askofu bagonza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Wanjiru

    Baba Askofu Bagonza: Jina la Edward lina maana kubwa Monduli

    Tar 17/2/2024 tumemzika EDWARD Lowasa. Miaka 40 iliyopita tulimzika EDWARD Sokoine eneo hilohilo la Monduli. Tulivyomzika Edward yule ndivyo tulivyomzika Edward huyu. Jina “Edward” lina maana kubwa katika eneo hilo. Yalikuwa mazishi yenye hadhi. Usingejua kama ni ya Waziri Mkuu Mstaafu. Hata...
  2. Frank Wanjiru

    Anaandika Baba Askofu Bagonza kuhusu Edward Lowassa

    Edward Ngoyai Lowasa ameondoka. Yuko mahali salama pasipo na mgao wa umeme wala usanii wa treni za umeme. Amepumzika baada ya kazi ngumu. Anapokufa mtu mzito kama Lowassa, kuna makundi matatu hujitokeza; 1. Wanaolia 2. Wanaofurahia 3. Wasiojua kama walie au wafurahie. Makundi yote matatu tunayo...
  3. BARD AI

    Askofu Bagonza: Makonda ni tatizo, dalili mbaya au suluhisho?

    Paul Makonda ni zaidi Katibu Mwenezi wa chama Tawala. Tumewahi kuwa nao wengi na wapo wengi wa vyama vingine. Hakuna kama Makonda uzuri na kwa ubaya. Kwa nini? 1. Kama Makonda ni tatizo basi halina suluhisho. Kwa sababu ndani ya chama tawala huyu ndiye ameonekana. Na kama huyu ndiye bora zaidi...
  4. CRISTA

    Askofu Bagonza acha kulichafua Kanisa la KKKT

    Hivi karibuni hapa Jamii Forum tumeshuhudia Tamko kutoka kwa Askofu Bagonza likimshutumu Aliyekuwa Askofu Mkuu wa KKKT Dr.Fredrick Shoo. Kauli hii inasikitisha sana ikizingatiwa ni Kiongozi Mkubwa sana wa Kanisa la KKKT. Maswali ya muhimu kwako 1.Kwa Nini uliamua Kutoa Mambo ya KKKT...
  5. BARD AI

    Askofu Bagonza: Rushwa imesababisha Bandari ifanyiwe kinachofanyika

    "Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi. Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? tubinafsishe? tukabidhi sekta binafsi?" Askofu Benson Bagonza Chanzo: Jambo TV
  6. Ileje

    Busara ya Baba Askofu Bagonza kuhusu mkataba wa bandari

    BANDARI IMEUZWA au IMEKODISHWA? Suala la Bandari limekuwa gumzo. Hata Bubu wanaongea na woga unajaa ujasiri. Waliozoea kuongea wamekuwa bubu. Kwanini? 1. Je, imeuzwa au imekodishwa? 2. Je, imeuzwa au tumekodi mwendeshaji? 3. Je, ni kweli tayari imeuzwa, imekodishwa au kuajiri hiyo...
  7. J

    Askofu Bagonza: Tusitegemee uwajibika ripoti ya CAG

    ASKOFU Benson Bagonza amesema Rais ni sehemu ya bunge, Bunge haliwezi kuiwajibisha Serikali kwa kuwa Rais ni sehemu ya Bunge. "Rais ni sehemu ya bunge, Bunge haliwezi kuiwajibisha Serikali kwa kuwa Rais ni sehemu ya bunge, lakini Rais huyo huyo ndiye anayewateua Jaji Mkuu na majaji wengine na...
  8. benzemah

    Askofu Bagonza awashukia wanahabari, awataka waache kuandika kwa mihemko

    Watunzi wa vitabu na waandishi wa habari wametaki wa kuandika uhalisia kwa kufanya utafiti.na uchunguzi wa kuto sha ili kupata ukweli wa mambo badala ya kuandika kwa mihemko, jazba na visasi hali itakayosababisha. walaji wasipate kile kilichokusudiwa. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
  9. J

    Askofu Bagonza: Ili tusirudi huko tulikotoka Mifumo na Taasisi Imara ndio muhimu kuliko Super Woman au Super Mwamba!

    Askofu Bagonza wa KKKT Ngara amesema Ili tusirudi huko tulikotoka Mifumo na Taasisi Imara Ndio muhimu kuliko Super Woman au Super Mwamba Bagonza amesema takwa la Katiba mpya ni la Jana wala siyo la Leo na kwamba Watawala wanaihitaji Katiba mpya kuliko Watawaliwa Chanzo: Jambo TV
  10. BARD AI

    Mbowe na Askofu Bagonza kuongoza mapokezi ya Lema KIA

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe anatarajia kuongoza mapokezi na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Godbless Lema, Machi Mosi mwaka huu, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akiwa na viongozi kadhaa wa dini. Lema aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kuanzia mwaka 2010 hadi...
  11. Mama Amon

    Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Bagonza akiwa amemkumbatia Lissu Kwenye Uwanja wa Kayanga, Karagwe, 2020. Kuhusu sababu mojawapo ya uzushi angalia tofauti kati ya urefu wa kidole cha pili na kidole cha nne, ambapo duara A ni vidole vya Mlinzi wa Lissu vikionyesha kidole cha pili kikiwa kifupi kuliko kidole cha nne na duara B...
  12. masopakyindi

    Askofu Bagonza na Askofu Mwaipopo, msaidieni mwenzenu Dkt. Mwaikali kwa kumpa uchungaji Dayosisi zenu

    Kama unafiki wa kidini upo basi kuumbuliwa ni sasa. Dkt Mwaikali aliyekuwa Askofu Dayosisi ya Konde, kibarua kimeota nyasi. Sasa Maaskofu waliokuwa wakimpigia chapuo la nguvu ni Benson Bagonza wa Dayosisi ya Karagwe na Ambele Mwaipopo wa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika Sumbwanga. Hawa Maaskofu...
  13. MIMI BABA YENU

    Askofu Bagonza tafuta miafaka ndani ya KKKT kabla ya kuingilia masuala ya siasa

    Inashangaza kuona kiongozi wa dini ambaye ni muasisi wa mgogoro uliopo ndani ya kanisa la KKKT katika jimbo la Konde. Ambapo ya baada Askofu Dk Edward Mwaikali wa Jimbo la Konde kuondolewa katika nafasi yake na uongozi wa kanisa hilo kutokana na sababu za kiutendaji, Askofu Bagonza aliifanya...
  14. B

    Askofu Bagonza: Mbowe ametoka Gerezani lakini hayupo huru

    Na Baba Askofu Bagonza Kalikawe HAYUKO HURU; YUKO NJE YA GEREZA Niwakumbushe? Mwezi Februari 1990, Nelson Mandela akatolewa jela. Akaja Tanzania kushukuru. Tukajipanga na mabango na kushangilia MANDELA IS FREE! Akasimama Kambarage, akasema MANDELA IS NOT FREE, HE IS OUT OF PRISON. Kwa nini...
  15. T

    Viongozi wa Dini wamenikwaza sana! Rais Samia na Mamlaka zake zisikubali huo mtego

    Jana Jumatano Machi 02, 2022 Viongozi wetu wa Dini walikutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kufanya nae mazungumzo mbalimbali pale Ikulu. Katika hali iliyonishangaza Mimi na nadhani hata kwa Watanzania wengine wengi ni hatua ya Viongozi wa Dini kuomba Rais Samia na Mamlaka zake zitumie busara...
  16. happyxxx

    Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

    Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais. Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza...
  17. B

    Askofu Bagonza atoa somo la uraia, uvumilivu wa kusikiliza hoja kinzani ndiyo siasa yenyewe

    Mgongano wa mawazo ndiyo afya, nchi inapitia ktk tetemeko la kisiasa baada ya kifo cha Rais aliyekuwa anahudumu Askofu Bagonza atoa mawazo yake kuhusu masuala mbalimbali ya siasa na sayansi ya siasa. Spika au rais wote wana huru wa kutoa mawazo yao wakiwa katika nafsi iliyo nje ya taasisi ya...
  18. Q

    Askofu Bagonza: Yawezekana tulikuwa na Bunge bila Spika. Tunakoelekea tunaweza kuwa na Spika bila bunge

    MAMA TUVUSHE, TUKUVUSHE Yawezekana tulikuwa na Bunge bila Spika. Tunakoelekea tunaweza kuwa na Spika bila bunge. Bila ushabiki wala uzembe, tuangalie yafuatayo kwa makini: 1. Ukubwa wa CCM si mtaji, ni hatari. Bila upinzani imara, CCM ni sawa na chatu aliyefugwa ndani chungu cha mfinyanzi...
  19. K

    Askofu Bagonza: Tuna muhimili mmoja unaopakwa rangi

    Tuna mhimili mmoja. IKUBALIKE BILA MANUNGUNIKO. Asubuhi Wanaupaka rangi ya serikali. Mchana wanaubadili rangi unakuwa mahakama. Jioni unapakwa rangi ya bunge. Hakikisheni rangi imo ya kutosha kwenye makopo na wapakaji wawe sharp ili kuokoa muda. V Kuna kitu hakiko sawa.
  20. T

    Askofu Bagonza na kauli fikirishi na tata.

    "Kufafanua kauli si kubadili kauli" Hii imetokana na Spika Ndugai kumuomba msamaha Rais. Ndugai ameombaje msamaha ikiwa amesema waliosambaza wamepotosha. Je waliisambaza wameigiza sauti ya Ndugai?
Back
Top Bottom