Mwanamume unaamini mwanamke akisoma anakuwa tatizo kwenye mahusiano, ‘hatawaliki’ na ataishia kuwa msimbe.
Kwa nini sasa unasomesha watoto wa kike? Unawaandaa kuachika?
Haya. Umeoa asiyesoma. Unamtawala kifikra kama unavyotaka. Lakini mbona yakijitokeza matatizo, unasema tatizo ni uelewa...
Naomba kuuliza Wizara ya Elimu na TCU, imekaaje kuhusu kutofungwa kwa vyuo wakati wa El Niño, wakati wanafunzi wa shule za msingi hadi kidato cha sita wamefungiwa shule?
Naona hili linaweza kuwa changamoto, kwa sababu wanafunzi wengi wa vyuo husafiri kwenda Dar es Salaam na maeneo ya jirani...
Habari za leo wakuu wa JamiiForums?
Hivi majuzi nilikutana na ujumbe fulani mzito uliozua tafakari kubwa kwenye mtandao, ukisema hivi:
Ujumbe huo ukaongeza kuwa:
Ukiangalia mpangilio wa maandishi hayo, ulikuwa umeambatanisha na mambo makuu matano yanayotengeneza mfumo kamili wa...
Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi. Mara nyingi, mteja hushawishiwa kufungua akaunti bila kuelezwa kwa uwazi gharama zote, kisha hujikuta akikata pesa bila taarifa ya kutosha.
Nilifungua akaunti CRDB miaka kadhaa iliyopita...
Anonymous (9651)
Thread
account
benki
bila
bila kujua
elimu
kujua
makato
mwezi
pesa
sahihi
stahiki
taarifa
taarifa sahihi
wateja
Kwa Hali iliyopo sasa mnapambana na ELNINO na Hadi ratiba zenu mmebadilisha kuanzia kufanya mtihani Hadi tarehe za kufunga shule
Je Kwa Nini hamkatazi Haya mashule binafsi wanaolazimisha kupeleka watoto PRE FORM ONE? Je wao wako juu ya taratibu zilizowekwa au wao ELNINO HAIWAHUSU
hamuoni...
Tunaishi kwenye dunia ambayo ni rahisi sana kuwa na uelewa ‘mparazo’ wa mambo lakini huna mizizi inayoushikilia uelewa huo. Unaenda YouTube, kwa mfano, unaangalia maelezo mafupi ya mtu akifafanua jambo na tayari unaamini unajua kila kitu kuhusu jambo hilo. Siku hizi unaweza hata kuangalia...
Umemaliza kusoma diploma ya clinical medicine miaka walau mitatu iliyopita. Ukapiga kazi ukiwa na ndoto ya kuongeza elimu. Ila serikali wakarudisha advanced diploma of clinical medicine (AMO). Je, utachagua kwenda kusoma MD 5 years au AMO 2 years!?
Na ukijaribu kufuatilia maslahi unaambiwa AMO...
Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,
Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .
Zamani sifa za kujiunga na chuo kikuu ilikuwa lazima...
Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6, 2026, badala ya Oktoba 21 na 22.
Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili, uliokuwa umepangwa kufanyika Novemba 17 na 18, sasa utafanyika Oktoba 7 na 8, 2026.
Kwa...
Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi.
Hali ingekuwaje kama nafasi hiyo isingekuwepo kabisa, yaani wewe na unachokiona mnakuwa mmeshikamana...
Mtwara- Maafisa usafirishaji maarufu kama bodaboda mkoani Mtwara wamepata elimu kuhusu matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, unaowawezesha wananchi kusajili na kurasimisha viwanja vyao ili kupata umiliki unaotambulika kisheria.
Elimu hiyo imetolewa na Kamishna Msaidizi wa Ardhi (Utawala wa Ardhi), Bi...
Elimu ya tanzania imeshakuwa ya ovyo kuanzia kanumba mpaka binafsi.
Embu kaguweni madaftari ya watoto husasani hawa wa primary.
Mtoto anasoma private nimekagua daftari nakuta kapewa tiki swali ambao kakosa.
Haya Je kwenye matokeo kila mzazi anaambiwa mtoto wake kawa wapili au wa kwanza...
wachina wameitumia elimu vizuri ni manufacturers, wahindi wameproove kuwa vizuri kwenye usimamizi wa biashara na ndio maana makampuni mengi sana duniani yana CEO muhindi, Wazungu na Wayahudi wameshabuni vingi sana tukianza kuvitaja hatumalizi.
Lakini kwetu waafrica wengi hasa tukijizungumzia...
MABADILIKO MAPYA YA MITAALA YA ELIMU SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI NA VYUO 2025
MABORESHO YA MITAALA AMBAYO YANAENDA KUBADILISHA MFUMO WETU WA ELIMU:
1. Mtihani wa darasa la Saba utafutwa ifikapo 2027.
2. Mwanafunzi akianza darasa la kwanza lazima amalize Kidato cha nne. Hii itaitwa Elimu ya...
Wakuu habari za muda huu.
Naitwa Sarah Hizza
Umri: 24
Elimu: Shahada ya maendeleo ya jamii nilihitimu mwaka 2024.
Mahali nilipo kwa sasa: Tanga
Natafuta kazi yeyote ya halali
Mawasiliano: +255611084361
Kwa hiyo ndo maboresho makubwa walilofanya kwenye ELIMU ??
Tatizo la ELIMU yetu ni miaka ya kusoma au content yake ??
Twende TU hivyo hivyo
uzuri watoto wengi wa mawaziri wabunge na WATUMISHI wa umma hata waalimu wa hizo shule hawapeleki watoto wa huko
Watasoma watoto wa maskini na machawa...
Mfumo wa elimu unaopendekezwa na Elon Musk uitwao 'Ad Astra' likiwa neno la kilatini likimaanisha kuelekea kwenye nyota ni mfumo ambao aliuanzisha kwa siri mwaka 2014 baada ya kamua kuwatoa watoto wake kwenye Shule za kawaida akiamini kuwa shule za kawaida hazifundishi watoto namba ya kufikiri...
KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa. Na pia waliooa ambao wanawake wasio bikira. Na vijana wenye wachumba ambao hawakuwakuta bikira...
📚 ELITE HOME TUITION 🏠🎓
Unahitaji Mwalimu Binafsi (Private Tutor) kwa ajili ya mtoto wako?
Elite Home Tuition inakusaidia kupata walimu wenye uwezo na uzoefu kulingana na darasa, curriculum na mahitaji ya mwanafunzi.
✅ KG hadi University
✅ Cambridge, IB, British, Indian & Kenyan Curriculum
✅...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.