wayahudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania wayahudi wanatengeneza na kuboresha mitandao ya kijamii, Smartphone na Ai, lakini wanavikwepa kwa kupunguza screen time na kutumia simu za vitochi.

    Kampuni zote kubwa za Mitandao ya kijamii na Smartphone zina ofisi za uboreshaji wa teknolojia nchini Israel, wanalipwa kugundua ideas au feautures za kunogesha mitandao ya kijamii na simu. Hata hivyo nchini Israel, kumekuwa na ongezeko au trend kwa watu kununua simu za zinazoitwa Kosher phones...
  2. min -me

    JamiiForums Tanzania Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

    Ukitaka kujua wayahudi wanafikiri nini kuhusu palestina , mfuatilie mtengeneza maudhui maarufu huko tiktok Hamzah saadah, kijana wa kipalestina anaye anaishi Houston Texas US , anaefanya mahojiano ya live tiktok na jamii ya wayahudi. Hawa jamaa wa kiyahudi mpaka watoto wadogo kabisa...
  3. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Raisi wa uturuki ni katili, anaeminya wananchi wake na kufadhili ugaidi ME. Kuna minong'ono ya vita na israel, Ndoto yake kuu ni kuwaangamiza wayahudi

    Huyu bwana ni mauti yanayotembea Kuwapo kwake kwa muda mrefu ni kutokana na kutengeneza network ya kuua upinzani. Amehusika na muaji ya watu wengi huko syria na kurd Sasa anataka akawaue na wa israel
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kanuni 'auaye kwa upanga, atakufa kwa upanga' imebuniwa na wayahudi na wanaitumia. Hivyo usitegemee ifanye kazi kwako kama hufanyi jitihada

    KANUNI YA AUAYE KWA UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA IMEBUNIWA NA WAYAHUDI NA WANAITUMIA. HIVYO USITEGEMEE IFANYE KAZI KWAKO KAMA HUFANYI JITIHADA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Siwakatishi tamaa wala siwavunji moyo. Nipo hapa kusema Ukweli ili utuweke wote huru. Kuna msemo maarufu ambao watu...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mitume wa zamani ni Wayahudi, Wazungu na Muarabu mmoja tu?

  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wa Ethiopia (Beta Israel): Je, ndio Waisraeli wa mwanzo?

    wanajulikana kama Wayahudi wa Ethiopia, ni jamii ya kale iliyodumisha imani ya Kiyahudi kwa karne nyingi katika maeneo ya kaskazini mwa Ethiopia. Je, hawa ndio Waisraeli wa mwanzo? Kihistoria, Beta Israel waliishi katika maeneo ya Gondar na Tigray. Kwa muda mrefu walikuwa wametengwa na jamii...
  7. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wayahudi wanakiburi sana,wao hawafuati sheria za Kimataifa

    Habari wandugu Tukiwa tumemka salama huku tukisubiri mlejesho wa kikao kutoka Pakistan,nimeona kila mtu akishuka kwenye ndege na makablasha kwapani kila upande umesheheni security expert maalumu wa ku negotiate. Je umewahi kujiuliza kwa nini hawa wayahudi huwa hawafuati utaratibu wa dunia...
  8. HOST NOT FOUND

    JamiiForums Tanzania Anavyosema Ndugu Edward kuhusu Wayahudi

    Kwenu wana JF "We kumbe unacheza na Wayahudi ww. Labda Netanyahu ndio ampeleke Trump kuzimu lakini sio Trump kumpeleka Netanyahu kuzimu. Hv unajua kua wale Wayahudi waishio Marekani🇺🇸 ndio waliomuwezesha Trump kurud madarakani na kua hayo wameyafanya kwa maslahi yao? Hv unajua kua wale...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump atoa ujumbe mzito kwa Wayahudi!

    “To our wonderful Jewish American community and to Jews celebrating in Israel and around the world this week, I want to wish you a very happy Passover.” “This week we recall this ancient proof of God's faithfulness and are reminded that with true faith, eternal hope, and the power of prayer...
  10. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania PASSOVER (Wayahudi) VS PASAKA (Wakristo) VS Kutokula Nyama

    Mungu akubariki katika tafakari ya mateso ya Bwana wetu Yesu Kristo siku ya Leo. - Yesu Kristo aliikuta Pasaka. Tunaona kwenye Biblia kuwa Mipango ya kumkamata na Kumuua ilipangwa kipind cha majirio ya Passover. Marko 14:1-2 "1 Baada ya siku mbili ilikuwa sikukuu ya Pasaka, na mikate...
  11. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Hitler aliwachukia sana Wayahudi na kuwauwa kiasi kile?

    Mzuka wana jamvi ...? Mpaka Leo najiuliza mwanadamu inakuwaje mpaka unapata ghazabu za kutaka kuua Jamii nzima na kuwafuta mbali kabisa bila kujali mtoto , Mzee , kijana , Mwanamke nk ? Inaelekea Hilter Kuna jambo Wayahudi walimfanyia mpaka kuwa na moyo huo je , ni jambo lipi ? Na hakuona...
  12. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Marekani ni silaha na walioshika silaha ni Israel na Wayahudi, bunge la ulaya wacharukiana

    Mbunge katika bunge la ulaya kaibua hoja kuwa taifa la Marekani ni silaha na walioshika silaha hiyo ni Israel na Wayahudi kauli hiyo imezua mtafaruko katika bunge la ulaya. “Marekani ni bunduki, Wayahudi wanaishika”: Machafuko katika Umoja wa Ulaya huku Mbunge wa Ulaya akituhumiwa kwa chuki...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, unajua wayahudi wamechangia pakubwa maendeleo ya technolojia urusi?

    Kumbe sio usa tu pekee imesaidiwa na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hata urusi pia ambayo tunaaminishwa itasaidia iran imesaidia pakubwa sana na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hapa kuna list ya wanasayansi wakubwa wa urusi wenye asili ya kiyahudi na gunduzi zao 1. Andrei...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wayahudi mara nyingi hawawezi kukuacha adui yao ukaingia kaburini kwa amani. Lazima wakuue. Hiyo ni Kanuni ya Mfalme Daudi

    WAYAHUDI MARA NYINGI HAWAWEZI KUKUACHA ADUI YAO UKAINGIA KABURINI KWA AMANI. LAZIMA WAKUUE. HIYO NI KANUNI YA MFALME DAUDI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Moja ya Kanuni za Wayahudi walizorithi kwa wazee wao. Ni auae kwa upanga sharti afe kwa upanga. Jino kwa jino ni kanuni ya kiyahudi...
  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Israel ni nchi ya Wayahudi, soma Hesabu 34:1-15

    Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu: Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati...
  16. bahati93

    JamiiForums Tanzania Wanazi juu ya Russia na Wayahudi

    Nawaza tu kwa sauti, msije sema mimi mnazi ila kwa yanayoendelea kipindi hiki huko Iran na Ukraine. Naweza sema Manazi wa Germany walikuwa mbele sana ya muda. Haya majitu mawili hapa Duniani Israel na Russia yamekuwa mwiba mkali sana kwa wapenda Haki, uovu wao hadharani umechoma Mioyo ya wengi...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wayahudi Hawakuogopa Kumuua Yesu Kristo Mtoto wa Mungu Wataogopa Kumuua Khamenei?

    https://youtu.be/II2yPs0OKOs?si=-69y8t4mAwPS6JVN
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wayahudi Waliohifadhiwa Msikiti Mkuu wa Paris Vita Kuu Vya Pili Vya Dunia Wasiuliwe na Hitler

    https://youtu.be/Z1r0OuKrUN8
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wayahudi Waliohifadhiwa Ndani ya Msikiti Mkuu wa Paris Vita Kuu Vya Pili

    https://youtu.be/Z1r0OuKrUN8?si=vmE4Ph5dSZivJ_JO
  20. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Trump kawadhalilisha wayahudi wa Tandale

    Niaje waungwana Mimi ni miongoni mwa watu wachache wenye uwezo wa kuongea ukweli, hata kama ukweli huo utakubaliwa na wachache na kukataliwa na wengi. Kwa wakongwe wa jukwaa hili la mambo ya kimataifa haswa kuhusu mambo ya Iran, Israel, Marekani nk nafikiri mnanifahamu vizuri kwenye uchambuzi...
Back
Top Bottom