kuondoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PAPA LEO XIV KUFANYIWA UPASUAJI KUONDOA UVIMBE KWENYE PAFU.

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV, ametangaza kuwa atafanyiwa upsasuaji ndani ya siku chache zijazo ili kuondoa uvimbe kwenye mojawapo ya mapafu yake.. Papa Leo alitangaza hayo siku ya jumapili ya tarehe 11 Oktoba 2026. Papa Leo alisema kuwa madaktari wamegundua uwepo wa uvimbe...
  2. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania TCRA kuondoa vocha za kukwangua kuanzia Januari 2027.

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza mpango wa kuondoa matumizi ya kadi za kukwangua za muda wa maongezi ili kuongeza matumizi ya njia za kidijitali. TCRA imesema mpango huo utachangia kupunguza uzalishaji, usambazaji na utupaji wa kadi za kukwangua za muda wa maongezi pamoja na...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TRC mliwaza nini kuondoa route ya saa 3 asubuhi ya SGR kutoka Morogoro kwenda Dar ? Mjibuni Afande Sele!

    .
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuna tiba ya kuondoa jasho lililopita kiasi mwilini?

    Habari zenu wadau wa jf. Leo nimeona ni address tatizo langu humu nikiamini kwamba kuna wasomi wa hali ya juu humu na watundu wa kudadisi mambo Mimi nina changamoto ya kutoka jasho kupita kiasi hasa maeneo ya shingoni, kichwani na mgongoni. Nikilala kitandani yaani godoro linalowa jasho...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa ruti ya Elfu 13, 500 Asubui Morogoro-Dar na kuweka ya 50,000 ambayo wananchi wengi hawaimudu?

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Msanii Afande Sele, amechapisha: "Kwa uongozi wa shirika letu la Reli,/TRC..😎 Mjumbe hauwawi na huu ndio ujumbe wenu kutoka kwa wananchi ambao ndio wamiliki halali wa shirika na nyinyi ni watumishi wao tu..🤔 Wananchi au mabosi zenu wanauliza tena...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuondoa machinga ni maeneo yote Dar ES laam yote kasoro Mbezi Mwisho(Luis)?.

    Ningependa kupata ufafanuzi juu ya kichwa cha habari cha mada tajwa. Maana niliona tangazo kua machinga kukaa barabarani Wilaya ya Ubungo mwisho ni tar 29 mwezi wa tisa, lakini mpaka sasa machinga wamejaa maeneo ya Mbezi Luis, na wengine wanaboresha mabanda yao na mengine yapo juu ya mitaro, na...
  7. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa Bajaji barabara Kuu, Wakati wa Kuziondoa ni sasa! Anza na Dodoma.

    Ikiwa vituo holela vya mabasi vinachafua jiji, basi bajaji zinazosimama kila kona ya barabara kuu zinalichafua zaidi, na kuhatarisha maisha. Barabara kuu inapaswa kuwa na mtiririko unaotabirika. Ikiwa kila baada ya umbali mfupi kuna chombo kinachosimama ghafla kumchukua au kumshusha abiria...
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuoga kwa kutumia mzizima na chumvi ya mawe kujitakasa, kuondoa uchawi mwilini na husuda.

    Chumvi ya mawe kwa urahisi kabisa inapatikana kwenye maduka ya dawa za asili . Miongoni mwa faida kuu ya chumvi ya mawe ni kukuondolea uchawi uliopo mwilini mwako, husuda na kama kuna milango ya ridhiki ilifungwa basi ukitumia chumvi ya mawe itakusaidia sana kufungua kifungo. Cha kufanya...
  9. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Tanzania kujifunza Qatar kuondoa msongamano wa magari

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameipongeza Serikali ya Qatar kwa mafanikio makubwa ya matumizi ya teknolojia ya kisasa na nishati safi katika mifumo ya usafiri wa umma. Dkt. Nchemba ametoa pongezi hizo leo, Jumamosi, Septemba 26, 2026, jijini Doha, Qatar...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondoa kitambi bila kukonda?

    Habari wanajf Naombeni mwenye uzoefu na masuala ya vitambi anisaidie uzoefu kwenye hili. Inafika muda naona kama kunenepa ni kosa kwasababu mwili unakuja na kitambi, Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano, Nimekosa machaguo kabisa, 1.Kuhusu diet inahitaji...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makatibu Wakuu EAC Wakubaliana Kuongeza Kasi ya Kuondoa Vikwazo vya Biashara

    Makatibu Wakuu wanaosimamia masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), na sekta ya biashara kutoka Nchi Wanachama wamekubaliana kuongeza kasi ya utekelezaji wa hatua za kuondoa vikwazo vinavyokwamisha biashara ndani ya Jumuiya. Makubaliano hayo yamefikiwa leo, Septemba 24, 2026, katika...
  12. insane

    JamiiForums Tanzania Kuondoa serikali iliyopo madarakani ni ngumu

    Msingi mkubwa wa serikali upo kwenye jeshi. Kule jeshini kiongozi anakuwa ameweka viongozi ambao amekubaliana nao au hata ndugu zake kabisa. Sasa imagine jeshi litatetea wananchi eti kisa kauli mbiu 'jeshi la wananchi JWTZ' mbele ya dada yake au mjomba yake. Hii ingewezekana kwa watu wengine...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kuondoa vikosi vyake huko iraq

    Marekani imeanza kuondoa vikosi vyake vilivyobaki na mifumo ya kijeshi kutoka Mkoa wa Kurdistan wa Iraq, na kuiweka Washington katika mstari wa kukomesha misheni ya kijeshi ya muungano unaoongozwa na Marekani nchini Iraq ifikapo Septemba 30, 2026. Mamia ya wanajeshi wa Marekani waliobaki...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Wagombea walikuwa wengi kwa sababu walitengenezwa kuondoa ushindani

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amebainisha kuwa mchakato wa uchaguzi na mfumo wa kisiasa umekuwa ukivurugwa mara kwa mara tangu mwaka 2019 hadi kufikia mwaka 2025. Akizungumza leo Septemba 15, 2026 katika mjadala kuhsu Demokrasia na Katiba Mpya...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Kuondoa Wahamiaji Haramu kama Wenzetu?

    Afrika kusini wamekimbiza wahamiaji haramu, waliopitiliza vibali, waii, majambazi na wadaa poa , wanao jiuza kama ajira. Uganda wakafuata kufukuza wageni wa namna hiyo na sasa Kenya kuaznia leo wanafukuza , warundi wamejaa ubalozi kuomba passport na residency permitt. Je, Tanzania nasi tuanzie...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru UoN kumlipa Mhitimu Shilingi milioni 3 baada ya kuondoa jina lake siku ya Mahafali

    Mahakama Kuu imeiamuru Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) kumlipa Marceline Murono fidia ya shilingi milioni 3 baada ya kubaini kuwa chuo hicho kilikiuka haki zake za kikatiba kwa kuondoa jina lake kwenye orodha ya wahitimu siku ya mahafali mwaka 2023. Katika uamuzi wake, Jaji Lawrence Mugambi...
  17. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Watu Wazima, Mnaowalaumu Vijana Kwa (UTOTO)

    Kwenu watu Wazima, Mnaowalaumu vijana Kwa Utoto Kuna (baadhi) ya watu wazima wale ambao umri umeenda, wamekuwa na tabia ya kuzodoa vijana wadogo au watu ambao bado hawajafikia umri wao Utasikia:👇 Yaani huyu utoto unamsumbua Huyu ana utoto mwingi Hajitambui Na maneno mengine mengi sana Lakini...
  18. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Njia ntakazotumia kuondoa squatter zilizotapakaa nchi nzima

    Wote ni mashahidi miji ya Tanzania ina sifa moja mingi ina squatter zifuatazo ni njia ambazo ntazitumia kuondoa hizi squatter zilizopo kama sehemu ya kuifanya nchi kuwa nzuri kama nchi zilizoendelea
  19. Doto12

    JamiiForums Tanzania Msaada kuondoa ujumbe huu kwenye mtandao nikiingia kwa kompyuta yangu

    Jamani Nikiingia aidha kwenye mtandao hasa email, app, system yoyote inahitaji password yangu napata ujumbe huu Your token has expired Awali nilifanya yafuatayo kuondoa 1. Nikiingia kwenye dot tatu kulia mwa address ya web nikaenda setting ku delete catches, cookies nk 2. Nili reflesh site...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nini kinazuia CHADEMA na CCM wasikae mezani kuondoa huu mzozo?

    Assalam alaykum Kila mtu anafahamu kuwa nchi inapita kwenye mapito magumu mno kutokana na mzozo wa vyama hivi na kutunishiana misuli CCM wanatumia dola huku CHADEMA wakiwekeza katika harakati na madola makubwa ya dunia Hali hii inatuvuruga sana kiuchumi na kisiasa na kimahusiano ya dunia...
Back
Top Bottom