Nchi inaendeshwa na bajeti ya mikopo ,tutegemee siku moja mabeberu kuja kututawala tena .
Watanzania ni lini wataambiwa takwinmu za deni na watasikia deni likishuka chini na siyo kila takwimu inapotolewa ni kuongezeka kwa namba tu hivi wewe kama kiongozi huoni AIBU.
Zaidi ya Trilion 100........
Wasalaam,
Mnaohusikia na mambo ya Uchumi wa Tanzania someni hii stari kwa mstari, Sikuwa naelewa anachofanya Kafulila kupitia hii taarifa nimeanza kumwelewa.
Katika bajeti ya Rwanda ya mwaka wa fedha 2026/27 yenye thamani ya Rwf 7.8 trilioni ($5.3 bilioni), sekta ya Ushirikiano wa Sekta ya...
Hii ni kwa sababu alidhibiti ufisadi na akahakikisha kuwq pesa na makusanyo yana kwenda kwenye mfuko wa taifa yaani consolidated fund.
Kama rejesho kwa sasa ni 45% wakati kiwango kilichotakiwa ni 18% basi Watanganyika wana hali ngumu.
Nasema Watanganyika kwa sababu Wazanzibari hawaumii...
Mwanasiasa mkongwe Anna Tibaijuka, akizungumza kupitia The Chanzo, amesema deni la taifa linaonyesha dalili za kutokuwa himilivu kulingana na takwimu za bajeti ya hivi karibuni, akisisitiza kuwa maoni yake yanatokana na uchambuzi wa kitaalamu na si msimamo wa kisiasa.
Prof. Tibaijuka amesema...
Mara nyingi nimesema humu JF kwamba katika hali ya kuwa na raisi toka Zanzibar, waziri wa fedha toka Zanzibar, waziri wa miundo mbinu toka Zanzibar nk, kumekuwa na jitihada za makusudi kuchukua mikopo mikubwa mingi mlengwa hasa akiwa ni Zanzibar. Mpango uliopo ni kwamba ule mgao wa...
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti Mashimba Ndaki amesema;
"...Pamoja na kwamba deni la serikali limekuwa himilivu kwa viwango vyote vya kimataifa, kielelezo cha uwiano wa deni kwa mauzo ya nje hivi sasa ni 13.9% wakati ukomo ni 15%. Hivyo endapo hatutaimarisha mauzo yetu nje...
Wakili Peter Madeleka amesema anaona kuwa nchi inakopa kupita kiasi chini ya uongozi uliopo, huku akidai kuwa deni la taifa limefikia takribani trilioni 100 lakini hakuna ulinganifu wa miradi ya kimkakati inayoonekana kwa wananchi. Amedai kuwa licha ya mikopo hiyo, maisha ya wananchi bado ni...
Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akihojiwa na Wasafi TV amesema kuwa Deni la Taifa linakua kwa kasi kwa sababu fedha hizo zinaenda kwenye miradi ila kuna watu wanapotosha kuonekana fedha hizo zinaliwa
Namibia imekuwa mfano kwa jinsi nchi inavyoweza kuonyesha nidhamu ya kifedha kwa vitendo. Hatua ya hivi karibuni ya serikali ya Namibia kulipa deni la Eurobond lenye thamani ya dola milioni 750 imeweka rekodi kama ulipaji mkubwa zaidi wa deni katika historia ya taifa hilo. Kwa hatua hiyo...
Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025
1. South Africa – USD 176,314 million (Sep 2024)
2. Egypt – USD 155,204 million (Sep 2024)
3. Tunisia – TND 128,856 million (Sep 2024)
4. Mauritius – MUR 96,713 million (Dec 2024)
5. Angola – USD 50,260 million (Dec 2023)...
Salaam!
Tulipata msiba wa kufiwa na baba yetu, kiongozi wa shamba letu,
Hata hatujapoa, akaibuka kibopa,tajiri mmoja mkarimu sana mwenye tabasamu la Mamba Rost Tamu,akaipenda familia yetu, akaahidi kutupenda Sisi na mama etu bila kutubagua.
Aliweza kummsaidia sana mfiwa mamaetu kwa kumpeleka...
Deni la Taifa kwa sasa limepanda kutoka Trilioni 108 mwezi Mei hadi trilioni 116 Mwezi Agost. Hili ni ongezeko la 7.41% ndani ya kipindi cha miezi miwili tu. Deni hili linaweza kunasibishwa na taarifa kuwa exchange rate imezingua, lakini ieleweke kuwa thamani ya shilingi imeimarika kuanzia mwezi...
Salaam!
Rais Samia na serikali yake walitwambia kuwa ujio wa DP World utaongeza mapato ya serikali kwa kiasi kikubwa na kufadhili budget yetu.
Sasa maswali yanakuja je! Ikiwa mapato yameongezeka serikalini,iweje deni likue, kwanini lisilipwe kwa amount kubwa ikibidi limalizwe sababu ya ujio wa...
Buriani Jobu Ndugai
Deni T 116..?
Maono yako juu ya nchi yetu, ni kweli na sasa karibu tunaanza kuyaishi
Deni la Taifa linatishia uhai wa nchi yetu,
Wakati tukielekea Uchaguzi magumashi, kila pembe ya nchi yangu, wabunge, mawaziri na wanaojitokeza kwenye vyombo mbalimbali vya habari, wote...
Tanzania imefikia deni la taifa la trilioni 116 (dola za Marekani bilioni 46.6) hadi Juni 2025, likiongezeka kwa asilimia 1 ukilinganisha na Mei. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilieleza kuwa deni la nje linachangia asilimia 70.7 ya jumla, huku deni la umma likiwa sehemu kubwa zaidi kwa asilimia...
Wakuu wa JF,
Hawa ndugu zake Lucas Mwashambwa walipe tu deni la Taifa wenyewe
Kwa namna ambavyo jana mawaziri, wafanyabishara na makundi mbalimbali ya CCM walivyokua wanataja kiasi cha fedha kwa ajili ya Michango ya kampeni za uchaguzi, nimewaza kuhusu Uongozi wa CCM ulivyochangia kuongezeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.