kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume

    Natafuta rafiki wa kiume mwenye heshima, maelewano na nia nzuri. Nipo Morogoro, karibu tujuane na tujenge urafiki mzuri. 😊
  2. iron finger

    JamiiForums Tanzania Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

    Wakuu, inakuwaje!Kuna swali moja la kijamii linalonikosesha amani sana mtaani kwa sasa na nimeona tulilete hapa jukwaani tulichambue kiume: Kwanini nguvu zote, kampeni, na kelele za "linda mgongo wako" zimehamia kwa watoto wa kiume tu? Kwani mgongo wa mtoto wa kike haupigiwi kelele ulindwe...
  3. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume unayetegemea kuingia ndoani.

    Na mambo machache ya kumshauri kijana wa kiume ambaye anategemea kuanza kuishi maisha ya ndoa. Kwanza ntaanza kisaikolojia lazima kama kijana uwe umejiandaa kwa haya machache. Kubali kwamba ndoa si raha kila siku. Kutakuwa na tofauti za mawazo, hasira, uchovu na vipindi vigumu. Usitarajie...
  4. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania USHAURI KWA DUDUBAYA: Anzisha Taasisi ya Malezi ya vijana wa Kiume.

    Habari wakuu? Kwa sasa Dudubaya amekuwa maarufu sana mitandaoni, pamoja na controversies zake, kimsingi ni mtu anayekemea tabia za kishoga kwa watoto wa kiume. #Yu bet wochi yua bak. Kwa kweli kwa sasa hili limekuwa janga kubwa sana. Tabia za kishoga zimeshamiri sana. Na bahati mbaya sana...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume mnaochagua pesa kuliko uanaume?

    Kijana wa kiume unaamua kuuzika uanaume wako na kugeuzwa na mwanaume mwingine kisa pesa? Dah! Nawaza namna mtoto wa kike huwa anaulilia na wewe vivyo hivyo? Kisa pesa? Kuna haja ya serikali kuja na mkakati maalumu ya kudili na hawa watu, mtu akigundulika ni shoga tia sindano kimya kimya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume anakojoa damu umri maiaka10

    Habar wakuu nakijana wangu umri miaka 10, Leo jioni alivotoka shule kanipa taarifa akiwa shule alienda kukojoa zikawa zinatoka damu akawa kajifunga kitambaa kwa muda wote akiwa shule leo,bahat mbaya hakumwambia hata mwalimu wake wa darasa,karudi nyumbani jioni akanambia hali aliokua nayo Bas...
  7. Heci

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji anayefichwa anayetaka kuinunua Sinza yote, ni mama mmoja wa Kizanzibari na kijana wake wa kiume, Master mind wa ufisadi wote.

    Mgogoro kati ya wamiliki wa nyumba Sinza dhidi ya wizara ya ardhi, nyumba na makazi unazidi kutanuka kila uchao, huku wizara na madalali wake wakikataa kabisa kumtaja huyo anayetambuloshwa kwa jina la Muwekezaji. Taarifa tulizovujishiwa sisi wamiliki wa hizi nyumba, ni kwamba anayetaka kutwaa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Utafiti jijini Mwanza umebaini dawa za Asili za Nguvu za kiume uchanganywa na Viagra dawa za hospitalini

    Katika utafiti uliofanyika ndani ya viunga vya Mwanza ambao ulihusisha kuzifanyia uchunguzi dawa za asili za Nguvu za kiume zinazouzwa na watu binafsi, makampuni au watu wa mitishamba na jadi. Dawa hizi za asili zilikutwa na mchanganyiko wa Sildenafil na Tadalafil, Dawa ambazo ni za hospitalini...
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kiume, Njoo Tuzungumze Kiume

    Kuna kosa ambalo vijana wengi huwa tunalifanya tunapoanza mahusiano. Tunakutana na msichana leo, kesho tayari tunaanza kuishi kama mume na mke kiakili. Kila muda ni simu hasa nyakati za usiku,video calls, passwords za mitandao ya kijamii tunabadilishana,tunaanza na mipango ya majina ya watoto...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo kwa Jinsia ni Mwanamke, Lakini kwa Mawazo, Maneno na Matendo, ni Mwanamume! Uamuzi Huu ni wa Kiume! Big Up Sana kwa Uamuzi Huu wa Kiume

    Wanabodi, Naomba kulianza bandiko hili kwa kutoa elimu kwa umma,kuhusu gender differences betwen ME na KE, sio vile viungo vya uzazi, ni uwezo wa kufikiri, thinking ability, na namna ya kufikia maamuzi, men thinks, women feels!. Kuna wanawake, japo ni wanawake kimaumbile, but they think like...
  12. betting machine

    JamiiForums Tanzania Nahitaji namba ya daktari wa afya ya uzazi kwa wanaume , nasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Nahitaji daktari humu ndani niwasiliane nae naombeni msaada wenu tafadhali
  13. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania KIJANA WA KIUME KUNYENYEKEA AJIRA NI UCHAWA.

    "Kijana wa kiume kulilia ajira, kulia unapofukuzwa kazi, halafu ukajinyenyekeza kuomba kurejeshewa ajira ambayo hujaitengeneza wewe wala baba yako, ni dalili ya utegemezi uliokithiri wenye kuzalisha uchawa. Taifa linahitaji vijana wanaotengeneza ajira, si wanaoziabudu." — Alloyce, P.R.
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

    Jamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa. Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nauza mbegu za kiume narudi Tanzania mwezi august

    Narudi bongo mwezi august natoa HUDUMA ya kuuza mbegu za kiume Kwa wanawake hii nimeikuta USA nakuja nayo Tanzania mloganzila wanapandikiza wanawake mbegu kama sikosei. Ila kutokana na mazingira ya Tanzania kutokuwa salama kiutekaji hii inakuwa changamoto.
  16. betting machine

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
  17. Agent Smith

    JamiiForums Tanzania Sendozi za mtumba za kiume nzuri na imara

    Karibu kwa mahitaji ya sendozi za mtumba za kiume zenye ubora wa hali ya juu. Duka letu lipo kimara, stop over. Karibu na sheli ya rupeez. Bei ni nafuu. Mawasiliano: whatsapp 0749343929
  18. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

    Leo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu. Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwanamke alinikataa kabisa baada ya Mimi kijitambulisha kwake ni mwalimu

    Nilikuwa nimemwelewa single mother flani yupo tunduma, so mara kazaa nilikuwa napita mtaani kwake karibu na ofisi yake anakojumlisha viazi . Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri niliopanga kuoa ,nilitokea kuvutiwa na yule Binti ambaye age yake 25, basi nikaomba mahusiano ...
  20. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Video: Wakaka wa jf kutuma na yakutolea mmeshindwa mnajifanya wanaume haya hii challenge ya kiume mnaiweza

    Wanaume wa jf mmejaa majigambo tele haya mnameza kumjibu huyu mwenzenu kwa challenge hii: (kwa mtazamo wangu huyu ndio mwanaume huyu hashindwi kunibeba) https://vt.tiktok.com/ZSXrCKy7k/
Back
Top Bottom