kiafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mdada unaolewa huwezi kupika wala kufua kiafrika, hii imekaaje?

    Mgonile wadau, Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watawala wa kiafrika noma sana. Yaani hata kama haukubaliki unalazimisha kwa kuteka

    There is no good politics in Africa👇
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mory Kanté na 'Yé Ké Yé Ké': Wimbo wa kwanza wa Kiafrika kuuza nakala milioni 1 duniani (Uchambuzi wa kiweledi)

    Habari za wakati huu wana-JamiiForums (JF Entertainment Forums), Leo naomba tuangazie kidogo historia ya muziki wa Afrika kupitia maisha ya gwiji mmoja na wimbo ulioweka alama isiyofutika duniani kote. Huu ni wimbo wa "Yé Ké Yé Ké" wa mwanamuziki mashuhuri kutoka Guinea, Mory Kanté, uliotolewa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Jinsi Profesa Gus John na Tambiko la Kiafrika kule London vilivyofungua Kifungo changu cha Akili

    ONYO KWA WAFIA DINI ZA MELI: Andiko hili halitawapendeza hata kidogo na linaweza kuwakwaza sana. Kama huna uvumilivu wa kutosha kusikia ukweli unaochungu kuhusu imani mlizozikumbatia kwa upofu, na kama akili yako haiko tayari kuchambua mambo kwa kina, nakushauri upite mbali na uzi huu. Hapa...
  5. venchwa

    JamiiForums Tanzania Ya leo kali Mtoto BBL kanitembelea kaniacha na uchovu balaa, nilimiss sana za Kiafrika Jotroo

    Hatari sana leo Nimetembelewa na mtoto heavy ndo mambo yangu Lakin tunamalizia niende viwanja Kwanza tuka swim , tukapunga upepo kwa pool , sasa hivi nimpeleke maeneo, Maana ni mgeni, nauli nimempa mimi kutoka Dubai hadi hapa maana anaishi Dubai Mimi Raha hizi Jamani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Top 20 ya muda wote ya nyimbo kali za kiafrika hii hapa.

    Hizi ni nyimbo kali 20 za kiafrika za muda wote. Haihitaji ubishi. 1. Rangi ya chungwa - Tabora Jazz https://youtu.be/5zkWzZB8EYM?si=GVY_U-bk0DPEpAyj 2. Mario - Franco Luambo × TP OK jazz https://youtu.be/7zZyGkGN7Sw?si=8VWknq5qmu21oswg 3. Umqombothi - Yvone Chakachaka...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je Haaland ni Albino? Mdau atoa sababu ya kitaalamu kwanini watu wengi wanadhani Haaland ana features za kiafrika ndani ya ngozi ya mzungu.

    Watu wengi wamekuwa na maoni kwamba Erling Haaland ana muonekano kama wa mwafrika. Sura ya Haaland ni features za kiafrika isipokuwa ngozi na nywele ndio vya mzungu. Wengi wanamfananisha na wa Afrika kutoka West Africa.. ( Rapper Fat Joe ni moja Kati ya watu ambao sio wa Afrika lakini wana...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wazungu wanavyotumia sinema zao kuichafua dini ya Kiafrika ya Voodoo

    Voodoo (pia huandikwa Vodou, Vodun au Vodun) ni dini na mfumo wa imani ulioanzia Afrika Magharibi, hasa katika maeneo ya Benin na Togo. Baadaye uliendelea na kuenea katika maeneo ya Karibiani, hasa Haiti, kupitia biashara ya utumwa. Baadhi ya vipengele vya Vodou ni: Imani katika Mungu mkuu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kila sehemu kuna unyanyasaji lakini ni kwanini tumezoea kusikia wafanyakazi wa kiafrika wakinyanyaswa zaidi kwa waarabu kuzidi kwa wazungu ?

    Tatizo huwa ni lipi licha ya baadhi ya waarabu kuwa na mioyo safi ila imekuwa kawaida sana kupata malalamiko ya wafanyakazi wengi wakinyanyaswa nchi za waaabu ?
  11. O Diafro

    JamiiForums Tanzania Binti wa kiafrika alivyomteka Bob Marley kimapenzi

    Waliosema ukiachana na pesa, kitu kingine 'kinacho-run Dunia' ni mapenzi, wanathibitisha hili katika kisa hiki kifupi cha mapenzi. Pichani, anaonekana msichana mdogo akiwa ameketi chini na wazazi wake waliosimama. Picha hii ilipigwa mwishoni mwa miaka ya 1950 nchini Gabon. Msichana huyu akiwa...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Level ya awareness ambayo inaendelelea kuwa katika jamii ya vijana wa kiafrika inatia moyo sana, it will take time although

    Kuna wakati watu weusi walijua sababu za tabu zao ni kwa maana wao ni kizazi cha laana na unyonyaji wa wazungu. Bado sehemu kubwa ya jamii ya kiafrika inajua dini ndio mkombozi wa uduni wao. Leo ndio vijana wanakuja kuelewa kuwa mzungu aliwatawala sio kwa sababu ya unyonge wao bali utengano na...
  13. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Multiparty democracy ni sumu kwa mataifa masikini hasa ya Kiafrika

    Yes habari za masiku ndugu zangu na poleni nyote Kwa kadhia tuliyoipata kwa kusimamishwa Kwa muda Kwa platform yetu pendwa ila hope now tupo sawa. Happy new year pia nawatakiwa kila lakheri katika huu mwaka mpya wa 2026. Binafsi nimekaa nikafanya utafiti wa historia mbali mbali na kutafakari...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania viongozi wa kiafrika tunapaswa kuiga nchi zilizo endelea tuache ujinga na upumbavu

    viongozi wa kiafrika tunapaswa kuiga nchi zilizo endelea tuache ujinga na upumbavu
  15. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Nichagulieni jina la kiafrika la kitanzania la kitamaduni lililokaa kipesa pesa kitajiri tajiri

    Kuna thread flan nmeisoma hapa kuhusu matajiri haswa Kanda ya ziwa huko, majina yao ni ya kitamaduni tamaduni flani na ya kiafrika sio Wala ya kizungu Embu nichagulieni Moja na Mimi,.. Embu ona majina yao, OTAWA, SAULI, LUGUMI, Kuna yule mwamba wa mwanza bilionea yule..nimemsahau jina ., mzee...
  16. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya CCM ya Uhuru na kujitegemea ndiyo inayolifaa bara la Africa katika Karne hii ya sasa.

    Licha ya heshima kubwa waliojijengea wafuasi na wanachama wa CCM nchini na Duniani kwa kudumisha uzalendo na kuheshimu utu wa watu, CCM ni chama cha kizalendo kwelikweli kwani Bado kinaamini kwenye falsafa ya uhuru na kujitegemea, hakimsujudu beberu yoyote kinajiamini kwenye utendaji kazi wake...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Sikiliza lugha ya madikiteita wa kiafrika, lugha yao ni moja!

    Sikiliza clip hii. Majitu haya yanasahau yanayowafanyia wapinzani wao wa kisiasa!
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Ndoa za Kiafrika!

    Siku ya kwanza, Mwanaume anasikiliza na Mwanamke anasikiliza, Padre ndio anaongea. Mwaka wa kwanza wa ndoa, Mwanaume anaongea Mwanamke anasikiliza. Mwaka wa pili, Mwanamke ndio anaongea. Mwanaume unasililiza. Mwaka wa tatu, Mwanaume unaongea na Mwanamke anaongea, Majirani wanasikiliza...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Nchi tano za Kiafrika zimenyimwa kuingia UAE

    UAE imeweka masharti magumu kwa nchi za kiafrika https://m.youtube.com/watch?v=jFr3iC4irFw UAE na Abu Dhabi kuanzia January 2026 zuio hilo litaanza kutumika biashara, matembezi, kazi . Raia wa kigeni kutoka nchi zilizoorodheshwa ambao tayari wanaishi kihalali katika UAE wakiwa na viza halali...
  20. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Jamii za kiafrika unavyoathiri uongozi wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu

    Tanzania imeweka historia kwa kuwa na Rais wa kwanza mwanamke, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Lakini pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata katika kipindi kifupi cha uongozi wake, bado anakabiliana na changamoto kubwa moja: mtazamo wa kijamii wa Kiafrika kuhusu nafasi ya mwanamke katika...
Back
Top Bottom