nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. ngara23

  Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

  Imenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha. Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani? Inashangaza!
 2. Mganguzi

  Shaffih dauda acha chuki za kipuuzi kwa viongozi wa simba .haujui lolote zaidi unataka tu upate nafasi umekosa balance na huna sifa za kiuandishi,

  Mtu kama shaffih ukikaa kumtafakari unakuta huoni sababu na tija ya uandishi wake ! Shaffih yeye sio mwandishi wa habari ila ni mchochezi na mfitini ,akiona mahali pana mafanikio dakika moja anabadilika ,Leo anaiona simba na uongozi wote hasa upande wa mo ! Hawastahili kuiongoza ,huyohuyo...
 3. Chongeni

  Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli?

  Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli …!! maana mpaka sasa kuna baadhi ya waliopata fursa za kuajiriwa na TRA mwaka wa Jana (2023) bado hawajui ni ofisi ya wapi atapangiwa. Wenye siri nzito za ajira mpya ni lini zitatangazwa tudokezeni. Thank you
 4. Roving Journalist

  Doyo Hassani Doyo achukua fomu ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha ADC

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Allience for Democratic Change (ADC), Doyo Hassan Doyo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho kumrithi Hamad Rashid ambaye amekiongoza kwa miaka 10 na kumaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba. Doyo amechukua fomu hiyo leo Juni 11, 2024 Makao makuu...
 5. R

  Ushauri kwa Chadema: Fanyeni uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu wake baada ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Msiwape fursa machawa wa CCM nafasi ya hujuma

  Hii ni fragile moment. CCM wanaangalia wapi chadema itadondoka na wameshaona kizuizi kikubwa ni Mbowe. Haongeki. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, nawashauri postpone uchaguzi wa Mwenyekiti na makamu wake mvuke salama kipindi hiki. Mtakumbuka machawa walivyoshangilia...
 6. green rajab

  Wagner Group watangaza nafasi ya kazi -🇷🇺

  Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima ya afya, malipo ya ulemavu kifo au majeruhi.. Ni maamdalizi ya kazi kubwa ‼️Join Orchestra‼️...
 7. Jamii Opportunities

  TCRA watangaza nafasi mbalimbali za kazi

  VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites high caliber, results oriented, self-driven professionals with integrity, dynamic and suitable qualified Tanzanians to fill thirty- eight (38) vacant posts...
 8. BARD AI

  Lakini kusema ukweli Zuhura hakutosha ile nafasi! Kitu pekee aliongeza ni Press tu, kwenye Branding alifeli

  Ukifuatilia kwa siku kadhaa tangu Rais aende Korea Kusini, Idara ya Mawasiliano ya Rais haikuwa ikifanya kazi yake ipasavyo hasa kwa taarifa muhimu za kuja Tanzania. Hata mkanganyiko uliotokea VOA ulitokana na kusuasuaa kwa kitengo cha propaganda kwenye mawasiliano kati ya Ratiba za Mama na...
 9. Iddizahoro

  Nafasi ya kazi ya udereva

  Jamani tuoneane hurumu maisha magumu eti....yani post ya mwaka jana October 19,2023 Mpaka leo hakuna hata post moja kunifariji na hii safari yangu. Aisee maisha ni magumu kiukweli,wale wote wenye fursaa aisee zitimieni ipasavyo fursa zenu yani waonyeshe waajiri wako kwamba mimi ndo yule...
 10. O

  Natafuta kazi Medical Laboratory scientist

  Mimi ni kijana wa Kitanzania nahitaji kazi kwa hiyo fani niliyosomea ..uzoefu miaka 3 ...kazi temporary au parmanent. Popote Tanzania
 11. S

  Watanganyika tuilinde nafasi ya Urais kwa wivu mkubwa ili kuokoa rasilimali zetu

  Wazanzibari walipoweka sharti la "Mzanzibari mkazi" kwa kila anayetaka kuwania nafasi yoyote nchini kwao hawakuwa wajinga. Walifanya hivyo ili kulinda maslahi ya nchi yao, wakiamini kwamba wakiongozwa na "wa kuja" wanaweza kuuzwa ama kuingizwa mjini. Kuna kila sababu na huku Tanzania bara...
 12. Superbug

  Kama Mungu angekupa nafasi ya kuamua uishi miaka uipendayo je ungechagua mingapi? (Sharti muda lazima)

  Toa sababu pia kwanini umechagua miaka hiyo. Mimi 1000 sababu ningependa kuona tabia ya nchi inavyobadilikabadilika.
 13. D

  Nitapata nafasi kwenye kozi niliyoomba kwa ufaulu huu?

  Nimepata Phy D Math D Chem C Na jumla ya ufaulu nin two ya 21 na nimeapply DIT kozi ya electrical engineering na mechanical engineering je nitapata nafasi kati ya hizo MSAADA WA MAWAZO WAKUU AHSANTENI
 14. ALLAN MAKALA

  SoC04 Nafasi ya wazazi na jamii katika kutokomeza ukatili dhidi ya watoto

  MAPAMBANO KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WATOTO NA KUREJESHA MAADILI KATIKA JAMII. Imekuwa kama hadithi ya kuzoeleka katika jamii, watu wakifanya matukio ya kutisha kila kukicha hapa nchini. Wengine hua tukiamka asubuhi tunaangalia taarifa za jamii zilizoripotiwa kwenye mitandao ya kijamii na...
 15. B

  SoC04 Nafasi ya ujuzi wa kidijitali katika kuziba pengo la ajira nchini Tanzania

  Nafasi Ya Ujuzi Wa Kidijitali Katika Kuziba Pengo La Ajira Nchini Tanzania Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ukuaji wa ajabu katika uchumi wake wa kidijitali, na hivyo kusukuma mahitaji ya wafanyakazi wenye ujuzi katika viwango vya juu visivyo na kifani. Hata hivyo, mwelekeo...
 16. BARD AI

  Akina Makonda Wanatulazimisha Tuendelee Kutafakari Nafasi za Wakuu wa Wilaya, Mikoa: Tunawahitaji Kweli?

  Watanzania hawawahitaji wakuu wa mikoa na wilaya, na walilisema hili hadharani wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba, maarufu kama Tume ya Warioba, ilipotembea nchi nzima kwa ajili ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu mfumo wa kiutawala wanaoutaka, na tume hiyo ikayaheshimu mawazo hayo kwa...
 17. Eli Cohen

  Kama Kompany ameweza kuwa kocha wa Bayern basi tambua hata wewe una nafasi ya kufikia malengo yako tu kwa viwango usivyotarajia

  We pambana pambana tu, mishe huzaa mishe nyingine kukuletea mishe nyigine kutoka katika mishe nyingine.
 18. P

  SoC04 Nafasi za Mawaziri zinazohitaji ridhaa ya Wananchi

  Habari wadau, Kulingana na taratibu, sheria na kanuni mbalimbali za nchi hii nafasi za mawaziri huteuliwa na mheshimiwa raisi. Lakini siku ya leo napenda kutoa maoni yangu juu ya nafasi tano za mawaziri ambazo zinahitaji umakini wakati wa uteuzi na ikiwezekana uanzishwe utaratibu wa kupata...
 19. M

  Simba itashika nafasi ya pili, na Azizi Ki atakuwa mfungaji bora

  Geita hawajawahi kufungwa na Azam pale kwao, leo wakifungwa wanashuka daraja, leo wakisare wanashuka daraja, wana mambo mawili, wakubali kuisaidia Simba ifuzu nafasi ya 2 na kujinusuru wasishuke daraja au kushuka daraja na kuipa Azam nafasi ya 2. Wakubali kushirikiana na mnyama ili wasishuke...
 20. MALKIA WA TABASAMU

  SoC04 Nafasi ya wananchi kukua kwa maendeleo ya nchi

  Tanzania tuitakayo inahitaji watu wanaokua. Mdumao wa karne kwa karne wa Afrika sio kosa letu. Simaanishi tupo tulipokuwa, ila tunajongea kwa mwendo wa kinyonga ukilinganisha na mataifa kwenye mabara mengine. Tunadumaa kwa sababu dunia inaogopa tukifunguliwa tutakuwaje. Nchi kubwa kama...
Back
Top Bottom