Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.
Wasalam wakuu.
Haya ni Maoni yangu Kwa Mh Dr Gwajima
Mh Dr Gwajima Kuna mahala unafeli sana linapkuja swala la manaume kuchukua maamzi magumu.
Ninachoamini Mimi ..kitendo Cha mwanaume kumuoa mwanamke na kumfanya awe mke wake na hatimae kuwa mlezi wa watoto wake ni kithibitisho tosha kuwa...
Video inayo sambaza MTANDAONI ina muonesha kiredio akibebwa kukalishwa Kwa wheel chair, tetesi ni kuwa kapalalaizi, sijui ni kiki sijui kweli ila wanadai kweli mana alialikwa juzi Kwa mondi hakwenda.
Inasemekana chanzoni either demu kumuacha au either alitapeliwa 60 millions china,
Tusbiri...
Wewe waziri Dk Gwajima kinachofanya mpaka leo ndoa za kimila hazina cheti halali ni nini?
Kwa sasa ili ndoa ipate cheti ni lazima iwe ya kanisani, msikitini au kiserikali tu ,swala hili linasikitisha sana.
Kuongezeka kwa single mothers, watoto wa mtaani sababu ni wewe waziri Gwajima na wizara...
https://youtu.be/VucOADP1loY?si=f0xgGxMinKLYLnbZ
Mnajua yuko wapi huyu Jesusi wa mbinguni, Askofu Josephat Gwajima?
Mnakumbuka aliyowahi kusema huko nyuma kuhusu Tanzania na mwisho wa CCM?
Sikilizeni...
Vita ya kuikomboa Tanganyika inapiganwa katika maeneo mawili;
1. Mwilini (Physical realm...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa mrejesho zaidi kuhusu mtuhumiwa inayesemekaa ni Dereva Bodaboda anayedaiwa kumfanyia ukatili wa kijinsia mtoto wa Darasa la Tatu katika Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande kisha kuachiwa akiendelea...
"...Mimi ni mwanachama CCM, mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ambaye hakubali uonevu, hakubali utekaji na ambaye hakubali ufisadi. Mimi nimedhamiria kusimama na wananchi mpaka mwisho..."
Hii ndio kauli iliyowakwaza watawala waovu wa serikali dhalimu ya Samia Suluhu Hassan na CCM yake hata...
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram muda mfupi baada ya kuchapishwa kwa hoja ya Mdau aliyeelezea tukio la mtoto wa Darasa la Tatu katika Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande kufanyiwa...
Angalia ukatili dhidi ya wadada wa kazi.
Tazama video hii ya mfanyakazi akipigwa fimbo na bosi wake akidai amemuibia hela, kisha kuamua kupiga mbele ya mwanae na mwisho wake akamfukuza nyumbani.
Dkt. Gwajima D ingilia kati TAFADHALI. Chukua hatua haki itendeke
Je Gwajima amelambishwa asali?
Je Gwajima amepata vitisho ?
Je Gwajima ameona aliokuwa anawatetea sio watu sahihi ni heri ajiunge na wenzake wana ccm kujichotea mali za uma nk?
Hatujamzoea hivi , au kuna mahali wamembana kaona akifanya fyoko watamfilisi ikiwezekana kumbambikia kesi?
Jasusi...
Nahisi Dkt. Dorothy Gwajima upo hapa JF.
Umeweza kuibua na kuzibiti maovu mengi kupitia mitandao ya kijamii na mpaka wengine kuchukuliwa hatua.
Ila Dkt. Dorothy Gwajima ili la mashoga limekuwa likilalamikiwa mpaka wengine ni watangazaji, wasanii na n.k ila kiufupi nikiangalia kwa ufupi wote...
Kwanza nianze kumpongeza Askofu Gwajima, ukimsikiliza kwenye YouTube akiwa Kanisani kwake leo tarehe 04 June 2026, amempa makavu Boss wa Wasiojulikana Kwamba Hampati.
Hii Ina maana Boss huyo kamnyoshea mikono juu Askofu Gwajima Kwamba mwamba ni Jasusi wa Mbinguni hakuna anayeweza kumfanya...
DeletedMember281674
Thread
askofu
askofu gwajima
boss
gwajima
mikono
wasiojulikana
Kuna makosa yanafanywa kuwaita wachungaji. Peter Msigwa ni mmojawapo. Leo chawa. Kesho mpinzani.
Haya wasisi wa ngawira kupitia joho la uchungaji. Hawafai. Tueazomee na tusiwaheshimu wala kuwaamini. Ni matapeli ya kawaida.
Saidi Abdallah Mikidadi mwenye miaka 33, mkazi wa Dar es Salaam ambaye anakabiliwa na uvimbe mkubwa sana shingoni, amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akisubiriwa kufanyiwa upasuaji mdogo kabla ya kusafiri nchini India kwa upasuaji mkubwa.
Akiongea jijini Dar, mdogo wa Saidi, Jundani...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amekemea uzushi unaoenezwa na baadhi ya watu wenye nia ya kupotosha jamii kuwa mwanaume akishikwa bega hupoteza sehemu zake za siri (Nyeti).
Dkt. Gwajima amekemea uzushi huo wakati wa Maadhimisho ya siku...
Kwanza kabisa sikubaliani na watu wanaosambaza uzushi wa aina yoyote ikiwemo kuwalisha watu maneno kwa njia yoyote ile, ila pia nadhani Gwajima alitakiwa kukanusha uzushi kwa maneno mafupi sana kuwa, Sijawahi kutoa kauli hiyo na pia si sahihi kusambaza taarifa za uzushi iwapo kulikuwa na ulazima...
Nampongeza sana Waziri Dr Dorothy Gwajima ( wazara yake siijui vyema)
Kwa kuthubutu kupinga uchafu wa ushoga ambao ni kinyume cha maadili ya Mtanzania na mtu mweusi Kwa ujumla
Ushoga na usagaji ni kinyume cha nature yaani maumbile
Vita dhidi ya agenda ya ushoga ni ngumu mno
Nadhani hapa...
Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako.
Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada nikiamini kabisa ni eneo unaloliweza vilivyo tu, ila siku hizi umelikalia kimya, kama halikuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.