Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia.
Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
kiongozi
kuliko
kuwepo
marais
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
uhuru
viongozi
waliowahi
wanasiasa
wote
Uhuru wako na utoshelevu unaanzia pale ‘wewe’ wa faraghani anapokaribiana na ‘wewe’ wa kufikirika (ideal self) unayemleta hadharani. Ikumbukwe kuwa huyu ‘wewe’ wa hadharani hubeba taswira unayoitaka—au unayejua ndio inayotarajiwa na watu —wakati ‘wewe’ wa faraghani hubeba taswira halisi (real...
Heshima sana wanajamvi,
Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine.
Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.
Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu...
Moto mkubwa unaendelea kuwaka maeneo ya Shule ya Uhuru Kariakoo jijini Dar es Salaam katika ule upande wanapouza ma kapeti
Kadiri muda unavyozidi kwenda na huku upepo unazidi kuvuma ndivyo moto unavyoongezeka kwa kasi eneo hilo. Bado kikosi cha zimamoto hakijafika eneo la tukio ingawa watapata...
Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta cha Sayansi na Teknolojia kime kataa kuwa Mbunge anaitwa Barasa sio mhitimu wa pale. Hii Autonomy yao vyuo vikuu vya Kenya nimeipenda.
Je ingekuwa hapa kwetu mbunge au kiongozi amefoji elimu yake kwenye CV vingeweza kuweka wazi ?
Hamjambo!
CHADEMA wengi wao wanatabia ya udikteta uchwara, ukandamizaji wa uhuru wa maoni hasa yanayokinzana na sera zao.
CHADEMA wanauwezo wa kuingilia uhuru binafsi wa mtu mwingine hata kama havunji sheria za chama, katiba ya nchi na maadili.
Ukitaka ugombane na CHADEMA basi pinga au kosoa...
Hapa ni Morogoro mto Lukosi Miaka yote wananchi wanatumia hicho kichuma kuvuka huo mto wanasema kuna mamba wa kutosha.
Alafu kila mwaka ukisoma Ripoti ya CAG vibaka wanakula Pesa za kutosha.
MY TAKE
Mshauri Mwenyekiti wa Kijiji asilalaimike popote kwani atatekwa. Abdul mla watu hataki wananchi...
📌KUTOKA KUIKUTA IKIJENGWA VIPANDE VIWILI, LEO CHINI YA RAIS SAMIA SGR VIPANDE VYOTE 6 VINAJENGWA NA WANANCHI WAMEANZA KUPATA HUDUMA.
Na Bwanku M Bwanku.
Juzi Ijumaa Septemba 11, 2026 kwenye Gazeti namba moja kwa ukongwe Tanzania, Gazeti la Uhuru ukurasa wa 14 kuna makala ya Ndugu Bwanku M...
Klabu ya Simba inashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa CAF Champions League wa Kufuzu Round 1 utakaochezwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni.
Simba SC imeanza safari yake ya CAF Champions League kwa ushindi muhimu ugenini na sasa Wekundu wa Msimbazi wanarejea...
https://youtu.be/yqK9MbgWEuo
🔥 SIRI YA LAWI NANGWANDA SIJAONA: KADI YA TANU YA 1955, NYARAKA ZA AFRICAN ASSOCIATION NA BARUA YA KUMWANDIKIA NYERERE!
Je, unajua kuwa Lawi Nangwanda Sijaona alikuwa miongoni mwa watu waliokuwa kwenye harakati za TAA (Tanganyika African Association) na baadaye...
Karibu kila Katiba duniani inasema "Mahakama ni huru." Ni sentensi rahisi kuandika, lakini historia imeonyesha mara nyingi kwamba sentensi hiyo peke yake haitoshi. Uhuru wa kweli wa Mahakama haupimwi kwa maneno ya utangulizi, unapimwa kwa maswali magumu zaidi: nani anateua Majaji, kwa muda gani...
Wengi wetu tumebahatika aidha kushiriki au hata kuchangia mbio za Mwenge wa uhuru wa Tanganyia (Tanzania), lakini ni wangapi kati yetu tunajuwa asili haswa ya huo Mwenge!?
Ipo siri kubwa kuhusu Mwenge wa Uhuru ambao hukimbizwa nchi nzima. Wapo wanaodhani kwamba aliyeleta mabadiliko katika nchi...
Rastas ni freedom fighters. Waammbie wasikilize Bob watajua kwanini nina rasta. Na wasome Historia ya Maumau.
Tunafuata nyayo za Dedan Kimathi nyayo za mashujaa, sio za wanaopokea vipande thelathini vya fedha.
Mau Mau walikiiwa ni vuguvugu la kupinga ukoloni wa Uingereza nchini Kenya, hasa...
Katika jambo baya sana wakoloni walilotufanyia Africa ilikuwa ni kugawa bara la Africa mezani katika vipande mbalimbali bandia walivyoviita nchi.
Hili ni jambo ambalo limewatesa sana Waafrika baada ya wakoloni kuondoka. Mataifa yetu yalipaswa yapatikana kwa mchakato wa asili wa sisi wenyewe...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali kuhusu Uhuru wa Habari Tanzania, baada ya kutokea Lisemwalo Lipo!, kwa Kilichosemwa Kutokea Kweli, Je Gazeti la Mwanahalisi lipongezwe kuibua ukweli fiche?, lisamehewe au liendelee tuu kubananishwa?, kwasababu ni kweli habari yao hata kama ni kweli, lakini...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kwanza nitoe pongezi kwa mwandishi wa habari, Saed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi kwa kuripoti ukweli bayana wa kitu cha kweli. Kubenea na Mwanahali watangazwe ni Mashujaa wa Habari, nimeitaka CoRI, kutetea uhuru wa habari...
Tukio hili litakuwa tukio la aina yake na ni fursa ya kipekee kudai uhuru wa Tanganyika kama nchi Huru.
Tuitumie hii fursa kufanya kampeni ya ghafla kuhamasisha Utaifa wa Tanganyika, kufufua Bendera ya Tanganyika na hata kuandaa Waraka wa uhuru na Rasimu ya katiba ya Tanganyika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.