokuwa ikielekea Tel Aviv, ikiwa na zaidi ya watu 170...
Dhidi ya dhana kwamba Iran haishambulii ndani ya mipaka ya Israel, ukweli ni kwamba Iran imeshawahi na kuendelea kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Israel kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani (droni), kama ilivyotokea Aprili 2024 na katika wimbi la mashambulizi ya baadaye...
Msemo mmoja maarufu nchini Israel unasema: "Musa alituzungusha jangwani kwa miaka 40 na hatimaye kutulaza sehemu pekee ya Mashariki ya Kati isiyo na hata tone moja la mafuta."
Pamoja na kuwa na eneo dogo (zaidi ya 60% ikiwa ni jangwa la Negev), kutokuwa na dhahabu, mafuta, wala madini ya...
Ukiwa sio mtalaam wa GEOPOLITICS za duniani, ukiwa hauna exposure ya SHADOW WARFARE na ukiwa haujui chochote kuhusu deep state syndicates basi utabebeka kirahisi na itikadi za kusimuliwa kwenye redio za mbao
Iran walisema siku Israel ikitia mguu mle ndani au kumgusa kHayatollah ingefutwa ulimwenguni. Ni miezi mingi imepita toka tukio hilo lifanyike. Je ni kwamba bado wanajipanga au wanafanya mazoezi?
Je nini kimekuwa kigumu kumtia adabu Israel asiwe mjeuri kiasi cha kutuma mabinti kuingia Irani na...
Asilimia kubwa ya watu wanaamini kwamba (Israel) ni nchi ,hii inatokana na uvivu wa kusoma au kulishwa maneno ya uwongo .
Wanaamini Holocaust ya Hitler ndio iliwarejesha wale wahuni pale Palestine.
Israel ni nini.
Katika vitabu vya Quran na biblia,jina Israel ni jina la mtu wala siyo nchi ...
Balozi wa Marekani nchini Israel, Mike Huckabee, akizungumzia uhusiano kati ya Israel na Saudi Arabia:
Waisraeli wangefurahia sana kufikia makubaliano ya kiusalama na Saudi Arabia, na wangependa kuona Saudia ikijiunga na Makubaliano ya Abraham.
Hakuna kusita kwa upande wa Israel katika suala...
Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir:
Hali ya watu huko Gaza si nzuri. Nataka kuwatoa Gaza. Mimi ni mtu mwenye kujali utu, sawa?
Ninawafanyia wema. Ninawatoa huko Kama wataendelea na ugaidi wao!!!!
Huu wimbo wa Israel Mabinti huwa unanifanya nitafakari sana kuhusu waamini Mungu na dini.
"Ukiniponya nitaamini, hata usiniponya bado nitaamini. Ukinijibu nitaamini, hata usinijibu bado nitaamini."
Ukifuatilia vizuri Iran ameshika adabu kuigusa Israel, na Netanyahu anatamani sana kuguswa akinukishe.
Iran kashambulia Waarabu wote tangu mwezi wa 6 ila hajaigusa Israel, sasa hivi Wahouthi wanaishambulia Saudia kila Siku, ila wamesema hawagusi meli za Israel.
Baada ya wahuthi kupiga hadi mecca , sasa saudi ameona hii ni zaidi ya dharau, lakini saudi anajua hawezi enda kichwa kichwa maana wahuthi ni proxy ya iran na labda pia ina fadhaliwa na syndicate ya muslim brotherhood.
Kwa hio anataka acheze kwa tactics dhidi ya wahuthi, ndio maana amewaangukia...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz:
Ali Taher Ridge ni sehemu ya mstari wa njano na eneo la usalama la Israeli nchini Lebanon - IDF inajiandaa kivitendo kudhibiti ukingo na kuzuia jaribio lolote la Hezbollah au kipengele kingine chochote kurudi na kuanzisha uwepo hapo. Mtu yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.