Makampuni hayatoi mikataba siku hizi,mtu unafanya kazi kama kibarua yaani unalipwa kwa siku.
Hakuna benefits zozote kama bima ya afya wala mifuko ya hifadhi.
Kwa makampuni yanayotoa mikataba ni kwamba wanatafuta kampuni nyingine ndio inakua kama imekuajiri.
Yaani unafanya kazi kampuni A...
Wamesahau kuwa waafrika wengine ndio waliowaunga mkono katika mapambano yao dhidi ya ubaguzi wa rangi! Leo waafrika toka nchi zingine ndio wanaowindwa na kufurumishwa bila heshima yoyote!
Kwa maneno wanadai wanapinga wagamiaji haramu, kakini kwa vitendo wanavamia waafrika wowote na kuwatimua...
Salama.
Wawekezaji wengi hasa kutoka bala la Asia hawa wachina ,wakorea ,Mahindi ni watu ambao wanawanyanyasa sana wazawa kwenye maeneo waliyowaajili.
Hawa watu ni hawazingatii kabisa sheria za kazi na wanakuaga na kauli Tata za matusi ,malipo kidogo ,hawana huruma wala utu kwao wanaamini...
Katika kikao cha Bunge kilichofanyika leo Mei 22, 2026, Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa mchango wake kwenye Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 akiibua kilio cha wafanyabiashara wazawa wa soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam...
My Take
Pamoja na uamzi huu mzuri wa kuwapatia fursa Vijana wa zawa Vitalu vya Madini lakini Machadema yataanza kutukana hovyo badala ya kupongeza kama Afrika nzima inavyompongeza Rais Samia Kwa uamzi wa kishujaa na kizalendo.
https://www.instagram.com/p/DXMc7YtDEjQ/?igsh=YTFkODFzZnhsbGF4
Unakumbuka ule msemo wa “Wageni wakija nyumbani, watoto mkae kwa kunyamaza na utulivu”? Na ukipewa soda au nyama na mgeni fanya kila unachoweza kusema kuwa umeshiba ili tu usipate kuonekana umekula soda au chakula cha mgeni.
Hivi ndivyo inavyoonekana kwenye video moja huko mjini TikTok na...
Waziri wa michezo bwana Paul Makonda amesema kuwa kuanzia mwakani ataanzisha ligi ya wachezaji wa ndani tu kama ilivyokuwa michuano ya Afrika (CHAN) iliyohusisha wachezaji wanaocheza ndani ya Afrika tu. Kwa kuwa michuano hii ya Afrika imefutwa rasmi na CAF, sasa ni wakati muafaka kuifufua kwa...
Ninaomba mamlaka husika ziangalie kero za Wafanyakazi kwenye baadhi ya kampuni za ujenzi wa barabara nchini. Mimi ni mmoja wa wafanyakazi kwenye kampuni ya ujenzi wa barabara na tunakutana na changamoto zifuatazo:
1. Kufanyishwa kazi nje ya muda uliopangwa kisheria bila kulipwa malipo ya muda...
Anonymous (c9be)
Thread
hatua
kampuni
katika
kuchukua
kuchukua hatua
n.k
serikali
wazawa
Wakuu, Amani iwe NANYI.
Nimetafakari kwa kina, Sijapata majibu.
Kwa nini hawa viongozi wanao semwa sio wazawa hivyo wapishe nafasi zao, Utendaji kazi wao ulionekana hauna mawaa, Hawana skendo za ufisadi, Matumizi mabaya ya madaraka nk.
Ni viongozi ambao wamekua wakikubakika katika jamii hata...
By Jacob Maganga
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe kwa wachimbaji wazawa katika Mradi wa mchuchuma baina ya Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) pamoja na Makampuni Matano ya wazawa yaliyoshinda...
Tanzania imepiga marufuku raia wa kigeni kumiliki na kuendesha biashara ndogondogo, hatua iliyozua wasiwasi na upinzani kutoka nchi jirani ya Kenya.
Agizo hilo jipya linakataza wageni kushiriki katika sekta 15 zikiwemo uhamishaji wa pesa kwa njia ya simu, uongozi wa watalii, uchimbaji mdogo wa...
Nilifika dubai kuingia super market kuna friji zimepangana za vinywaji baridi yani kukuta mpaka coca cola inayofanana na maji ya kunywa hipo.
Sasa hawa wa kwetu nikafikiria yani friji zilizopangana kama behewa na kila aina ya kampuni wanaweza kupeleka bidhaa zao kushindana ukiachana na mazao.
Usafirishaji: Wazawa chini ya Rais Samia waula
Mwaka 2020 jumla ya miradi ya wazawa katika Sekta ya usafirishaji mizigo iliyosajiliwa katika kituo cha uwekezaji ilikua ni 6 huku idadi ya miradi ya wageni ikiwa ni 5, katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia miradi ya wazawa kwenye sekta ya...
Nikiwa Rais makampuni ya wahandisi wazawa watawezeshwa, na
kutatengwa fedha kwa ajili ya kuwawezesha wahandishi wazawa waweze
Kununua vifaa sababu wengi vifaa ni changamoto
Wapewe training ya kujenga miradi mikubwa kama treni za umeme, interchange, n.k
Watafundishwa wawe na malengo wakubwa...
Ukichunguza kwa makini mwenendo wa uwekezaji wa Watanzania wazawa (weusi), kuna swali la msingi ambalo tunapaswa sisi kama wazawa wa nchi hii kujiulizwa kwa ujasiri na kutafuta majibu yenye mantiki ya kijamii, kiuchumi na kihistoria. Swali hili la muhimu linatokana na ukweli kwamba wanaoshikilia...
Wakuu!
Katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka huu, viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Usafirishaji na Huduma za Bandari Tanzania (DOWUTA), kupitia tawi lake la TEAGTL, walijitokeza kwa nguvu kupaza sauti kuhusu mustakabali wa wafanyakazi wazawa...
Bungeni Dodoma 📍
May 2, 2025.
Katika kuchangia bajeti ya wizara ya madini Mbunge wa lupa Mh Masache Kasaka ameomba serikali kupitia wizara hiyo kuweka utaratibu mzuri wa wataalam wa kigeni kutokuingilia shughuli za wazawa katika maeneo ya uchimbaji na badala yake kufanya yale yaliyowaleta...
USHAURI KWA SERIKALI
TYSISIKILIZE HIZI KELELE ZA WAFANYABIASHARA WA KRKOO
KAMA WANALIPA KODI ILEILE ILE MNAYOHIITAJI
TUNAOMBA HAWA WATU WASISUMBULIWE WAHESHIMIKR KAMA WENGINE
HATUWEZI KUNUNUA MALI ZA 8000 LWA 60000. KISA TU KUBADILI MTAA HII N LAANA
TUNAOMBAA WATANXANIA WOTEE TUPINGR...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.