dar es salaam

 1. Miss Zomboko

  Dar: Machinga waongezewa siku 12 kuhama kwenye maeneo yasiyo rasmi

  Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imewaongezea siku 12 wafanyabiashara ndogo ndogo (wamachinga) kuanzia leo wahame katika maeneo yasiyo rasmi wanayofanyia biashara zao. Awali Serikali ya mkoa huo iliagiza kuwa leo ndiyo iwe mwisho kwa wafanyabiashara hao kufanya biashara katika maeneo yasiyo...
 2. O

  Nakuja Dar es Salaam kwa mara ya kwanza, nipeni muongozo huu

  Wakuu habari! Mimi ni mtanzania kijana nilie graduate chuo mwaka huu nikitokea mkoani kanda ya ziwa, kwanza niweke wazi kutokana na trend ya ajira ilivyo nchini nimeamua kupambana na kuhangaika mwenyewe katika nyanja ya kujiajiri maana nikitegemea ajira ya serikali naweza kufa njaa na ndoto...
 3. Bingwa Mara 4

  House4Sale Banda la Miamala linauzwa, keko Dar es salaam

  Nipigie 0713096076 bei 250,000
 4. GENTAMYCINE

  Je, na Yule aliyemrithisha Roho Mbaya Ole Sabaya kutokea Dar es Salaam naye atakamatwa ili afungwe miaka yake 670 lini?

  Nasikia kwa sasa Mr. Dar es Salaam hataki kabisa kutumia Mitandao ya Kijamii ( japo kuna muda) huwa anaibuka na pia anasoma mara Ujerumani mara Afrika Kusini na hata akiwa Tanzania amekuwa ni Msiri na Mtu wa Kujificha na kuhamahama kama Digidigi na hata wale Malaya wake wa Beach Kidimbwi akina...
 5. D

  Uamuzi wa kuondoa Wamachinga mitaani Dar es Salaam urejewe upya

  Uamuzi wa kuondoa wafanyabiashara wadogowadogo almaarufu Machinga 18 Oktoba, kwa maoni yangu una gharama kubwa kuliko faida/manufaa na kwamba unastahili kupitiwa/kudurusiwa upya. Gharama ziko kiuchumi, kijamii, kiusalama na kisiasa. Sipingani na uamuzi huo, ni mzuri tu, isipokuwa nadhani...
 6. Kinuju

  Waziri Makamba ujue siyo kila kitu ni cha kubinafisisha

  Waziri wa Nishati January Makamba ajulishwe kuwa kwenye taifa siyo kila kitu ni cha kubinafisishwa kwa masilahi mapana ya taifa. Umeme Bandari Reli Viwanja vya ndege Mbuga etc Baba wa taifa Mwl Nyerere kwenye hotuba yake moja mwaka 1995 alikemea vikali akili ya kuchukua mali ya uma na...
 7. daizouh

  Nataka kujua duka linalouza electronic components Dar es Salaam

  Mambo vipi wanajamiiforum, Naombakukujua maduka yanayouza electronics components kamavile capacitors, resistors , ICs, opamp, diodes
 8. kimsboy

  Mwambieni January Makamba kwamba umeme umeanza kukatika ovyo Dar es Salaam

  Huku Dar umeme umeanza kukatika hovyo hovyo tena sahivi unakatika muda mrefu sana hadi masaa 8. Juzi nilikua sehemu fulani nje ya mji umeme ulikatika kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 1 usiku ndo walirudisha. Dalili za kuonyesha hali sio shwari ni pale umeme ukirudi watu wanashangillia hii sio...
 9. Bingwa Mara 4

  Car4Sale Toyota IST no DLW inauzwa kwa 8mil. Dar es salaam

  iwahi, bei haina udalali. cc 1290. imenyooka call 0713096076 nikuunganishe kwa boss mkaongee zaidi.
 10. Cannabis

  Muonekano wa sehemu ya jiji la Dar es Salaam baada ya machinga kupangwa katika maeneo mapya

 11. Nigga What

  Usije Dar es Salaam -- huko mkoani usafiri, hali ya hewa, usalama viko vizuri sana

  Ebwana kama upo mkoani unafanya kazi au biashara unapata average income usijaribu kuwaza kuja jijini DAR, kwa sababu huko mkoani usafiri, hali ya hewa, usalama viko vizuri sana. Kama uko Mbeya, Iringa, tulia usafiri wa mbeya ni rahisi na magari ni mazuri sana, hali ya hewa shwari, nyumba za...
 12. GENTAMYCINE

  Je, tumpongeze aliyesema vijana wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam wana Ugonjwa wa akili au tumlaumu?

  Tafadhali mwenye namba ya Simu ya yule Mwananchi Reporter aliyeandika jana kuwa Vijana wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaugua Akili / Uwendawazimu anitumie kwani nami nataka Kumpima kama nae zimetimia au zimepungua.
 13. beth

  Siku ya Afya ya Akili Duniani: Serikali yasema Watanzania Milioni 7 wana matatizo yanayohusiana na Afya ya Akili

  Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Afya ya Akili kesho Jumapili Oktoba 10,2021, imeelezwa kuwa Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni saba wenye matatizo yanayohusiana na afya ya akili. Hata hivyo, sababu mbalimbali zimetajwa kusababisha matatizo ya afya ya akili huku Jiji la Dar es Salaam...
 14. The Underboss

  Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

  Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa pato la kila mkoa nchini Tanzania, mkoa wa Dar es salaam wazidi kuongoza ukifuatiwa na Mwanza. Mikoa ya Katavi na Njombe imeshika mkia kwa kua na pato dogo sana ukilinganisha na mikoa mingine. Kwenye kumi bora kanda ya ziwa imeingiza mikoa 3, Mwanza, Shinyanga...
 15. M

  Mambo machache niliyojifunza kutoka kwa Wahubiri wa FAITH, LOVE and MIRACLES hapa Mkoani Dar es Salaam

  1. Hawajisifu balip humsifia sana Kristo na Baba Muumba ( Mungu ) 2. Wanahubiri Kiustaarabu na hawapigi Kelele kama Walevi wa Gongo wa Kunduchi Mtongani au wa Kawe kwa Mapupu 3. Wanaenda mno na muda na Wanathamini sana Ratiba za Watu nje ya Ibada 4. Hawatuhimizi kila mara kutoa Sadaka bali...
 16. Tanzania Railways Corp

  Mbarawa amepokea Behewa mpya 44 za mizigo za Shirika la Reli Tanzania

  Mwanzo | TRC Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amepokea Behewa mpya 44 za mizigo za Shirika la Reli Tanzania – TRC zilizonunuliwa kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya Kati – TIRP, bandarini jijini Dar es Salaam Oktoba 06, 2021. Behewa hizo zitatumika kusafirisha mizigo...
 17. julaibibi

  Mradi wa kuulinda uoto wa asili jiji la Dar es Salaam

  Hapa Muhimbili kitengo cha tiba asili. CHIPE nikihudhuria semina kuhusu kongamano la ku zisema urejeshaji wa uoto wa asili katika mij hii inayokua kwa kasi, mada ikitolewa na manguli wa tasnia china ya ICLEI. Kwa nini katika majumba yetu kila mtu asianze kupanda miti katika eneo lake ya asili...
 18. Bingwa Mara 4

  Car4Sale Suzuki escudo for sale. 3.6Mil only in Dar es salaam

  Gari iko poa haina shida yoyote. Tairi mpya. vioo vipya. Gari ni ya kumwaga oil na hydrochloric tu. tuwasiliane chap twende bandarini tukachukue gari location: Bandarini Dar es salaam, 0713096076.
 19. M

  Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dar es alaam - Chanika

  Habari za leo wana JF. Ninauza kiwanja changu ambacho kipo Chanika Zingiziwa. Kina hati ya serikali ya mtaa. Kina ukubwa wa sqm 406. Kipo eneo la tambarare, udongo wake ni kichanga. Ni sehemu iliyozungukwa na makazi ya watu. Kipo karibu na Zahanati ya Zingiziwa. Bei ni milioni nne na laki...
 20. Roving Journalist

  Mbagala, Dar: Polisi yawanyakua watu 27 Walioiba Saruji kwenye ajali

  KUKAMATWA WATU 27 KWA TUHUMA ZA KUIBA MIFUKO YA SARUJI BAADA YA AJALI YA MALORI MBAGALA Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linawashikilia watu 27 kwa tuhuma za kuiba mifuko ya saruji baada ya ajali ya malori mawili eneo la Mbagala Mission. Mnamo tarehe 04/10/2021 saa 04:30 asubuhi eneo...
Top Bottom