mei mosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yadhamini Mei Mosi 2026, yashiriki kikamilifu

    Na Mwandishi Wetu Njombe. CRDB Bank Plc imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuunga mkono wafanyakazi na maendeleo ya taifa kwa kudhamini na kushiriki kikamilifu maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2026 yaliyofanyika kitaifa mkoani Njombe. Maadhimisho hayo yameongozwa na Rais...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kuondoa kabisa mijadala ya Haki za wafanyakazi. MEI MOSI CCM wakaamua tu kuja na Lissu Mahakamani

    CCM inauwezo sana wa kufanya propaganda. Baada ya kumsimika Mbowe CHADEMA sasa wametuletea Heche. Kwa kuongea tu ni kama helo. Kwa kipindi ambacho CHADEMA ilikuwa na nafasi ya kuunganisha wafanyakazi wa sekta ya umma na bimafsi kutetea maslahi na kuunganisha wafanyakazi. Ccm wakampeleka Lissu...
  3. Troll JF

    JamiiForums Tanzania LIVE: Mei Mosi Samia anaunguruma mda huu

    https://www.youtube.com/live/UIdXliSzNj8?si=xM0pp-AtpkBwqzhm Video: Courtesy State House
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Mei Mosi umekwisha?

    Ni kama hizi sherehe kwa sasa zimepoteza hamasa yake na umuhimu wake kwa watanzania. Zamani siku kama ya Leo shamrashamra zake zingekuwa kubwa sana. CCM wameshusha hadhi ya mbio za mwenge, Sasa wameharibu kabisa sherehe adhimu za wafanyakazi.
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kesho Mei Mosi watanzania wajiandae kifikra

    SAsa kesho ndio tunasikia kupanda kwa nauli za usafirishaji,wenzetu kenya wameshaingia kwenye phase 2 yaani uhaba wa mafuta kutoka phase 1 ya kupanda bei. Kesho Bi mkubwa atakuja na bla bla kibao najua kwa sababu washauri wake hawajui kufanya analysis ya mambo vizuri. Kwa hiyo watanzania...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Njombe Mjini ni mbovu, inawekewa viraka kwa kuwa kuna ugeni wa Mei Mosi

    Kila maeneo ukipita kwenye hiyo Barabara lazima utakuta kuna maeneo ni pabovu au kuna viraka kama vyote. Serikali imekaa kimya, ajabu imeleta Mei Mosi ifanyike Njombe, hata hivi viraka vinazibwa kwa kuwa kuna ongezeko la wageni.
  7. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM yaanza kwa kishindo mashindano ya Mei Mosi

    Timu ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) imeanza kwa mafanikio makubwa ushiriki wake katika mashindano ya michezo ya watumishi wa umma nchini Tanzania (Mei Mosi 2026), kwa kuibuka na ushindi wa kishindo katika mchezo wa kwanza. Katika pambano la mpira wa wavu kwa wanaume lililochezwa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DOWUTA yaitaka Serikali kulinda ajira na Haki za Wafanyakazi Wazawa kwenye uwekezaji wa Bandari na Kampuni ya Adani

    Wakuu! Katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka huu, viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Usafirishaji na Huduma za Bandari Tanzania (DOWUTA), kupitia tawi lake la TEAGTL, walijitokeza kwa nguvu kupaza sauti kuhusu mustakabali wa wafanyakazi wazawa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi ya Singida ilivyodhihirisha uzoba wetu wapiga kura na wasimamia kura

    Ilikuwa vichekesho sana yaaani. Yaani kwanza kwa kuhofia wananzengo kutojaa uwanjani basi ukatumika uwanja mdogo na ukaachwa ule mkubwa. Ili kuhakikisha wananzengo wanatamani kuingia uwanja huo unapambwa vema ile mbaya na viti vizuri vinawekwa. Inasemekana viti hivyo vingine vilitoka Makao Makuu...
  10. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yashiriki maadhimisho ya Mei Mosi, Singida

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya kwa pamoja wakiwa wameshikana mikono wakati...
  11. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa chuo cha umma Tanzania washiriki maadhimisho ya Mei Mosi, Dar

    Watumishi Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC),makao makuu na Kampasi ya Dar es Salaam wameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ‘Mei Mosi’ ambayo kimkoa yamefanyika katika wilaya ya Kinondoni kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam Mgeni Rasmi...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi, Sekta binafsi bado ipo gizani Totoro

    Wakati wenzao wa Sekta ya umma wakifurahi na kurukaruka kwa nyongeza ya mshahara wenzao wa Sekta binafsi hawajui la kufanya. Bidhaa zimepanda kwa watumishi wote na wote wanaishi kwenye mitaa ileile na kukua kwenye maduka yaleyale; wanachekana. Bodi fanyeni hima kunusuru Sekta binafsi ambao ni...
  13. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Angalia Jukwaa la Wageni rasimi mei mosi Kenya Vs Jukwaa la wageni rasim Mei mosi Tanzaniza pale Singida,

    Nilisema jana Taifa linaangamia kwa ujinga. Ni mwendo wa Uchawa, Mbona Jk, Mkapa na Mwinyi huu ujinhahaukuwepo? Au walikuwa washamba sana? Hii ni singida. Hii ni Kenya jikwaa kuu lina rangi za Bendera za nchi na hakuna picha ya William Ruto.
  14. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi kila mwaka Kanisa linaadhimisha Sherehe ya Mtakatifu Yosefu mfanyakazi, baba mlishi (Mlezi) wa Yesu Kristo

    Katika tafakari ya maisha ya kila siku, kazi ni kama jua linaloangaza jasho letu kuwa baraka, na juhudi zetu kuwa ibada takatifu. Tarehe 1 Mei, Kanisa Katoliki la Roma,linatufundisha kuyatazama maisha kwa macho ya Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi , fundi wa mbao (seremala),baba mlishi wa Yesu Kristo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watumishi Wa Umma Wapanga Kufanya Maandamano Makubwa Muda wowote kuanzia Sasa Kumpongeza Rais Samia kwa Kuongeza Misharaha Yenye Minofu Minono

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Kiongozi ambaye Ameletwa na Mungu kuleta Furaha kwa Watanzania,Ni mama mwenye upendo, ni mama mwenye huruma ,ni mama mwenye kuguswa na Maisha ya watu ,ni Mama msikivu ,ni mama mwenye kujali maisha ya watu,ni Mama mwenye dhamira ya dhati ya kuinua...
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh akiomba dua Mei mosi asema 'Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia'

    “Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msaga sumu akitumbuiza Mei mosi asema Tanzania kama ulaya, Rais Samia anaupiga mwingi

    Msanii wa Singeli Msaga Sumu akitoa burudani kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani leo Mei Mosi, 2025 mkoani Singida ambako maadhimisho hayo yanafanyika kitaifa na mgeni rasmi ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  18. Kijukuu cha ngoyayi

    JamiiForums Tanzania Ninaloona kama faida leo kwa watumishi kwenye Mei Mosi 2025

    1. Ni kutoenda kazini na kupata faida ya kupumzika na wenye mishe zao kuzifanya. 2. Kwenda kushuhudia mama akifanya kampeni kmy kmy kwa kisingizio cha mei mosi. 3. Kushuhudia shoo ya wasanii ambao ni machawa na comedy nyingi tu. 4. Kimasirahi kilio ni kile kile na ahadi zisizotekelezeka. 5...
  19. cutelove

    JamiiForums Tanzania Sherehe ni za Mei mosi au kampeni za uchaguzi

    Natamani nijue sherehe za Mei mos katika mataifa mengine nilinganishe na mei mosi ya Tanzania Kila sentensi ni kumsifu na kumuabudu Mama Samia na kauli za Mitano tena Nikafikiri sherehe ni sehemu ya kusifia wafanyakazi wanavyofanya kazi kwa maendeleo ya Taifa na kuzungumzia changamoto za...
  20. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, 2025

Back
Top Bottom