wapalestina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania BILL CLINTON Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi lakini hawakutaka kuwa na nchi yao bali kuua Wayahudi!

    RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON ADAI KUWA Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi wa mto Jordani (West Bank) lakini kiuhalisia Wapalestina hawakutaka kabisa kuwa na nchi yao wenyewe bali walichokitaka ni kuendelea kuua wayahudi
  2. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Jamaa aliewadanganya wapalestina waendelee kupambania nchi hewa huku yeye akijikusanyia mabilioni. Mtoto wake yupo france na ndio mrithi wa mabilioni

    Jenzii wengi hawawezi kumuelewa huyu tapeli
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel inawapenda sana wapalestina Tatizo dini yao inawapotosha sana!!!!

    Mwimbaji wa Israeli Idan Raichel alishiriki katika mahojiano jinsi alivyopokea picha yake hivi karibuni kutoka Gaza. Askari wa Israeli alimtumia picha ya zamani ya Idan akiwa na baba kutoka Gaza na mtoto mchanga kwenye kitanda cha mtoto. Raichel alielezea kwamba hii ilipigwa wakati wa kazi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi Misri ilivyojenga ukuta wa tabaka saba kuwazuia Wapalestina kuvuka, Walinzi wamewekwa kumpiga risasi yeyote ataevuka.

    Tazama jinsi Misri walivyojenga kuta zenye matabaka saba na kuweka walinzi wenye bunduki ili kuwazuia wasiiingie
  5. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Nilikua sijui kuwa kuna wapalestina ni wakristo

    Baada ya juzi kupitia mtandaoni, nikaona WAPALESTINA wakristo wakijiandaa na sherehe za xmass nika shangaa hii kumbe Kuna WAPALESTINA wakristo, swali wanaishije na waislamu au wanaishi Israel?
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni jambo jema Afrika Kusini kuwapokea wapalestina ila kuna siku mtajuta

    Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao. Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa. Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hamas Yaua Wapalestina Zaidi ya 50 Walioonekana Kuhoji Sababu ya Shambulio la Hamas Dhidi ya Israel

    Wananchi wa Palestina, unaweza kusema, ni watu wenye bahati mbaya sana, na kwamba kwao kitu amani, ni jambo litaendelea kuwa gumu kwao. Wapalestina maelfu wasiokuwa na hatia wameuawa, kutiwa ulemavu, na kupitia mateso mbalimbali kutokana na operation za kijeshi za Israel zilizosababishwa na...
  8. hamis77

    JamiiForums Tanzania Wayahudi kudhibiti eneo kubwa la Gaza huku Wapalestina wakibakia na kipande kidogo

    Angalia ramani Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza makubaliano ya awamu ya kwanza ya kusitisha mapigano kati ya Israeli na Hamas, yanayojumuisha kubadilishana mateka na Israeli kurudisha majeshi yake nyuma hadi kwenye eneo linaloitwa “mstari wa manjano”. Katika awamu hii, Hamas itawaachia...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Haki nchini kuelekea uchaguzi mkuu, haki za wapalestina Gaza: Kanisa katoliki ni la kupigiwa mfano dhidi ya madhehebu za kilokole, waisilamu nk!

    Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi: Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana: Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani Tofauti ya wazi kabisa baina yao...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wapalestina sio watu wakuwapa msaada makazi ndio maana waarabu wenzao waligoma

    Wenye imani na kuwaonea uchungu wapalestina nendeni mkawachukue ila siku mtajikuta nyie ndio mkipigwa viboko. Hawa watu bora tu mataifa yawatambue waachiwe taifa lao ila sio kwenda kwenye mataifa mengine.
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tucheke kidogo, mbona wapalestina wa Tanzania hawawasaidii wenzao wa Gaza?

    Japo ni utani, bado nashangaa kwanini wapalestiina wa Tanzania aka wamachame hawawasaidii wenzao wa Gaza?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wakati UNSC, yajiandaa Sept. 22 kupiga kura Kutambua Umiliki wa Wapalestina wa Judea & Samaria, Historia imethibitisha Wayahudi ndiyo wenye nchi

    Kabla ya yote nakushauri weka bundle la kukutosha muda wa dakika 20 ili ufuatilie matokeo haya ya uvumbuzi wa kihistoria wa " the pilgrimage road from the city of David to the Temple Mount". Njia hii ya ndani ya hand akina (tunnel) iligunduliwa kwa bahati tu mwaka 2004 kufuatia udadisi...
  13. hamis77

    JamiiForums Tanzania QURAN: Wapalestina ni wavamizi

    WAPALESTINA NI WAVAMIZI KWA MUJIBU WA QURAN Qur’an inataja wazi kuwa ardhi takatifu (Ardhi ya Kanaani) ilipewa kwa Waisraeli (wana wa Israel). Kuna aya kadhaa zinazolitaja hilo Qur’an 5:20–21 Na Musa akawaambia watu wake “Enyi watu wangu! Kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu juu yenu...
  14. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Wachagga wamachame wakemea kufananishwa na wapalestina

    Wachagga wa asili ya machame wameamua kupanda madhabauni kumlilia mungu wao na kukemea wale wote wanaowafananisha na wapalestina. https://youtu.be/5IeJt2A6-Gc?si=xfpvD_Hp2To-DNDg
  15. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu?

    Wakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kama wapalestina wenyewe wanasema hivi wewe Mwarabu-koko unapata wapi ujasiri wa kutetea Magaidi wauaji?

    Mpwa wa gaidi wa Kipalestina azungumza na kumaliza mabishano ya Wapalestina.
  17. U

    JamiiForums Tanzania Majadiliano: Wapalestina kupelekwa Sudan Kusini

    Ikiwa ni kweli; Je, viongozi wa Sudan Kusini watajifunza kutokana na historia au watatanguliza njaa zao? Kipindi kile Janjaweed wanawaua Wasudan weusi, wanahistoria wakasema kuwa, Wasudan weusi ndiyo walikuwa wenyeji wa Sudan na ndiyo waliwakaribisha Waarabu lakini mwisho wa siku Waarabu wakawa...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Je, Wafilisti ndiyo Wapalestina?

    Kuna uwongo ambao hautakufa. Pengine umesikia, kwenye habari, katika madrasa, misikitini kutoka kwa waandamanaji wakipunga ishara ambazo hawawezi kueleza. Inasema hivi: "Wapalestina ni wazao wa Wafilisti. Walikuwepo kwanza. Wayahudi ndio wakoloni." Inaonekana wajanja, sawa? Mbaya sana ni...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marwan Barghouti anayetumikia kifungo kwa Ugaidi anatarajiwa kuwa kiongozi wa Wapalestina baada Magaidi wa Hamas kufurushwa Gaza

    Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben Gvir ametembelea gereza la mfungwa mashuhuri wa ugaidi wa Kipalestina Marwan Barghouti na kutoa tishio, picha zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, na kuibua hasira kutoka kwa Mamlaka ya Palestina. Barghouti, 66, ambaye amekuwa jela tangu 2004 baada...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu na gulf mnashindwa kweli kuwasaidia wapalestina wanakufa kwa starvation dunia tunaangalia

    Tutajuta viumbe wote wa huu ulimwengu kwa kukaa kwetu kimya hata kama hamas walifanya ugaidi kwa majirani zao Israel ila sio kwa malipo haya ya hawa watoto wa Gaza nimetazama video Instagram za ma photographer waliopo ukanda huo ambapo kwa sasa NI kama nusu jehanamu Hali inatisha Sana watu...
Back
Top Bottom