waajiriwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mgeni wa Jiji

    Hivi Mbunge Shabiby alifikiria kuhusu waajiriwa wanaokatwa bima ya afya?

    Wakuu mimi sina mambo mengi sana hapa najaribu kufikiria, hivi Mh. Shabiby aliwaza kweli kuwa kuna watu ambao wao wanakatwa bima moja kwa moja kwenye mishahara yao? Hawa wataondolewaje kwenye huo mfumo aliopendekeza sababu na wao ni wamiliki wa simu watakaokatwa bima mara mbili. Labda...
  2. M

    KERO Mashirika ya kigeni yanayojiita Humanitarian au International NGO's na kasumba za ubaguzi kwa waajiriwa wazawa!

    Habari za Asubui wana JF, Naomba kuleta mada kwenu kuhusu haya mashirika ya kigeni yanayojiita ya kusaidia binadamu (humanitarian) au kujiita mashirika ya kimataifa yasiokuwa ya kiserikali (INGO). kwa mfano; Medecins sans frontieres, Medecins du monde na mengine mengi. Kwanza kabisa mimi ni...
  3. R

    Familia ya Mramba ni waajiriwa wa TANESCO au ni wanahisa?

    Kuna hawa wafu wanaitwa Mramba, kila likitokea tatizo la umeme lazima wajitokeze mbele na stori nyingi zisizobadilika. Ningependa kufahamu hawa ni wamiliki wa TANESCO au wanahisa au wamesomea sana umeme na kwamba bila wao umeme hautakuwepo Tanzania? Kuna siri gani kati ya familia ya Mramba na...
  4. Gorgeousmimi

    Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

    Kheri ya pasaka waungwana! Ningeanza na kusema kwenye kila jambo kuna pande mbili za shillingi. Katika pitapita zangu nyingi nimegundua kuna uzi nyingi katika jukwaa hili la MMU zinazowakandamiza na kuwaponda single mothers! Mnasahau kama hao walowatia mimba single mothers nao ni single...
  5. M

    Mshahara wa Mwezi wa tisa na mwezi wa 10 haujaingia kwa baadhi ya Waajiriwa wapya, huko Karatu-Arusha

    Kwako waziri husika, sanasana hapo Tamisemi. Kwanza nitoe shukrani kwa Rais wa Tanzania, kwa kuweza kutoa ajira, hatimaye nikaitwa kufanya usaili na mwisho wa siku nikapata ajira na kupangwa halmashauri ya karatu. Kwakweli huu mchakato wa kuingia kazini kwa baadhi ya waajiri wapya umekuwa...
  6. T

    DOKEZO Nkasi, Rukwa: Watumishi Ajira Mpya hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Habari wana JF,leo napenda niongelee ubabaishaji wa halmashauri zetu kwenye kuwapa stahiki zao waajiriwa. Tunakumbuka mwezi wa 6 mwaka huu 2023 serikali iliajiri watumishi wapya kada ya afya na elimu na pia ikasisitiza wapewe fedha za kujikimu. Napenda nipongeze kwa halmashauri zote ambazo...
  7. naliwe

    Ushauri kwa waajiriwa wa Serikalini

    Nawashauri wadogo zangu wanaotafuta ajira na waliotayari wameshapata ajira za serikali kua MKOPO NI MMOJA TU kwenye maisha yako ya utumishi na ni ule mkopo wa kwanza kuchukua kwenye taasisi yoteyoe ya fedha. Mikopo mingine utakayokua unachukua ni ile wanaaiita TOP UP ambayo ni kiasi kidogo sana...
  8. T

    Malalamiko kuhusu pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya Halmashauri ya wilaya ileje

    Habari za leo wakuu, Moja kwa moja kwenye mada, pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya zimefika wilayani ileje yapata wiki mbili Sasa, hili lilithibitishwa na katibu ofisini ya DMO kupitia kundi lao la WhatsApp (idara afya). Lakini hadi leo pesa hizo hazijalipwa kwa wahusika na kila wakihoji...
  9. Balqior

    Kwanini waajiriwa wengi wakistaafu lazima wapitie msoto mkali wa kiuchumi?

    Habarini, Mfano, Utakuta mtu amemaliza chuo kapata kazi yenye mshahara mzuri, kila mwaka anapanda vyeo kazini, anakuwa na akiba ya pesa nyingi benki, huku mshahara ukiendelea kuingia, ghafla mkataba wa kazi ukiisha au akistaafu hata kama ana akiba hata kama ni ya tsh millioni 400, na magari ya...
  10. Meneja Wa Makampuni

    Pendekezo la Mitihani ya Usaili kwa Waajiriwa katika Sekta ya Afya

    Napenda kutoa pendekezo muhimu kwa Waziri wa Afya na Waziri wa TAMISEMI kuhusu mchakato wa ajira katika sekta ya afya nchini. Pendekezo langu linahusu kuanzishwa kwa mitihani ya usaili kwa waajiriwa wote wa Ajira za afya kabla ya kuajiriwa. Hatua hii itakuwa na lengo la kuboresha viwango vya...
  11. nipo online

    Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
  12. Amina68

    Tarehe ya kuripoti waajiriwa wapya kada ya Ualimu na afya ni lini?

    Amina anuliza Tarehe ya kureport lini kwa waajiriwa wapya,UALIMU na afya? Pia anaulizia ,Afisa lishe na ustawi wa JAMII wanalipwa tshs ngapi? Je Kuna marupurupu?
  13. Samedi Amba

    Ushauri wa bure kwa waajiriwa wote

    Habari wanaJF! Natumaini Jumapili imeanza vyema. Katika pitapita zangu, nimekutana na mawaidha yafuatayo yanaweza kukusaidia wewe mwajiri kuwa na mwisho mzuri na kufurahia maisha ndani (na baada) ya kazi. 1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini au mjini. Usisubiri kufikia miaka 50. Usizoee nyumba...
  14. chiembe

    Ili kutunza maadili ya waajiriwa wapya, nashauri pia ufanyike usaili wa online content za waomba ajira ili kuona nini wanapost mitandaoni

    Ni vyema wasailiwa pia wachunguzwe kwa kupitia online content zao, Kuna suala la maadili Sasa limekuwa changamoto. Walioomba kazi pia wachunguzwe mambo wanayopost mitandaoni kama yanakidhi kimaadili. Baadhi wanapost mambo ya ngono halafu wanaomba nafasi za ualimu, wakakae na wanafunzi wetu, ni...
  15. B

    Wamiliki huharibiwa biashara zao na wafanyakazi wao

    Mara nyingi wamiliki wa biashara (kampuni) wengi huwaamini wafanyakazi wao kuendesha biashara zao katika idara tofauti za kampuni husika. Wafanyakazi hawa huharibu biashara za mabosi wao either kwa bahati mbaya (makosa ya kibinadamu) au kwa kukusudia. Makosa ya kukusudia huwa wanafanya kwa...
  16. MURUSI

    Waajiriwa ndio wana muda gym na Jogging, Wafanyabiashara hawana huo muda

    Kama ukijaribu kuchunguza wahudhuriaji wengi wa Gym na zile Jogging ni wafanya kazi au waajiriwa hao ndio sana wana Muda, Ila mjasiriamali, mtu anakomaaa na products zake pale Kariakoo hawezi kukuelewa na storoes za Gym au Jogging. Mbaya zaidi sasa hao wafanyakazi ikitokea kapigwa chini kazini...
  17. Hemedy Jr Junior

    Waajiriwa mkishastaafu mnasumbua sana

    Mnakuwa kama baba mwenye nyumba ambaye hana chanzo chochote cha kumuingizia kipato tofauti na nyumba kila muda anafokea wapangaji. 📌 Mnapostaafu mnaanza kutusumbua kuanza kutafuta watu wakuwashauri et ufanye biashara gani? Mbona ukufanya hivo mapema ? Me nawakumbusha tu. 📌 Watumishi mnajishau...
  18. Hemedy Jr Junior

    Waajiriwa wengi ni wapigaji

    Ukweli usemwe. Kila ninachosema nina ushaidi nacho kwenye familia kuna watu wamejiajiri na wengine wameajiriwa. Siku nikamcheki aliyeajiriwa ili anikopeshe kiasi fulani akaanza kunambia mambo magumu labda ngoja mwisho wa mwezi sema na hapo mademu mengi. Dukani wananidai kama 100k kwa daah...
  19. Mohamed Said

    Hassan Kinyozi na Ahmed Seif Waajiriwa wa Kwanza wa TANU Southern Province, 1955

    HASSAN KINYOZI NA AHMED SEIF: WAAJIRIWA WA KWANZA WA TANU SOUTHERN PROVINCE 1955 Bingwa wa historia ya Tanganyika John Iliffe amepata kusema kuwa historia ya TANU iko mikononi mwa watu binafsi. Iliffe alisema maneno haya katika miaka ya 1960 alipokuwa mwalimu wa historia Chuo Kikuu Cha Afrika...
  20. Mama Amon

    Jinsi ya kulinda haki za waajiriwa walio kwenye kipindi cha majaribio: Kesi ya Agness B. Buhere versus UTT Microfinance Plc ya 2015

    Hukumu katika kesi ya Agness Buhere vs UTT Microfinance Plc ya mwaka 2015 ni mwongozo tosha wa kulinda haki za waajiriwa walio kwenye kipindi cha majaribio (probationary employees). Naambatanisha.
Back
Top Bottom