tucta

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi Serikalini kwa sasa ni kama hatuna mtetezi! TUCTA wametuangusha

    Wafanyakazi hawana tena mtetezi wachangamoto zao,, sio vyama vyao vya kitaaluma wala sio chama chao cha wafanyakazi serikali. Watumishi wa umma wana hali mbaya sana hasa kipindi hiki ambapo siasa za ulimwengu ziko kwenye hatari kubwa, hali ya maisha kupanda na mishahara yao kubakia vile vile...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wanaongezwa mishahara halafu sisi Watanganyika TUCTA inasema hatuhitaji mshahara kupanda. Kwa mantiki hii najitoa CWT

    Mafuta yamepanda bei. Maisha yamekuwa ghali. Wazanzibari wanaongezwa mshahara Watanganyika tunaambiwa eti pesa zilitumika kwenye uchaguzi na nyingine zitatumika kwenye kukarabati uharibifu uliofanywa na Gen Z waliotaka kupindua nchi. Jumatatu najaza fomu na kujitoa CWT.
  3. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Tumaini Nyamhoka (Rais TUCTA) wafanyakazi wa wapi walikutuma ukaseme hawataki nyongeza ya mshahara mwaka huu?

    Akihutubia wafanyakazi waliojitokeza kwenye kilele cha sherehe za Siku ya wafanyakazi Duniani (Mei Mosi 2026) Rais Samia amesema mwaka huu TUCTA hawakwenda na madai ya mshahara mpya na viongozi wao walimwambia Rais "mwaka Jana ulikuwa na kazi nzito ya uchaguzi na pia miundombinu imeharibiwa na...
  4. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: TUCTA imeniambia haina madai, tutaangalia tena mwakani

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, leo tarehe 1 Mei, 2026 amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na maboresho ya maslahi ya wafanyakazi.
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: TUCTA hawakuja na madai mapya. Kadri uchumi wetu unavyoimarika, tutaendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi wetu

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, leo tarehe 1 Mei, 2026 amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na maboresho ya maslahi ya wafanyakazi kwasababu mbalimbali ambazo ametaka kuwa TUCTA hawakuja na madai mapya bali...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Viongozi wa TUCTA, Ikulu ya Dar, Agosti 12, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Agosti, 2025. Viongozi hao wamempongeza na kumshukuru Rais Dkt. Samia kwa utekelezaji wa ahadi yake ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Katibu CHAKAMWATA: TUCTA ni wachonganishi

    Katibu Mkuu wa chama Cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), mwalimu Kapange, amesema amechukizwa na Risala ya TUCTA ambayo ilikuwa imekaa kichonganishi kwa kumtaka Rais Samia kuvifungia vyama vya wafanyakazi nchini.
  8. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TUCTA Rukwa yawataka wananchi na wafanyakazi wote kushiriki uchaguzi

    Shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA) mkoni Rukwa limetoa wito kwa wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchaguzi ili kupata viongozi bora watakaojali maslahi ya wafanyakazi na kuleta maendeleo ndani ya nchi. Hayo yamebainishwa na mratibu wa TUCTA mkoani...
  9. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti TUCTA akemea wanasiasa wanaowasemea watumishi wa Umma

    Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Frank Kailembo amekemea wanasiasa wanaowasemea watumishi wa umma na kueleza kuwa yapo majukwa na taratibu za kisheria zinazowapa mwanya wa kuwasilisha changamoto zinazowakabili. Kailembo amesema hayo katika madhimisho ya Siku ya...
  10. Ngongo

    JamiiForums Tanzania TUCTA inapokuwa jumuiya ya CCM

    Heshima sana wanajamvi. Leo nimekuwa nikifuatilia sherehe za May Mosi huko Singida. Ni wazi tena pasipo shaka TUCTA sasa ni sawa na jumuiya za CCM sawa na UVCCM au Wazazi. Ni aibu TUCTA kutumika kama chombo cha propaganda za CCM na serekali yake. Ngongo kwa sasa Singida.
  11. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Hii TUCTA au kamati ya mapambio??

    Badala ya kuzungumzia changamoto za Wafanyakazi zilizojaa lukuki....once in a year wanakuja na Hotuba ya kusifia majukumu ya serikali. Hii nchi imekuwaje?
  12. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nyamuhokya: Mwaka huu Tucta hatuna madai kwa Rais labda yeye kama mama akiona ana cha kufanya

    Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake. Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania...
  13. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha nyongeza ya mishahara ya kila mwaka (annual incriment) na tucta ipo kimya tuu

    Mwaka jana mama alitangaza kurudisha ile nyongeza ya kawaida ya kila mwaka baada ya kusitishwa na Raisi Magufuli, Pamoja na kupandisha vyeo wafanyakazi ambapo walikuwa wamesitishiwa .. Tumeona wafanyakazi wakipanda vyeo kwa mujibu wa sheria japo kuna miaka iliyodhulumiwa vyeo Yaani mwaka...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya TUCTA ni kugawa Tshirt, utendaji ni hopeless

    Kesho ni Mai Mosi ambapo kimsingi unategemea kusikia maazimio mazito kutoka kwa TUCTA juu ya mambo ya msingi katika kusimamia maslami mapana ya wanachama wake. Wanachama wao wamekuwa na changamoto kadhaa zisizo patiwa majibu na serikali. Moja ya kilio kikubwa ikiwa na kikokotoo cha kifisadi...
  15. CK Allan

    JamiiForums Tanzania TUCTA: Nyongeza ya Mshahara itaanza kulipwa Mwezi August

    Barua ndio hii ngoja tusubiri! Ingawa naona dalili za mkutano kuahirishwa au ukiwepo hautakuwa na tija. Tunajua kabisa TUCTA ndio Serikali yenyewe. ====== SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA (TUCTA) TARIFA KWA WAFANYAKAZI KUHUSU AHADI YA NYONGEZA YA MSHAHARA YA KILA MWAKA (ANNUAL...
  16. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Rais, kwa mara nyingine unatukosea Watumishi wa Umma nyongeza ya mshahara

    Ni wazi kuwa sasa ni mwaka wa 8 watumishi hawapati shahiki yao ya nyongeza ya mshahara. Matamko mbalimbali hususani kwenye sherehe za Mei Mosi, Rais kupitia majibu ya hotuba ya wafanyakazi alitoa kauli ya kurudisha japo Annual Increment kwa watumishi ifikapo July mwaka mpya wa bajeti. Tofauti...
  17. M

    JamiiForums Tanzania TUCTA kwa nini hamjamuunga mkono Ester Bulaya kwenye suala la Kikokotoo?

    Picha: Ester Bulaya Ninashangaa pamoja na baadhi ya wabunge kuwapigania wafanyakazi kuhusu kubadilisha kikokotoo kinachowanyonya wafanyakazi, Wakiongozwa na mbunge Ester Bulaya lakini viongozi wa TUCTA wamekaa kimya. Hiyo ndo dalili ya usaliti sio bure mtakuwa na maslahi fulani mnapata. Katibu...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania TUCTA Yampongeza Rais Samia

    SHIRIKISHO la Vyama Vya Wafanyakazi (TUCTA), limempongeza Rais Dk. Samia Suluhu. Hassan kwa mabadiliko na maboresho makubwa kwa wafanyakazi wa sekta binafsi na umma, ikiwemo kuogeza kiwango cha mshahara kwa mwaka ambacho kilikuwa hakijaongezwa kwa miaka tisa iliyopita. Pia, TUCTA imemshukuru...
  19. tpaul

    JamiiForums Tanzania Kero za Wafanyakazi ambazo TUCTA wataziwasilisha mbele ya Rais Samia siku ya Mei Mosi 2023

    Habari za leo ndugu wakuu! Nawasalimu kwa jina la JMT. Baada ya salamu naomba niingie kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Wakati siku ya wafanyakazi duniani ikikaribia, naomba niweke wazi kero za wafanyakazi, hasa wa sekta ya umma, ambazo Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi...
  20. Kayabwe

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi ndo hiyooo! TUCTA Mjipange vizuri juu ya ongezeko la mishahara

    Naomba TUCTA Mjipange vizuri juu ya ongezeka la mishahara Kwa wafanyakazi mwaka huu. Mnakumbuka Mama alitangaza jambo letu kwa mbwembwe tukapigea na kitu kizito. Tusije lia tena jamani. Hatutaweelewa.
Back
Top Bottom